Mume kuitwa baba na mke wake

Mume kuitwa baba na mke wake

Haiitakiwi kabisa mke kumuHaillll mumeo Baba kwa iyo wewe unalala na Baba yako
inahitaji akili ya ziada kunielewa
mumeo kumuita baby. Ulishawahi kupanda gari ukaona mtu anasema au anakuambia Njoo nikupakate baby peke yake Ndio kipenzi cha watu wote
endelea kumuita mumeo Baba na baby
narudia tena yahitaji akili ya ziada kuelewa kile ninacho zungumza Ndio maana ndoa nyingi za siku hizi hazidumu majina yana guvu kubwa Sana yanapotumika
ushauri wangu kwa wana ndoa ni vyema ukamuita mumeo jina lake sahihi Kama ni Treven au Musa vivyo hivyo kwa wanawake
n.b usimwite baba flan au mama flani
hautakaa unielewe Kama huwezi kufikiria
Nawasilisha
 
Me nafkiri kuita baba au mama imekaa poa, inaleta heshima kwa familia
 
Enz za ujana wangu moja ya weaknes zangu kwa mwanaume akiniita mama tu, hata awe kankosea nin najikuta melainika namsamehe, wakat akbembeleza akitia neno tu mama nielewe/nisamehe nasamehe kiulain. Nafeel kanheshmu sana kuniita mama, haya mengne cjui hny, swt naona kawaida sana hata cshtuk.
 
Wanaume wengi wa kibongo wanapenda kuita wadada huko mtaani mama au mumy...bora hata mamii.
 
Me naona kuitwa mume ina sound vizur zaidi.. tena kwa sauti ya mahaba
 
Enz za ujana wangu moja ya weaknes zangu kwa mwanaume akiniita mama tu, hata awe kankosea nin najikuta melainika namsamehe, wakat akbembeleza akitia neno tu mama nielewe/nisamehe nasamehe kiulain. Nafeel kanheshmu sana kuniita mama, haya mengne cjui hny, swt naona kawaida sana hata cshtuk.
Duh hongera sana,sasa kwann hio hali imebadilika?
 
Kwangu eti ukinia Babe naona kama utani vile ,ila mimi Napenda kumuita Mama siku kanichanganya nae ajue kimenuka Naita cheo chake kabisa ,,We Diwani '' na hapendi nimwite hivyo , ila yeye ananita Baba, au Boss, siku akitaja jina langu jua is very siriaz issue ,Au nimemuuzi au kunakitu kimeenda kombo huko kwenye mishe
 
Back
Top Bottom