Mume: Hakuna kutengeneza nywele

Mume: Hakuna kutengeneza nywele

Kuepusha shari siyo mpaka awe hawezi kusema no!! Ye mwenyewe alikereka na hali hiyo thus why alitoa ushirikiano maana angekaa kimya mi ningejuaje ilhali siingii saloon za kike!?

Ila inapotokea yeye mwenyewe amechoshwa na hali hiyo!! Kila saloon anayoingia anakutana na tabia hizo na akaniambia wanaume wa mji huu wanatumia watu wa saloon kama makuwadi!! Na akasema nimehama saloon kadhaa hali ni hiyo hiyo unadhani ningemfanyaje?? Nimlazimishe aendelee kwenda saloon au nimtafutie alternative?

Ndo mana nikasema huyo jamaa aproaching yake haikuwa nzuri ila ni kweli kuna tatizo atakuwa ameliona. Aende pole pole atasolve tatizo na mkewe akaendelea kujipodoa na kupendeza kila siku.

Nilichofanya ni kumfungulia mini saloon yake home na kumtafutia mtaalam inapobidi ila mengi anafanya mwenyewe!! Na nilipoamua kuvunja hiyo cheni haina maana hatongozwi ila siwezi kumuacha nimpendae aingie kwenye kitanzi ambacho kikimnasa ndo amesepa!! Na huo ndiyo uanaume, unapoona hatari ya kuibiwa basi pambana kiume siyo mpaka uibiwe ubaki unalalama

Acha kamba zako mkuu!!…huyo mke wako ni mzuri kiasi gani hadi kufikia kila salon anayokwenda anatongozwa? angalau basi ata ungesema baadhi ya salon…lakini wewe unasema salon zote? Nooo i cant buy that.

Yaani kila salon ya kike anayokwenda anatongozwa yeye!!? Eti nimemfungulia salon nyumbani…are you sure?
Nisije nikakuuliza maswali hapa alafu ukala chocho.

Una uzito wa kutafsiri aya jombaa!! Nimesema "kila saloon aliyoingia, ameingia saloon kadhaa...." hapo wewe umeelewaje?? Hebu rudia kusoma hiyo aya vizuri!!

Ninaposema kila saloon namaanisha saloon zoote alizoingia yeye!! Then nikasema ameingia saloon kadhaa nikimaanisha kuwa si kwamba kapitia saloon zote ila hizo kadhaa alizoingia amelikuta hilo tatizo!! So zinaweza ziwe mbili au tatu ila kwake katika saloon zote hizo kakuta tatizo hilo!! Fikiria nje ya box ndugu!!

Waswahili wanasema, ukiona mwenzio ananyolewa zako tia maji! Kama yeye kaingia saloon kakuta mke wa mtu anafanyiwa ukuwadi kwa bidii zote, wewe unalichukuliaje hilo?? Mimi nalinda pangu as long as nimejua pale pana sumu si lazima eti mpaka mtoto wangu afe ndo niamini!! Tahadhari ni muhimu!!

Kwani niliposema min saloon wewe umeelewaje? Kutenga chemba katika nyumba ambapo unaweka partition ndogo na vioo!! Drier ya mkono, rollers na vitu vyote anavyovihitaji kuendana na matumizi yake kuna tatizo?? Mbona haifiki hata laki mbili hapo ndugu?? Au wewe unataka kuuliza swali gani?? Uliza usihofu nina uzoefu huo kwa takribani miaka kumi sasa
 
Kwahiyo akienda Hospitali akikutana na stuation kama hiyo utamfungulia hospital hapo ndani? Akienda dukani akikutana tena na hali kama hiyo utamfungulia duka hapo ndani? kama anafanya kazi sehemu fulani na akakutana na hali kama hiyo utamfungulia ofisi ya peke yake hapo ndani? Akienda shopping kubwa na akikutana na hali kama hiyo utamfungulia Supermarket hapo ndani yenye mfano wa hizi plaza?

Acha longo longo mkuu!…by theway naamini hichi usemacho hapa si kweli bali unajifurahisha nafsi yako tu.
Ukijichunguza vizuri utagunduwa kuna kitu hakipo sawa kwa upande wako. Haya endelea kuifurahisha nafsi yako.
 
Hebu tuanzie hapa, sababu hasa inayomfanya akuzuie usiende kusuka ni ipi/zipi?
 
Nyie wanawake wa siku hizi mmeongeza sn budget zetu hasa huu msimu wa sikukuu ndio usiguse-ukipiga cm tu una ambulia mzinga wa nywele 40+ Hata hivyo hiyo minywele yenu inanuka sn kutokana na dawa/kemikali zake.
 
Kwahiyo akienda Hospitali akikutana na stuation kama hiyo utamfungulia hospital hapo ndani? Akienda dukani akikutana tena na hali kama hiyo utamfungulia duka hapo ndani? kama anafanya kazi sehemu fulani na akakutana na hali kama hiyo utamfungulia ofisi ya peke yake hapo ndani? Akienda shopping kubwa na akikutana na hali kama hiyo utamfungulia Supermarket hapo ndani yenye mfano wa hizi plaza?

Acha longo longo mkuu!…by theway naamini hichi usemacho hapa si kweli bali unajifurahisha nafsi yako tu.
Ukijichunguza vizuri utagunduwa kuna kitu hakipo sawa kwa upande wako. Haya endelea kuifurahisha nafsi yako.

Whatever you think or interpret my comments sir!! Hatujadili yangu hapa tunajadili ya huyo aliyekatazwa kwenda saloon...!!

Nakuonea bure kukwambia una uzito wa kufikiri, nimegundua najadili na mtoto mdogo sana hapa!!

Awali kabisa nilisema, huyo jamaa atakuwa amegundua tatizo la mkewe kwenda saloon!! Je unadhani alipomkataza ni sahihi??

Thus why nikatoa mfano huu kwa nia njema na wengine pia wanaweza kufanya.

Unadhani mi sijui kwamba huko kwote ulikotaja hafiki au hakutani na maswala hayo?? Nilisema hivi yeye mwenyewe alionekana kuchoshwa na anayoyakuta saloon!! Naa mie kama mwanaume ni lazima nipambane kwa nafasi yangu, au ulitaka nimpige marufuku? Hapa kama kuna jambo uliweza kulitatua na kero yake ikaisha ukimwelekeza mtu kuna tatizo?? Au unahisi nimeandika kwa ajili ya kushow?? Mi si wa kihivyo bro, mi ni choka mbaya ila sikubali kushindwa kirahisi! Laki moja tu kuendana mahitaji yake muhimu ya saloo unamfungulia yake hapo home!! Vingine vitakuja kadiri mahitaji yanavyopanuka.

Siku moja kumuita mtaalam akamfanyia jambo unadhani itakugharimu milioni?? Mbona wengi wanataka elfu tano tuu imezidi sana kumi na tano tena anaweza kuja mara moja kwa miezi miwili hadi mitatu!! Mengi keshayajua mwenyewe.

Kikubwa unachotakiwa kujua ni kwamba, mke ni kika kitu! Sio kama hawara au changudoa, na mwenye jukumu la kuhakikisha mke hapati vishawishi vya kusaliti ni wewe mumewe! Kama umeoa utanielewa kwa nini nasema hivi!! Unapaswa kufanya chochote kile mkeo akae kwa amani na utulivu, na pia aridhike kama kiapo ulichokula siku ya ndoa yenu.

Unatakiwa uhakikishe kuwa mkeo akisaliti ni tamaa zake na kishawishi chochote kile!! Na hayo yatawezekana ikiwa likitokea tatizo mnakaa na kusolve na kutafuta suluhu na si kutumia ubabe!!!
 
Ligogoma kwahiyo unadhani hiyo ni dawa?

Nope!! Si dawa ES kwani kama mtu ni malaya ni malaya tu!! Hata umfungie ndani anaweza kubaka hata matango na karoti!!

Kikubwa ni kwamba, mimi kama mwanaume na nimeliona linalotokea na nikapata ushirikiano wake ni vyema kuchukua hatua badala ya kukaa kimya na kumuomba Mungu ukiporwa unaanza kulia!!

Basi, kwa sababu na yeye aliona hilo ndilo suluhu kwake nilifanya hivyo!! Ili kesho na keshokutwa tusijekulaumiana pasina sababu za msingi.

Na nimetoa mfano huo coz sioni sababu ya kumpiga marufuku mkeo kwenda saloon ilhali unataka awe mzuri!! Basi kama naye ameona saloon ni kikwaazo katika ndoa yake ila anataka mke mzuri basi amfungulie kichemba chake nyumbani kwake amwekee na vifaa simple tu wataalam watakuwa wanakuja hapo hapo home ingawa mengine anaweza kujifunza yeye mwenyewe. Simple tu kama hivyo
 
Back
Top Bottom