Mume hanifikishi kisawasawa

Mume hanifikishi kisawasawa

Pole sana mdada, nakushauri jichunguze care yako kwake, je ulivyokuwa unamjali na kumpetipeti kabla hujawa na familia ndo ivo unavyofanya sasa?ilivyokuwa unajikeep smart before u have kids ndo ivo bado uko smart au kuna changes? na je unapata muda wa kutosha even week ends kuwa na mumeo muda wa kutosha kuzungumzia mambo ya mapenzi yenu ikiwemo kukumbushana mambo mliyoyafanya mlipokuwa wapenzi?je unatumia polite language kuzungumza na mume wako au ndo bora liende?

Nimekuuliza maswali kadhaa coz i know wanawake tukipata watoto huwa na tabia ya kujisahau katika baadhi ya vitu, care kubwa inakuwa kwa watoto zaidi jichunguze katika hivyo vitu na kama vp jenga tabia ya kumuomba mumeo mtoke hata out kidogo na familia ili walau awe anapata refreshment ya uchovu anayopata kazini,hii ni njia mojawapo ya kumuweka karibu mumeo na kama mumeo ana nyumba ndogo itakuwa rahisi kwako kujua kama utamuweka karibu zaidi kama ilivyokuwa before marriage, avoid tabia za mazoea mfanye awe anakuona bado mpya kila siku.

Sababu nyingine yawezekana pia kapata mtu wa nje anayemfanyia vitu tofauti vinavyomfanya arudi home kachoka sana,hiyo yaweza kuwa sababu pia mana kuna wanawake wakishika mume wako wanahakikisha wanampa maujuzi ya kufa mtu ambayo wewe huyajui au hujawahi kumpa ivo anakuwa ananogewa na kukusahau mkewe,ki ukweli ubunifu katika mapenzi una matter,jifunze namna tofauti tofauti za kumridhisha mume wako nina imani atarudi katika hali yake na kama kuna watu wanamzuzua out atapunguza route.

Mwisho nakushauri usitafute kidumu cha nje mana "mwanamke mpumbavu.....................kwa mikono yake",jaribu tuliyokushauri japo inaonesha ulishajitafutia ka solution kako, kufanya ivo ni kutaka kukutanisha VVU sebuleni,atakavyovileta mume akigundua unatoka out nae atatafuta na vile utakavyovileta wewe kutoka kwa kidumu chako!!be wise!
 
Kama ni ukweli unalosema mdogo wangu basi nawe nikuweke kwenye kundi la wanawake wajinga wanaojua ndoa ni ngono tu na si kinginge. Mlipoanza uhusiano mlipendana na kujaliana kwa kila hali hadi mkafanya uhamuzi wa kuoana. Sasa tafakari yafuatayo
1.Alikupendea nini?
2.Je bado unathamini kile alichokupendea
3.Utaratibu wenu wa maisha umebadilika?
Ukishajiuliza hayo rudi nyuma enzi zile kabla hujawa na watoto ulikua unamjali mumeo kwa kiasi gani?
Na sasa je unamjali kwa kipimo kilekile?
Inawezekana umehamishia muda wako wote kwa watoto na kumsahau mwanao wa kwanza yaani mumeo
 
WEWE UNAVOONEKANA KTK MAONGEZI YAKO UNA ELEMENTS ZA KUTOKUWA MWAMINIFU,,,,,,,,,,,WAPANGE ILA kaa ukijua kuwa UKIMWI upo
 
Umekopi mkasa dada sio wako nmeusoma ktka gazet la ijumaa! COPY & PASTE WABONGO
 
Pole sana dada,ila nachokushauri kuwa kama uliamua kuingia kwenye ndoa bila kulazimishwa basi vumilia kwani ni sehemu ya changamoto kwenye ndoa.Na kama ulifunga ndoa ulitamuka maneno yafuatayo mimi..........nimekubali kuolewa na ........nitakuwa mwaminifu katika ndoa yangu na kuvumilia shida zote na raha Ee mwenyez Mungu nisaidie.Yote hayo uliyasema kwa mmeo,kinachotakiwa ni uvumilivu wala kutoka nje ya ndoa sio ISSUE sister,waulize waliotoka wamefaidika nini?zaidi ya kuambulia maradhi tu.Your future is too wide, dont do that.FIKIRIA MARA KUMI KUMI
 
Unataka mume au unataka ushauri, kama unampenda mume wako kaa nae muyazungumze lakini sio kutoka njee ya ndia..,utakuwa haujapunguza tatizo ila umeongeza tatizo. kumbuka UKIMWI upo na unasubiri watu wenye maamuzi potofu kama wewe ya kutoka nje ya ndoa na kumuingiza mgeni ndani. so be carefull mdada maamuzi yako ndio njia yako[KUMB: Una watoto}
 
Ushauri ulopewa na wadau ni mzuri mno jarbu kuufanyia kazi...usitoke nje ya ndoa kwan;USI TATUE TATIZO KWA KUANZISHA TATIZO..akili kumkichwa
 
Mtoa mada,umezunguka sana,we anza tu kuitembeza papuchi,tunao hapa ma-specialist
Yupo mzabzab anapatikana jukwaa hili pia kimbweka na funzadume hao wanashinda kule jukwaa la wakubwa
 
Nijuavyo mimi ishu sio Mwanaume apige bao ngapi ila huyo mwanaume atamsaidiaje mwanamke anae-sex naye ili walau apease hata mara mbili per one game!

Njia zipo nyingi. Si lazima kutumbukiza dudu kwa uke wa mwanamke. Ukimpiga mwanamke romance la ukweli anaweza kupease vizuri tu bila hata kusex na akatosheka kabisa.

Again, both mwanaume na mwanamke lazima muwe wabunifu ili penzi lisidorore. Wanawake wengi wanajidanganya kwamba ubunifu ktk sex ni kazi ya mwanaume tu...si kweli. Kwa uzoefu wangu penzi ambalo mwanamke ni mbunifu kuliko mwanaume hudumu sana.
 
Haijalishi mleta mada amekopi au vipi, habari ya wewe stor hii umeiona some where inahusu nini kwani wewe unamjua alieiandika stori hii huko ulikoiona akiwa ndo huyuhuyu, acha ushamba,
 
Sister utaanzaje kufanya mambo ya kutoka nje kabla ya kujadiliana naye ni mme wako au hawala?ambaye huwezi kumuambia unayofikiria?acha kufikiria mamba ambayo hayana maana.Ukiwapa watu watakula kweli.
 
Ukiona ushauri wote huo haukufai, basi nunua PENIS toy ujitibu mwenyewe au ka vp gawa tu tuchakaze!teh! Teh!
 
Kumsaliti sio njia sahihi hato hao wanaokushaur utoke nje ya ndoa yak hawana busara utakiwacho ni kukaa na huyo mumeo muweze kuelezan na kujua nn tatizo jambo lingine kama angekuwa hakufikishi kilele usingefanikiwa kuzaa naye jambo ambalo huwa tunalisahau ni vyakula tunavyokula navyo huchangia jarib kumpikia vyakula vya asili uone itakuwaje na kama vip kamnunulie korosho nazo zaweza kumsaidia
 
MH! Hope umefanya maamuzi tayari hapo ulipo, dira yako ni mawazo yako mwenyewe na nionavyo umejiweka njiapanda na vile ulivyosema makalio yameongezeka na nyonga iko pale pale labda uhame JF coz wakware lazima log in ndo upate maamuzi sahihi.
 
Kiukweli kama nimekuelewa vizuri we unatafuta bwana hapa. Lakini nimeipenda stahili yako ya ku seek sympathy ya watu humu. Sishangai unapotangaza biashara ya makalio kuwa yameongezeka ili kuwavutia watu humu wakutamani. Kama kweli wewe ni mwanamke mbunifu na unayejishughulisha na maisha huwezi kuwa unawaza ngono kila siku.
Uliza wenzako walioko serious na maisha kama wanapata dose mara nne kwa wiki.Unaonyesha hauko hata busy na watoto jamani? Ha ! Usitake niseme bure!!! Halafuuu ? kama umeolewa miaka minne iliyopita kama ulivyosema na una watoto wawili si wadogo jamani??? ngono tu.... kalaghabaho!!!
 
Mambo ya chumbani malizeni hukohuko, ndo maana nyumba zina madirisha na milango , madirisha yana pazia, we unaona ni mapambo tu hayo?? Kazi yake kuficha hayo yanaendelea humo ndani, kaa zungumza na mumeo myamalize, sisi humu tukusaidiaje?? Au unatafuta atakae "kufikisha kisawasawa"??? Siri za ndani kwako usipende kusimulia marafiki au hujafundwa ww??
 
Back
Top Bottom