We ni noma Ila upo sawa, Lamda kma mkiitana Babaa na MamaaNadhani inategemeana na tone atakayoitumia mwanamke. Akiita baba ile ya kavu tunayoitumia kumuitia baba kwa upande wangu sisaport mume kuitwa hivyo,ila kama ni ile baba inayotamkwa kwa tone ya maidoido nzuri sana hata mie namuitiaga hubby smtms
Wadau,
Hasa mlio katika ndoa, Je hili jambo la baadhi ya wanawake kuwaita wame zao baba je ni heshima iliyotukuka au ni uoga?
Unaogopa kuzeeshwa bado mdogo kuitwa mama fulaniInarusha stimu. Natumia jina lake na mm napenda kusikia akitamka jina langu. Hata baba nanihii na mama nanihii.... boooring!

Kumuita mama ali..mama juma ni sawa tu..pale inazungumzia kumfananisha na mama yako mfano, machuchu yako, kiuno chako mke wangu kama cha mama yangu.Kwa Waislamu huruhusiwi kumuita Mkeo Mama..
Kwa waarabu bado ipo sana tuWapemba skuizi hatuna hio
Binafsi naona kama jina hili linatumika sivyo...watu wanaichukulia kama ni heshima lakini hapana what i know and believe ni kwamba baba yangu ndio nastahili kumuita hivyo na mume atabaki kuwa baba wa wanaeWadau,
Hasa mlio katika ndoa, Je hili jambo la baadhi ya wanawake kuwaita wame zao baba je ni heshima iliyotukuka au ni uoga?
AaastakafurarrahKumuita mama ali..mama juma ni sawa tu..pale inazungumzia kumfananisha na mama yako mfano, machuchu yako, kiuno chako mke wangu kama cha mama yangu.
Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app