Mume anaweza kukaa muda gani bila tendo la ndoa

Mume anaweza kukaa muda gani bila tendo la ndoa

Mleta mada kamtafute psychologist, sasa maisha ya hawa jamaa yanakuhusu nini kuyaingilia.. Au sema basi kama ni wewe tujue moja
 
Hapo mume ana kimada nje hakuna cha kazi wala mawazo,!mimba inazuilika mbona,hata biblia inakataza kumnyima mke /mme haki yake,
Halafu anamwaga sperms chache ujue anacheza nje sana,
Mkalishe umueleweshe pia ujue nin tatizo,maana inaonyesha anamuheshimu mkewe maana wanaume wengine huonyesha hadharan uchafu wao
Halaf mambo ya kupeana raha ndan mnasimuliana na marafiki tena, mtakuja muibiane mpaka mshangae,
Mshauri matatizo ya ndoa yake yawe siri asisimulie mtu maana ni kujivua nguo hadharan. Na marafiki siku zote wengi wao ni wanafiki
 
@Avemaria nimeitika wito wako rafiki. Nimesoma maelezo ya mtoa mada na post zingine kama vile ya Himidini na kuona kuwa mkuu Himidini ameeleza kwa kina na hasa ukizingatia maelezo aliyotoa yameshiba. Nina mashaka huenda huyo bwana ana tatizo la nguvu za kiume sasa hayuko tayari kumshirikisha mkewe. Ziko sababu zinazomfanya ashindwe kumshirikisha mwenzake lbd anahofia kuachwa n.k
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana kama uko mbali nae mwenza wako,uko na mkeo daily mnashare bed Haiwezekani,there is something wrong.Siyo hali ya kawaida kama mnapendana kweli,labda mmoja awe mgonjwa.
inategemea mazingira ....kuna wakati masingira yanakuletea stress mpaka unamuona ni mtu wa kawaida tu
 
anamlisha ugali dagaa hizo cum zitoke wapi?
 
There must a problem with a woman. Nahisi kabisa huyo bibie atakuwa hana ariel. Amekatwa kisimi. Kwa hiyo jamaaa kapata kisingizio cha mtoto. Anamaliza haja zake nje. Kifupi nikuwa kama umeoa ili usikumbuke sana mahari unatakiwa umrukie kila siku angalau kimoja. Likizo yake ni pale anapokuwa mwezini.
 
Stress more mmeo karanga mihogo ya kutafuna mara nyingine msaidie mme wako kinda uzito unaoshauriwa na madaktari kulingana na mwili wake apime sukari na Mambo mengine itakusaidia kumjenga angalia anaweza pia kuwa na msongo ni tatizo ila hatunaga muda wa kuachana kama afya auto nzuri
 
Back
Top Bottom