mavuno nyamanoro
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 587
- 156
Unafaa uwe mshauri nasaha. rahma
Babu hili swali kama sijaelewa vile
[h=2]Binafsi nakubaliana na kipima mbele;
Wanaume kwa wastani huhitaji sex kila siku hasa akiwa na mwanamke. Sasa kuishiwa hamu kwa kipindi kirefu hivyo inaweza kusababishwa na Msongo wa mawazo (stress), magonjwa kama pressure na kisukari, uzito wa kupindukia nk; ila stress zinazo leta na kukosa utulivu wa maisha zinachangia sana;
mf. mwanamme anapoingia ndani ya nyumba na kutanguliziwa madai ya vitu flani flani, humuadhiri sana kisaiklogia>
Sisemi tusiwadai wanaume wakatimiza majukumu yao ya familia ila cha msingi ni tuwadai wakati gani ulio muafaka...[/h]
Wewe kila siku unampa staili hiyo hiyo moja ya mlalo wa mende. Ndio maana anakuchoka.Naomba kujuzwa mume anaweza kukaa mda gani bila ya tendo la ndoa?na je unaeza pima kama ni kweli kaakaa mda mrefu kwa kuangalia wingi au uchache wa sperm? A friend of mine ameolewa na anampenda sana mume wake na ni mzuri...msafi ana sifa zote za kua mke ana mtoto ,tatizo linalomkabili sasa hivi ni kwamba mume wake amekua anakaa mda mrefu sann bila kushiriki nae tendo la ndoa inaweza ikakaa hata siku 14 bila bila na akikutana na mumewe sperms zinakua chache mno mno,amelalamika vya kutosha mume wake anamwambia hamna kitu na anajua yeye(mume) si mtu wa tendo la ndoa na anaweza kukaa hadi mwezi bila tendo...kissing imekua tabu wakati mdada kwa kweli she loves it much...sasa amemuuliza mumewe kama kuna shida aambiwe ajirekebishe...kama aongeze usafi....au afanyeje mumewe anamwambia mke wangu tuna mtoto mdogo sana A year so anaogopa kumpa mimba ingine...wadau hii ni kawaida kweli?je ahisi mumewe ana mtu nje au punyeto anafanya sana?
Hiyo situation ni ya rafiki yako au wewe mwenyewe...............
maana kuna vitu vingine hadi uanze kumuhadithia rafiki yako daah
Umaskini wa nchi hii nao unachangiwa kwa kiasi kikubwa na mindset za raia wake. tuige Wajapan kufanya kazi kwa bidii na ngono isiwe kama ibada.
Hadi mnafikia steji ya kupiga hizo stori huwa mnakuwa hamna kazi za kufanya?
story gani wakati ni yeye mhusika yani mtu usimuliwe hadi kiasi cha sperm ,halafu utadhani kazihesabu
Ndo wadada wa siku hizi kumwanika mmewe mchana kweupe hadharani haoni tabu......Hiyo situation ni ya rafiki yako au wewe mwenyewe...............maana kuna vitu vingine hadi uanze kumuhadithia rafiki yako daah
Hiyo si kawaida. Wanaume kwa wastani huhitaji sex kila siku hasa akiwa na mwanamke. Sasa kuishiwa hamu kwa kipindi kirefu hivyo inaweza kusababishwa na Msongo wa mawazo (stress), magonjwa kama pressure na kisukari, uzito wa kupindukia, gubu la mke, n.k. Sababu ni nyingi ila ukweli ni kuwa hiyo si kawaida hata kidogo.
nakubaliana na wewe, hiyo si kawaida. yani baba flani akae siku 14 hajanigusa, na akinigusa hata mshindo hauonekani... hapo hakulaliki, lazima nimulike mwizi