Mchepuko: baby vipi hilo bwege lipo.
Mke: hayupo katoka
Mume: unaongea na nani?![]()
Mke: baba hebu wacha matani yako hebu kale chakula chako.
Mchepuko: baba yako kaja lini?
Mke: tokea juzi
Mchepuko: ok tukutane pale pale kesho basi baby.
Mke: sawa kesho basi acha nikamwekee chakula baba.![]()
![]()
![]()
![]()
Wewe kubali kuitwa baba tu.

Pls_please....Duh uandishi pls
Nahisi nitamwita hivyo watoto wakiwa wakubwaSo nawewe umeiga hivyo au unamuita kwa kumpa heshima ya juu
interesting!Huoni inapendeza?

Lakini neno halibadilishi uhalisia km vile mtu akuite wewe nyani haikubadilishi wewe kuwa nyaniMmmmh kwa elimu yangu ndogo ya dini yangu au sikumuelewa mwalimu Madrasa ni kwamba ukimeita mkeo mama ni talaka tayari maana uwezi mpanda mamayako pia ukimwita mumeo baba ivyoivyo ni taraka sio mapenzi wala busara make/mume kuitwa au kuitika ivyo kwa mwenza wake