Asifie mvuwa imemnyeshea :behindsofa:
sio imemnyeshea ni imemnyea
Asifie mvuwa imemnyeshea :behindsofa:
Habari wanajamvi,
Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.
Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:
1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi
2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.
Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.
Naomba mnisadies what to do at the moment!

Mkuu wanyamwezi nyie ni kubeba mizigo ie, heavy loads na sio hayo mambo. Mambo hayo tuachieni wagosi wa kaya. We swb ni PM nikupe ushauri physically achana na mbeba mizigo mizito,waswahili wanasema mzigo mzito mpe mnyamwezi. Hebu niPM nikupe unachokosa.
Ukiondoa kuduu, je mahusiano yenu mengine yapo kawaida (kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma)[/QUOTE
Hilo nalo swal zur.na hapo ndo nahc katatzo kanapoanzia.
Mh! kuna ushauri mwingine humu ni wa kubomoa
mie nakushauri siku moja hasa wikiend ambapo mnakuwa mmetulia home wote, nunua machungwa mengi sana kisha menya maganda halafu saga kwenye blenda yako ila usichuje kwa chujio, tengeneza kama lita moja hivi hiyo juice ya machungwa na usichanganye na maji hata kidogo wala usitie sukari, baada ya hapo mpatie mumeo awe anakunywa kidogokidogo kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni. Usiku omba mechi naye, nina uhakika asilimia mia atakupiga bao 3 - 4 bila uume kusinyaa. Ukishindwa hiyo basi jaribu kutembelea machinjio au bucha za nyama ya mbuzi au sehemu wanayotengeneza supu ya mbuzi, kisha tafuta mapumbu ya mbuzi kama utafanikiwa kuweka order ya kila siku basi itakuwa njema sana kwako, mtengenezee mumeo supu ya mapumbu ya mbuzi awe ana kunywa kila siku asubuhi anapokwenda kazini, baada ya wiki 2 matokeo mazuri utayaona na baada wiki 4 tatizo litakuwa limekwisha kabisa, hapo hata akitoka nje ya ndoa nusu saa iliyopita na akaja kwako atakuwa na uwezo wa kukupiga bao 3 za nguvu na kuendelea. Ukishindwa hayo mawili jaribu ili la tatu, uwe unanunua kuku lakini jogoo la kienyeji lililo komaa vizuri, ukimchinga basi zile korodani zake usitupe kwani ni tiba nzuri kwa wanaume wnao wahi kumaliza na kushindwa kurudiatena tena tendo, nenda duka au genge linalouza vyakula vya nafaka nunua ulizia unga wa hasadi, chukua kisosa weka unga kidogo kisha weka zile korodani kwenye kisosa chenye unga wa hasadi halafu changanya, baada ya hapo mwanaume anatkiwa ameze hizo korodani zilizo changanywa na unga wa hasadi bila kutafuna, ukifanya hivyo kila siku kwa muda wa wiki 2 mfululizo tatizo litakuwa limekwisha. Tahadhari usitumie viagra au zwagra kwani ndio utakuwa unazidikuongeza ukubwa wa tatizo