Mume hanifikishi kisawasawa

Mumeo kashindwa kazi,tafuta mitambo toka nchi za nje iliyothibitishwa na tbs.
 
ongea na mwenzako juu ya tatizo lako kwani ndo utapata ufumbuzi,cha msingi husiisaliti ndoa yako,mwombe sana mungu akuongoze kwa hili.
 
Miezi sita ikipita nitafute nitakusaida tiba ya tatizo lako.
 
Pole sana Oti Kate, unachotakiwa kufanya sio kukimbilia nje, bali ni kutafuta chanzo cha hayo mabadiliko. Wakati mwingine jinsi manavyozidi kuishi kwenye ndoa manazidi kuzoeana ikiwa ni pamoja na mvuto kupungua kwa mwenzio, sina maana kuwa uzuri wako unapungua bali wewe unabaki kuwa mzuri lakini mwenzio anakuona wa kawaida ilihali sisi wa nje tunakumezea mate. Lakini ukumbuke kuwa sisi wa nje tunatamani uzuri wako kwa kuwa gharama zinabebwa na mumeo, akikuacha tu hasa ukiwa huna kipato tunakimbia wote. Kwa kuwa ninyi ni mwili mmoja, pata faragha, kaa na mwenzio mwulize kwa upole kulikoni siku hizi, mbona hutusafiri kama ilivyokuwa mwanzo. Aidha, epuka kuwasimulia marafiki zako wa kike, itakugharimu zaidi.
 
Last edited by a moderator:
je wewe una mwandaa vp mumeo katika harakati za malavidavi? pia ni kosa kubwa sana kutomwambia mumeo kwamba hakuridhishi hebu jaribu kukaa nae ili ajue udhaifu wake. kuwa muwazi kwa mumeo ili kudumisha ndoa yenu dada
 
Kwanza inaonekana foleni ya waathilika unaosema ukiamua unaweza wapanga DAR mpaka Moro ndo wanakupa kiburi. Pili inaonekana una tatizo ambalo kisaikolojia linamfanya jamaa akose raha ya kupiga miamala mingi (JICHUNGUZE). Tatu inaonekana bado hujayakubali maisha ya ndoa kiasi kwamba kwako kupigwa kama Arsenal na man utd ndo raha yako (Nenda Malapa). Nne bado hujatambua thamani ya ndoa yako. Mwisho,kwasababu unatafuta MPINI unaopiga kazi masaa yote,niPM ili upate magoli ya basketbal au MP3.
 

nimependa sana huu ushauri wako aisee, hasa hapo kwa red. Natamani Oti Kate azingatie huu ushauri
 
Last edited by a moderator:
Bora ww watu wanaolewa mpaka wanazeeka lkn hawajawai fikishwa kunako, ila wanavumilia na ndoa inakwenda, vumilia buni mbinu mpya, badirisha mazingira, vunja ikimya mambo yatakwenda tu
 
POle sana Oti ni ukweli usio pingika kuwa sisi wanaume kadiri familia inavyo ongezeka majukumu pia yanaongezeka ,hofu ya maisha inazidi kuongezeka jinsi gani mtu utasomesha watoto, utajenga nyumba utatunza familia na hii hupelekea mwanaume kutumia muda mwingi kuwaza jambo linalo punguza sana kujenga progesterone hormones. hivyo damu hukimbilia kichwani kwa wingi ili kutoa sukari ya kulisha ubongo ambao kwa sasa unakazi kubwa ya kufikiri badala ya kupeleka damu kunako viwanda viwili vinavyo zalisha mbegu na kufanya uume ujae damu na uwe ngumu kama kigunzi, tayari kwa kufanya kazi ya uumbaji na hata kuziburudisha nafsi za wote wawili wakati huo. USHAURI WANGU tafuta siku moja mpigie sim akiwa bado kazini mwambie leo ninajisikia kufanya mapenzi naomba ukimaliza kazi uje moja kwa moja nyumbani. badilisha mpangilioo wa vitu chumbani na uhamishe kitanda kikae upande tofauti na alivyo zoea kukiona akifika mkaribishe kwa busu zito muangalie usoni kama sekunde 40 mwambie ninakupenda baba ... kitakacho fuata utanisimulia ninakushauri pi kama anakunywa sana pombe mkeep busy ili apunguze kunya pombe unaweza kuwa unamnunulia na kumuwekea nyumbani huku ukipunguza kiasi kadiri muda unavyo enda. siku nyingine mwamushe alfajiri mwambie naomba tufanye mazoezi ya viungo mnaanza kukimbizana chumbani kunyooshana viungo. kikubwa zaidi jitahidi kuwandalia chakula kisicho na mafuta na kiwe na viumgo vya asili kama vile karanga ,ufuta au tetere.
 
Kama kweli unalosema,jaribu kukaa na mumeo zungumza nae na uone pia mabadiliko ya maisha aidha mahangaiko ya maisha yamemzidi mumeo,ukumbuke nae si jiwe ni binadamu.halafu inabidi kuridhika na mumeo na wakti huo na wewe ukiongeza ujuzi acha kubweteka dada.
 
Umbile lako lenyewe kikwazo mana wanaoweza kufanya hayo mambo na majitu mabonge mabonge wanakipaji oinawezekana umbile lako lokawa kikwazo
 
Plz, and plz, wapuuze wanao kushauri uachane na Mumeo. Nikwambie. Zungumza naye kwa upole, tena mbembeleze sana. Lakin pia angalia namna ya kurudisha mwili wako wa zamani (mwembamba) maana si uongo ni kweli sisi wanaume wengi wetu hatupendelei wana wake wanene na wenye makario makubwa. Jaribu kudadisi ninamna gani unaweza kurudisha furaha ya ndoa yako. Ukishindwa kabisa wewe mwenyewe.... Angalia njia ya kutafuta mshauri wa mambo ya ndoa awasaidie. Asante kwa kutushirikisha.
Sent from: emanuelbwire@gmail.com
 



Bro umetisha,good msg, azingatie kuwa style ziko nying za kuwafikisha,pia atawatesa sana watoto akianza kutoka nje,ndo kuvunjika,magonjwa, etc,matatizo yapo dawa ni kuyatatua na si kuyakimbia.
 
Last edited by a moderator:
duh em weka hyo pic ya hyo 0714 tusafishe tongotongo manake unasema imekuwa kubwa maradufu.
 

Kwani issue ni jinsi ya ku-solve matatizo yako au ni idadi ya wanaume wanaotaka kuonja kipochi manyoya chako?
Yebo, mimi hapana elewa wewe!
 

fanya kama unanipm namba yako miezi sita ndo inakaribia
 
embu fanya kama vile na wewe hauna hamu nae kama wiki 2 hivi alafu uone kama hajakutafuata au hatohisi kama anapigiwa nje ila ukion kimya ujue kuna jambao ambalo sio zuri linaendelea ndani ya ndoa yako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…