Luharamula
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 495
- 333
Ni kuheshimiana tu.
OK ahsante!
Lakini kumbuka watu wanarespond kutokana na tafsiri ya neno ndio maana baadhi ya majina hayapendelewi zaid kwenye public kutokana na tafsiri zake.Lakini neno halibadilishi uhalisia km vile mtu akuite wewe nyani haikubadilishi wewe kuwa nyani
Mie sioni sawa,mbona majina matamu yako tele unaweza muitaka na akajisikia RAHA,yani Babangu nimuite Baba na yeye nimuite baba,wanawe wamuite Baba Jamani nahisi kama namzeesha mapema,[/QUOTE
Ndoa yenu changa
Hata mimi namwita mama naye ananiita baba na hiyo inafanyika ili kutowachanganya watoto na majina haya ya ajabu ajabu ya kuchepukia sijui honey, sweet, sugar, baby nk.Mie mumewangu ananiita mama nami namwita baba na maisha yanaenda
Ipo fursa ya na mwanya wa kubadili... You can change!! maana hadhi za Baba na Mama ni pekee !!Mie mumewangu ananiita mama nami namwita baba na maisha yanaenda