Mume: Hakuna kutengeneza nywele

mnapenda sana kutishia mwanamke aende kwao. komesha Lady j dee habashi kwaoo

amemkomesha nani? kweli wanamama mnashangaza,leo hii mnataka kumuona G f.ala? amekaa na jide miaka yote na jide hajamzalia hata mtoto bro wetu,lakini jamaa kavumilia eti leo mnamsifia jide? wanamama mjitazafakari.
 
Sorry nadandia treni kwa mbele

Gadner ana watoto wa ngapi?
Je alithobitisha kwa dna kuwa ni wake hajabambikiwa???
 
kama kusuka ni 2000 au 1000 hapo safi! we suka tu! lakini isije ikawa 60,000/ kwa mwezi, wakati hata nyumba hamna!!
 
Mimi nachukia sana mwanamke aliyesuka nywele au kuzitia dawa na napenda anayenyoa nywele zake na kuacha zikiwa fupi na natural. Katika maisha yangu sijawahi kuwa na mwanamke mwenye manyele ya bandia wala anayesuka siwapendi kabisa na hapa mtanisamehe. Mke wangu haukuwahi kusuka na tunaishi vizur na anapata vituvingine vya kumpendezesha.
Habari wanaume mje mtujuze
Mume anapomzuia mkewe kwendakusuka au kutengeneza nywele kwa mafundi au saloon au kuja fundi au mtu wasaloon anamaasha nini ? Wakati anamuoa kamkuta na nywele safi za asili ghalama ya kusuka kwa wiki anaweza tumia 1000 au 2000some time mwanamke anajigharamia. Best yangu ana wakati mgumu wajuzi wa mambo wasomi wa mambo ya ndoa vitabu vya mungu vinasemaje?
Na huyu mwanaume anatatizo gani?
Karibuni nisiwachoshe
 
Sorry nadandia treni kwa mbele

Dandia tu haina shida,tumeshafika kazuramimba kigoma.

Gadner ana watoto wa ngapi?
Je alithobitisha kwa dna kuwa ni wake hajabambikiwa???

wewe leta ligi utokwe na jasho jingi kama una malaria sugu, G anamtoto,ukitaka kujua sana vema uanze kumfwatilia vizuri,si jukumu langu kumsemea,ila dada mwenzako alikosea pakubwa kumkashifu bro G.
 
Hapa ndo huwa nazidi kumpenda mke wangu, tumenunua mashine yetu ya kunyoa, nywele zikirefuka tunanyoana.
 
amemkomesha nani? kweli wanamama mnashangaza,leo hii mnataka kumuona G f.ala? amekaa na jide miaka yote na jide hajamzalia hata mtoto bro wetu,lakini jamaa kavumilia eti leo mnamsifia jide? wanamama mjitazafakari.

hayo ni macho ya nje...kwa macho ya ndani unauhakika alikuwa anamvumilia????
 
Ubahili wa mume tu hamna lolote! ila hii ni kwa wale wanawake walioolewa bila kazi na kwa walio na kazi ni wivu wa mume
 
Najiuliza kama ningekuwa muumini wa haya mambo ya saluni kwa kipindi nlichonacho hiki sijui ingekuwaje si ningekufa kwa presha mimi
 
Habari wanaume mje mtujuze.

Mume anapomzuia mkewe kwenda kusuka au kutengeneza nywele kwa mafundi au saloon au kuja fundi au mtu wasaloon anamaasha nini?

Wakati anamuoa kamkuta na nywele safi za asili gharama ya kusuka kwa wiki anaweza tumia 1000 au 2000some time mwanamke anajigharamia.

Best yangu ana wakati mgumu wajuzi wa mambo wasomi wa mambo ya ndoa vitabu vya mungu vinasemaje?

Na huyu mwanaume anatatizo gani?

Karibuni nisiwachoshe

Mke wangu asuke au aweke dawa ili kutibu kitu gani?? marufuku tena marukufu kabisa! Mavichwa yenu yanakaa mwezi mzima hakuna kutia maji yoyote ndo maana mna mihasira ya ajabu ajabu! Nilimpiga marufuku kabisa na amenyoa nywele zake fupi, anaoga mwili mzima kuanzia kichwa hadi unanyayo! yuko smart enough! mnaigaiga upuuzi tu !!
 
Kwani kusuka nn jaman kama binti anasura mbaya hata akisuka anaoneka kenge2 lkn mulembo hata anyoe upala atawavutia weng
 
No, siyo jinga sema approaching yake inaweza haikuwa nzuri!!

Nina miaka zaidi ya kumi kwenye ndoa, mke wangu hajawahi kanyaga saloon!! Ukimuona yupo smart na anabadilisha mitindo ya nywele kila siku na ni yoyote unayofahamu.

Aliacha kwenda saloon baada ya kugundua kuwa kuna wanaume wanawatumia wahudumu wa saloon kama makuwadi!!

So, kila akienda saloon anakuwadiwa kwa nguvu zote!! Na wanampa na mbinu zote, bahati nilishtuka mapema nikambana akanipa full story.

Tangu hapo mke wangu saloon ni big no!! Lengo ni kujaribu kupunguza ile risk ya kuchange tabia kwa ajili ya familia yangu na mimi mwenyewe.

Kama una swali uliza utajibiwa

Kwahiyo huyo mkeo hajuwi kusema NO? Mpaka wewe umfungie ndani asionane na watu?
 
Habari wanaume mje mtujuze.

Mume anapomzuia mkewe kwenda kusuka au kutengeneza nywele kwa mafundi au saloon au kuja fundi au mtu wasaloon anamaasha nini?

Wakati anamuoa kamkuta na nywele safi za asili gharama ya kusuka kwa wiki anaweza tumia 1000 au 2000some time mwanamke anajigharamia.

Best yangu ana wakati mgumu wajuzi wa mambo wasomi wa mambo ya ndoa vitabu vya mungu vinasemaje?

Na huyu mwanaume anatatizo gani?

Karibuni nisiwachoshe

Cc MillionHairs..ha ha haaa!
 
Last edited by a moderator:
amemkomesha nani? kweli wanamama mnashangaza,leo hii mnataka kumuona G f.ala? amekaa na jide miaka yote na jide hajamzalia hata mtoto bro wetu,lakini jamaa kavumilia eti leo mnamsifia jide? wanamama mjitazafakari.

Unajuaje kama tatizo ni Gardner mwenyewe? utaniambia Gardner ana mtoto, una uthibitisho upi kama Gardner ndiye biological father? Kuna vitu vingine huwaga ni siri za ndani na zinahifadhiwa!
 
amemkomesha nani? kweli wanamama mnashangaza,leo hii mnataka kumuona G f.ala? amekaa na jide miaka yote na jide hajamzalia hata mtoto bro wetu,lakini jamaa kavumilia eti leo mnamsifia jide? wanamama mjitazafakari.

Eti kuwazalisha wasanii maarufu inabidi uwe na nguvu za kiume za ziada
 
Back
Top Bottom