The Only Kilo
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 352
- 87
Upande wa pili:
1. Je, mume wako amebadilisha kazi, au kuongezewa majukumu au kupanda cheo? - manake stress zimeongezeka
2. Je, kuna mtoto ambaye ameshaanza shule? - manake ADA zimeanza, kipato cha uhakika zaidi kinahitajika, STRESS zimeanza
3. Je, wewe mwenyewe umeshaongeza staili mpya ngapi (UBUNIFU) tangu upate mtoto wa kwanza, na huyo wa pili? - manake baadhi ya vigezo alivyotumia mume wako kukupenda pale mwanzao KWA SASA HUNA, and never try to force.
JIPANGE. Yakikushinda wapo watakaokusaidia, na ngoma ipo inasubiri ufanye maamuzi ya kijinga uhangaike nayo.
...Juzi tu hapa nilipita kwenye kiwanda cha ARV nikakuta wanapanua kiwanda.
Upande wa pili:
1. Je, mume wako amebadilisha kazi, au kuongezewa majukumu au kupanda cheo? - manake stress zimeongezeka
2. Je, kuna mtoto ambaye ameshaanza shule? - manake ADA zimeanza, kipato cha uhakika zaidi kinahitajika, STRESS zimeanza
3. Je, wewe mwenyewe umeshaongeza staili mpya ngapi (UBUNIFU) tangu upate mtoto wa kwanza, na huyo wa pili? - manake baadhi ya vigezo alivyotumia mume wako kukupenda pale mwanzao KWA SASA HUNA, and never try to force.
JIPANGE. Yakikushinda wapo watakaokusaidia, na ngoma ipo inasubiri ufanye maamuzi ya kijinga uhangaike nayo.
...Juzi tu hapa nilipita kwenye kiwanda cha ARV nikakuta wanapanua kiwanda.
pole sana OTI, unakosa kitu muhimu sana katika maisha, maana hiyo ndiyo raha ya muhimu duniani, labda huko Mbinguni kwa kuwa sijawahi kufika. Angalia kwanza CHANZO CHA TATIZO, ndio utatue tatizo, bila kuelewa chanzo ni nini itakuwa kazi bure. Jiangalie kwanza wewe, hapo awali ulikuwaje, angalia kwa makini mambo yafuatayo: 1. Angalia UMBILE lako la sasa, linaweza kuwa tatizo, maana hujui mwanzo ulikuwa unamdatisha kwa kitu gani. 2. Angalia KAULI zako za sasa, inawezekana umekuwa BAUNSA wa kauli. 3. MAPISHI pia linaweza kuwa tatizo, cheki hiyo nayo kwa makini 4. CHECK YOUR PERFOMANCE , inawezekana umeshuka TBS 5. Inawezekana pia baaba ya kuolewa umemfanya MWAJILI WAKO, kwa maana SHIDA zote za nyumbani kwenu umehamishia kwake, that is BIG NO. 6. Fanya MASAHIHISHO, usikaliie kumlaumu mume, then PIA ANGALIA MATATIZO YA UPANDE WAKE. LASTLY, angalia hayo kwanza, YAFANYIE KAZI KWA MUDA, then fuatilia kama kuna mabadiliko. Mwisho kama hali itaendelea, UZA GAME. Fof that option, ni PM.Habari wanajamvi, Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa. Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya: 1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi 2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga. Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho. Naomba mnisadies what to do at the moment!
aah Fideee bwan.. mbona wanikumbusha mbali ..? Si umeniambia ... nimezuzuliwa na makalio .. tuko pamoja... sasa niambie vipi ? wapi?Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba
pole sana OTI, unakosa kitu muhimu sana katika maisha, maana hiyo ndiyo raha ya muhimu duniani, labda huko Mbinguni kwa kuwa sijawahi kufika. Angalia kwanza CHANZO CHA TATIZO, ndio utatue tatizo, bila kuelewa chanzo ni nini itakuwa kazi bure. Jiangalie kwanza wewe, hapo awali ulikuwaje, angalia kwa makini mambo yafuatayo: 1. Angalia UMBILE lako la sasa, linaweza kuwa tatizo, maana hujui mwanzo ulikuwa unamdatisha kwa kitu gani. 2. Angalia KAULI zako za sasa, inawezekana umekuwa BAUNSA wa kauli. 3. MAPISHI pia linaweza kuwa tatizo, cheki hiyo nayo kwa makini 4. CHECK YOUR PERFOMANCE , inawezekana umeshuka TBS 5. Inawezekana pia baaba ya kuolewa umemfanya MWAJILI WAKO, kwa maana SHIDA zote za nyumbani kwenu umehamishia kwake, that is BIG NO. angalia hayo kwanza, YAFANYIE KAZI KWA MUDA, then fuatilia kama kuna mabadiliko. Mwisho kama hali itaendelea, UZA GAME. Fof that option, ni PM.
vunja ukimya zungumza nae! (kwa hisani ya watu wa marekani)
umenifanya nicheke mamdogo japo moyo umenuna!ah!sasa mi napataje kazi kukuaminisha kuwa ukiingia kwenye ndoa still unaweza kuwa safi!wananipa kazi sana binadamua wa aina hii!
niliwahi kusema humu siku moja !
haina maana kuwa tu wasafi sana,but some of us dont think its wise kuchekelea upuuzi tunaifanya!
nilijua tu!hakuna mwanamke anajua maana ya ndoa na heshima yake kama mke anaweza kupost huu upuuzi!
muonjeshe tigo atarudi kwa speed.
Raha jipe mwenyewe, nunua dildo
Umetia Aibu sana.hili ni tangazo la biashara kabisa na wala hautafuti ushauri
aah Fideee bwan.. mbona wanikumbusha mbali ..? Si umeniambia ... nimezuzuliwa na makalio .. tuko pamoja... sasa niambie vipi ? wapi?
Sijawahi kuona mwanamke mjinga kama wewe, laiti ningemjuwa mmeo. jukwaa hili wajinga ni wengi sana.