Mume hanifikishi kisawasawa

watu wa namna hiyo nje wanapiga game vizuri sana
tatizo ni ninyi wanawake mkishaolewa mnajisahau,
mdomo wako ndio unakukosesha mautamu,jirekebishe,mpe mumeo asali ya ulimi
utaona moto wake utafika hadi jupiter kwa kuelea.
toka nje utakufa kwa ngoma nani atatunza hao binti zako wazuri???? acha mambo ya kuwaza nje.
 
Fanya umalaya umukose huyo uliyenaye tena kajiuze ili ukutane na watu unaowataka
yani unashindwa kukaa naye hata siku moja kumwambia kwa lugha ya upendo na kumueleza unavyoteseka moyoni hadi ulete JF haya ni mambo ya ajabu sana inaonekana wewe una kachembe chembe ka umalaya ndani mwaya mwambie atakuelewa tu na siyo kuanza kufikilia kutoka nje
 
hebu heshimuni ndoa zenu nanyie heeee..... mume akisema kachoka ndo ujifanye nawe unatafuta sa kama kachoka kweli aisimamishe na p.o.p??? kama una hamu na mechi ya kirafiki you just go for it usitafute sababu!!!!!!!!!!!!![/QU
 
Huu ninauona kama ukosefu wa staha na ustaarabu. Wewe ni mke wa mtu,umeongea na mumeo? Unaleta habari za chumbani mwenu za nini sasa? Kuwa na adabu kwa mumeo. Wasilisha hoja hii kwa mumeo ili usikie atakachokwambia. Kukimbilia majukwaani kama hapa au kwa ndugu/rafiki ni unafiki wa kindoa. Huoneshi mfano mwema wa mke wa mtu...yawezekana ni kicheche tu!
 
Mluzi unapigwaje? Yaani unaandikaje kuwa unapiga mluzi! Napita tuuuuuuuuuuuuuuu!
 
akili ya kuambiwa changanya na ya kwako. hapa sioni washauri naona mafisi yanayo subiri mzoga.
 
binaadam sio kama samaki,binaadam kila anavyokua ndio nguvu zinapungua na samaki kila anvyokua ndio nguvu zinaongezeka,mi naona lamda anpungua nguvu tuu
 
Kwa jinsi unavyoonekana wewe ushatoka nje mara kibao,hapa unatuzuga tu.Nyie ndio mnaosababisha wengine tusioe..yaan ujasolve bado tatizo unatangaza nia yako.Haya nenda kabanduliwe saana huko nje uje utupe updates hapa JF!Stup!!
 
Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike.

Kabla sijaingilia mada yako, kwanza nakuomba rekebisha hilo. Huwezi kuwa "msichana" halafu umeolewa "miaka minne iliyopita" na uwe na "watoto wawili". Huo usichana hapo uko wapi?

Wewe ni mama wa watoto wawili au ni mwanamke lakini si msichana. Msichana ni yule ambae hajaolewa na kuuonja mzahalula.
 

try 2speak out 2ur husband and he may gets a lesson.
 
Kwa mtazamo wa haraka ndoa yenu inakabiliwa na tatizo la mawasiliano. Namaanisha hampati muda na kutengeneza mazingira mazuri ya kuongea kuhusu tatizo lenu mkiwa wote katika utayari wa kusikilizana. Nakushauri utengeneze mazingira ya kumfanya akusikilize na kujua kutoridhika kwako.
 
mie naona ushaanza kumchoka mumeo,....
yanatokeaga hayo kny ndoa ,.....
hata humu usione wanajidai kukushauri kuitunza ndoa yako,wapo pia ambao yameanza kuwashinda.....

cha kufanya jikeep busy na watoto fanya mazoezi na mwili utachoka,hivyo na kasi ya kufanya mapenzi itapungua na kuendana na ya mumeo.....

ila la muhimu kuchunguza km mumeo ameanza mechi za nje aisee....miaka hii hatuaminiani kihivyooo....
 
Oti Kate,
Umsema unakaa wapi vile?! Manake am sure hilo jamaa ni jeuri, miiezi sita itapita na wala hatabadilika....!!
 
Lau unafikishwa au ufiki mwanamke mjinga huiharibu ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe...maelezo yako yanaonyesha jinsi gani uko selfish...wanasema it takes two...naomba ufahamu kuwa kwa wewe ni sehemu ya chanzo na vile vile sehemu ya jawabu iwapo unataka jawabu la tatizo. .

Kaa chini fikiri kama mtu aliona kuta za darasa...rejea maoni mbalimbali ya wadau hapa jukwaani na mwombe Mungu akupe busara za kimungu na sio busara za kibinadamu.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…