Mume hanifikishi kisawasawa

Mume hanifikishi kisawasawa

Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:

1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment!

leta proof ya picha ya hilo bambataa lako unalojisifia nalo tuone kama kweli linaweza kuwa kikwazo.
 
Oti Kate anza kujichunguza kwanza wewe mwenyewe inawezekana umekuwa kero kwa kelele, maudhi ya hapa na pale kiasi ambacho mumeo hana hamu na wewe ila kwa mazoea lazima aje nyumba pengine kwa upendo alionao kwa binti zake. Kezo wa mwanamke huondoa kabisa hamu ya kujamiana kwa mwanamme.

Kitu hii mkuu uliyomwelekeza Oti Kate imetulia sana! Wanawake wengi wakiwa katika uchumba huwa wanajituma sana katika 6x6, lakini wakishaolewa wanabweteka hasa akishazaa yale mautundu ya kumfanya mwanaume (mumewe) muda mwingi awe tayari ku-do yanapotea. Wao wanasubiri mwanaume ndiye ashughulike! Wanawake mnatakiwa kujua maumbile ya mwanaume ni tofauti sana mwanamke; mwanamke hata kama amechoka au ametoka kusaliti ndoa yake bado anaweza kumridhisha mumewe na kumfikisha, lkn kwa mwanaume ni mpaka kamjamaa kainuke kisawa-sawa ndio shughuli iwepo. Mwanamke amka jishughulishe, mchokonoe-chokonoe mumeo kwa kumshika hapa na pale na hata kuyanyonyoa-nyonya maziwa yake huku ukishika-shika dushelele, utona mwenyewe!

Pia wapo waliosema kujitathmini mwenyewe kauli na mwenendo kwa mumeo inawezekana kuna namna unamkwaza mumeo kiasi akili yake inapoteza utayari wa kukusogelea....
 
Heb ntumie namba yako halafu nkuelekeze jinsi ya kufanya!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Teteeeeeh!
Makosa mengi wayafanyayo wenye ndoa au wenye mahusiano hasa akina mama upelekea hamu ya kufanya mapenzi/kukutana kimwili kupungua hasa kwa upande wa mwanaume: yapo mengi lakini hebu tuyaone yafuatayo:
1. kutokuwa na uwezo wa kumfanya mume/mke/mpenzi kupata hamu ya kufanya tendo la ndoa. Hii husababishwa na mengi likiwemo, kutokufanya maandalizi/kutokujenga mazingira ya kumseduce mwenzi wako apate hamu, mandhari ya eneo kuwa ovyo, ukaribisho mbovu...
2. kukosekana kwa amani ndani ya mahusiano...kama kuna ugomvi/malumbano ya mara kwa mara..
3. kubadilika kwa umbile hasa kwa wamama/bidada, mfano: kama man wako anapenda kitu portable alafu wewe unafutuka tu ovyo au anapenda spread ones, alaf wewe unajidiet...
4. Mke/mpenzi kuwa mchafu
5. msongo wa mawazo kutokana na majukumu ya kikazi na kijamii...
6. Aina ya mazungumzo/stori..wakuta mnajihandaa kubanjuana mara..baba fulani MKAA umeisha..wakati hata wiki haijaisha toka ununue..
Haya ni baadhi tu>
La msingi ni kujichunguza na kujifanyia tathmini na kuruhusu mazungumzo...kwani hakunaga dawa ya mahusiano zaidi mazungumzo katika hali ya kimahaba...Hongea naye tu kitaeleweka.
 
Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:

1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment!

Du malalamiko yako yamenigusa kweli, Ningekujuwa ningekupa bonge la show!
Lakini mara moja tu!
 
Kwa haraka haraka inaonyesha uwezo wako umeshuka kunako 6x6,fanya marekebisho na ongeza manjonjo.
 
wewe sasa naona kama umechoka ndoa, umeshaongea nae hayo ulonayo moyoni ili akupe majibu, na kama ni kweli kazi zimezidi siku hizi unakuta amechoka kweli? kweli mtoto wa kike umeshindwa kuvumilia mpka uwaze kutafuta vya nje?kumbuka huko nje kuna uharibifu wa aina zote, na ukisha toka nje nadhani ndo dalili za wewe kutoka kwenye ndoa moja kwa moja. manna kama hana hyo namba moja unayodhani, ni wanaume wachache sana wana uwezo wakusamehe kusalitiwa so ukikamatwa imekula kwako na wa nje watakwambia hatukujui... kumbuka na maradhi yapo.
 
Me naona ulud kama roze muhando upate utamu wa yesu na vdole utajilamba huko nje utayeyaaa mazombi wengi@ctwdady
 
WW una ndoa yako tulizana maana kuna wenzako wana dream na hawajafikia huko.

Unatakiwa kuzungumza na mumeo mara kwa mara kuhusiana na sex na sio kujadili habari za watoto na mambo ya nyumbani tu.

ukianza mawazo potofu ya kuwa ana nyumba ndogo au la, sijui ana nini utajizingua na kujikuta na wewe unaanza kutoka na vibosile vya mjini. Mimi nakuhakikishia huyo bwana wako huenda ana msongo wa mawazo n.k hivyo mzungumze km mlivyokuwa wachumba. Ukikimbilia kutoka nje utakutana na MAFUNDI MCHUNDO na mie na hakika WATAKUGONGA SEHEMU NYETI utachanganyikiwa zaidi . Kuna watu mamespecialize ktk kazi hizi na hakika huwa WANATENGANISHA NDOA NYINGI.

Wanaume ni kama watoto usipomjali mf. akitoka job humkaribishi km vile mwanzo, humvui shati ww uko busy tu na mtoto, kila kitu inakuwa ooh unajua mtoto basi huwa hawakawii kugeuka na kukumbuka MAHANJUMATI YALEE YA ZAMANI AU VIDOLI VIPYAAA VYENYE MCHUCHU ULIOSIMAMA KM MSUMARI>

Hivyo nakushauri mkae mzungumze na utaona mabadiliko makubwa ndani ya nyumba yako.

Nawasilisha haya ni maoni yako binafsi na yasichukuliwe kama msimamo wa wanaume wengine.
 
acha kufikili habali ya wewe kuongezeka bambataa....fikiri zaidi ni nini wewe hufanyi kwa mumeo maana mapenzi ni mfumo wa hisia....jinsi unavyo jiweka baada ya kuzaa....usikilie kabisa kutoka nje ya ndoa yako! utakuja juta....na la muhimu kaa na mwenzio ongea nae taratibu kwamb baba mimi sifiki....ufumbuzi mwema...nb..wanaume wa nje ya ndoa ni hatari kwa ndoa yako....na wakikuchoka ndio uta data.....cha muhimu kwako ni mumeo tu!
 
Back
Top Bottom