Mume kuitwa baba na mke wake

Mume kuitwa baba na mke wake

mara nyingi mwanamke alielelewa na mama pekee bila baba anamchukulia mume kama babaake, yani zaidi ya mume
Hapana nakataa kabisa..... Mimi nmelelewa na mama zaidi lakini simuiti mume baba namchukulia kama mume na rafiki
 
Kumuita Mume baba ni kifupi cha baba watoto wangu Na mama ni kifupi cha mama watoto wangu
 
Kitanzania kumuita mume baba Ina radha yake..``baba chakula tayari"..Mume mwenyewe anapenda hapo bichwa hiloo..
 
Wadau,

Hasa mlio katika ndoa, Je hili jambo la baadhi ya wanawake kuwaita wame zao baba je ni heshima iliyotukuka au ni uoga?
Hii ni zaidi ya heshima, ukiitwa hivi ujue unatimiza wajibu wako vizuri ndani ya nyumba.
Mke wangu akifurahi utumia hili neno "baba".
 
akuanzaye mmalize.. dharau umezianza wewe
Naangalia profile yako naona umezaliwa May 5, 1990. Mwaka huo nilikuwa nimesha balehe na fikiria nini kingetokea kama Mama yako angekuwa karibu yangu (Eddo).

Sitakujibu lingine, ila msalimie Mama..
Kidudu
 
Mkuu mbona mimi naitwa BABA au DAD......sioni kama ni tatizo
 
Kidini kumuita mme(baba) au mke(mama) ni dhambi kwa mujib wa uislam na inatakiwa ndoa ifungwe upya maana ni sawa na kuhalalisha kumuoa/kuolewa na mzazi wako.
 
Naangalia profile yako naona umezaliwa May 5, 1990. Mwaka huo nilikuwa nimesha balehe na fikiria nini kingetokea kama Mama yako angekuwa karibu yangu (Eddo).

Sitakujibu lingine, ila msalimie Mama..
Kidudu
maza kashazipata salamu, ila kasema kisingetokea kitu coz una kidole cha mtoto
 
hata, haifai, kidini hasa uislamu ni kinyume cha maadili,,,,,,huwez kumuiita mke wako mama, wakati still mnalala pamoja

yani tumekosa romantic word ya kimapenzi hadi tuitane majina yanayowapa hadhi wazazi wetuu,, ndo kila kitu kimepewa mpangilio wa majina

eti " baba twende tukalale"
 
It dpend da way it's sound
 
Back
Top Bottom