mtoto mpole
JF-Expert Member
- Mar 22, 2010
- 678
- 148
- Thread starter
- #41
Asante angalau wewe umeeleweka......
Asante angalau wewe umeeleweka......
Huyo ni malaya.
sio yeye, yeye ni wa-kiume. teh teh tehkwanza alivyoeleza kwa hisia zote zinazoonesha si za kusimuliwa ni yeye mhusika.
wewe ni wa kike au wa kiume?Naomba kujuzwa mume anaweza kukaa mda gani bila ya tendo la ndoa?na je unaeza pima kama ni kweli kaakaa mda mrefu kwa kuangalia wingi au uchache wa sperm? A friend of mine ameolewa na anampenda sana mume wake na ni mzuri...msafi ana sifa zote za kua mke ana mtoto ,tatizo linalomkabili sasa hivi ni kwamba mume wake amekua anakaa mda mrefu sann bila kushiriki nae tendo la ndoa inaweza ikakaa hata siku 14 bila bila na akikutana na mumewe sperms zinakua chache mno mno,amelalamika vya kutosha mume wake anamwambia hamna kitu na anajua yeye(mume) si mtu wa tendo la ndoa na anaweza kukaa hadi mwezi bila tendo...kissing imekua tabu wakati mdada kwa kweli she loves it much...sasa amemuuliza mumewe kama kuna shida aambiwe ajirekebishe...kama aongeze usafi....au afanyeje mumewe anamwambia mke wangu tuna mtoto mdogo sana A year so anaogopa kumpa mimba ingine...wadau hii ni kawaida kweli?je ahisi mumewe ana mtu nje au punyeto anafanya sana?

Asante angalau wewe umeeleweka......
Lita ngapi zikitoka unakuwa huna doubt?Ni ngumu sana kumuelewa mume eti ananidoo halafu sperm zinatoka ujazo wa kizibo cha soda....aaaaawww lazima niwe na doubt