Mume anaweza kukaa muda gani bila tendo la ndoa

Mume anaweza kukaa muda gani bila tendo la ndoa

Walau umenipa moyo hapo red, maana kukaa na mtu anayesafiri mara kwa mara majanga. Acha nikubali unidanganye kwa staili hii kupunguza paranoia.

Ukweli kadiri umri unavyokwenda, stamina ya mwanamme kukaa bila bula huonezeka, sijajua sababu. Nilikuwa nadhani huwa mnakuwa mmefulia nguvu, kumbe majukumu tu.

Asante kwa ufafanuzi unaotia moyo.

Kuna mambo mengi Kongosho. Kwa namna tulivyoumbwa (wanaumea) kama kila kitu kipo okay ukikaa hata kwa muda wa wiki mbili na kuendelea, huwa zinatoka zenyewe tu(wet dreams). Kwa hiyo inaweza kuwa amesafiri na siku moja kabla ya kurudi home (kwa sababu ya kukumiss!🙂) akajikuta ameshachafua pajama/boxer au mashuka. Wengine wakizidiwa sana, wana opt kupiga 'puli' tu:shock::shock:. Hiyo ya kuchelewa cha kwanza (au kutoa 'lita' kiduchu) wakati ametoka safari pengine inaweza kuwa kiashiria lakini sio "confirmatory test" kuwa kacheza mechi ya nje.

Inategemea na umri pia. In my late 20s/early 30s, nilikuwa nikakaa wiki mbili tu bila ku do, lazima nitajikuta nimepata "wet dream" tu. Kwa sasa imepungua sana(stress nyingi, ubize, priorities zime shift etc) - I can easily stay for a month without any difficulty, na wakati wa mechi pia sina haraka wala papara - si ni mke wangu!? (nimejifunza namna ya ku hold!):tape2:
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mtoto mpole hivi mlianzia wapi mpaka rafiki yako anakupa siri za chumbani kama hizo? Ndio kupinduana kunaanziaga humo humo kwa kujua madhaifu ya wanandoa.

Huyo rafii yako inaonesha anapenda mshedede sana wakati huyo kaka anafocus zaidi kwenye utafutaji maisha.
 
Miki mke wangu huwa nakaa hata miezi mitatu...na nikija fanya naweza piga kimoja tu au viwili basi.

Mwambie hivi ndoa sio ngono! Kuna mengi ya kufanya zaidi ya gegedo....kissing kwenye ndoa hifikia wakati hadi ukasahau huwa wanafanyaje..mume/mke ni wa kuheshimu na sio mnapigana mibusu as if ndio first time.
Haki ya Mungu mkuu utakuwa na Matatizo makubwa, haiwezekani ukae miezi 3 bila kugusa,halafu ukigusa unapiga bao 1.Nakuhakikishia mkeo lazima atakuwa nagongwa nje kwa staili hiyo.JIANGALIE SANA
 
Kwa Kawaida Kiwango Cha Shawaha Kinachotakiwa Ni Kiasi Cha kijiko Kidogo Cha Chai Hapo Xaxa Ndo Uanze Kujiuliza Je? Hzo Shahawa Zinambegu Za Kurutubisha Yai Na Kutengeneza Mtoto Kama Mimba Inatungwa Wala Cyo Tatibu, Kama Hakuna Mimba Ndo Anatakiwa Kwenda Kucheki Ni Hayo 2 Wana #JF
 
kukaa mda mrefu inawezekana sana tu

Inawezekana kama uko mbali nae mwenza wako,uko na mkeo daily mnashare bed Haiwezekani,there is something wrong.Siyo hali ya kawaida kama mnapendana kweli,labda mmoja awe mgonjwa.
 
Naomba kujuzwa mume anaweza kukaa mda gani bila ya tendo la ndoa?na je unaeza pima kama ni kweli kaakaa mda mrefu kwa kuangalia wingi au uchache wa sperm? A friend of mine ameolewa na anampenda sana mume wake na ni mzuri...msafi ana sifa zote za kua mke ana mtoto ,tatizo linalomkabili sasa hivi ni kwamba mume wake amekua anakaa mda mrefu sann bila kushiriki nae tendo la ndoa inaweza ikakaa hata siku 14 bila bila na akikutana na mumewe sperms zinakua chache mno mno,amelalamika vya kutosha mume wake anamwambia hamna kitu na anajua yeye(mume) si mtu wa tendo la ndoa na anaweza kukaa hadi mwezi bila tendo...kissing imekua tabu wakati mdada kwa kweli she loves it much...sasa amemuuliza mumewe kama kuna shida aambiwe ajirekebishe...kama aongeze usafi....au afanyeje mumewe anamwambia mke wangu tuna mtoto mdogo sana A year so anaogopa kumpa mimba ingine...wadau hii ni kawaida kweli?je ahisi mumewe ana mtu nje au punyeto anafanya sana?

Hayatuhusu.
 
Haki ya Mungu mkuu
utakuwa na Matatizo makubwa, haiwezekani ukae miezi 3 bila
kugusa,halafu ukigusa unapiga bao 1.Nakuhakikishia mkeo lazima atakuwa
nagongwa nje kwa staili hiyo.JIANGALIE SANA

Ni kweli mkuu atakuwa na matatizo huyo JAMAA.
 
Hii thread ilifanya categorization za aina za wanaume kwenye mambo ya kufanya ngono:-

1. Wale wa kila mara

2. Wale wa kwa wiki mara 1 au 2

3. Wale wa kwa mwezi mara 1 au 2 (sikumbuki vizuri lakini alisema hawa kitu kikisimama tu inabidi wapige game kwa sababu kikilala ni wiki zingine kadhaa)

4. Hawa ni wale hata uende kwa mganga hakinyanyuki

Nimejaribu kitafuta hiyo thread nii-link pasipo kufanikiwa.

Hahaha!!! nahisi nishaikumbuka hiyo thread mkuu...

Tena hiyo nambari tatu alitolea mfano wa wanaume wa kizungu ....
 
Huamini kwamba yanaweza kutokea bila kuwepo mwizi yeyote??

Babu wiki mbili kimya kimya na mnajifunika shuka moja? sijui labda kama umri umeenda au kuna visukari na pressure.
kama wote ni active, ikitokea tumekaa hata wiki nakuwa najua kabisa siku ya kukutana mambo yatakavyokuwa maana kila mtu anakuwa na hamu kubwa. hali ya kukaa 2 weeks inabidi ianze taratibu, isiwe ghafla sana
 
Kuna vitu vingi sana kwa hii issue...ila mie nilitaka kujua kama kweli huyo mhusika bado anazo nguvu za kike....

Bahati mbaya sijajibiwa.

Haya mambo ya kungonoka yanasumbua sana akili za watu na siyo ya kukurupukia!

I wish I could talk to them both!
Babu! hapo kwenye bold....kwani nguvu za kike huwa zinapotea? zikipotea, mwanamke anakuwaje hasa na sbb ni zipi?
 
Umaskini wa nchi hii nao unachangiwa kwa kiasi kikubwa na mindset za raia wake. tuige Wajapan kufanya kazi kwa bidii na ngono isiwe kama ibada.

I like the choice of your words...tumefanya ngono kama ibada. Mhhhh!
 
Mme anaweza kukaa dakika 30 tu bila tendo la ndoa.
 
kugegedana kwenye ndoa, mara nyingi ni hisia zenu, lazima huyo mdada akae kigenyegenye ili kumvutia mume wake, usafi sio sababu sanaa, akae yale mapozi ya kumfanya babu dula kijicho kimoja kutaka kutoka nje.
 
Jamani kwa experience yangu mimi baada ya ndoa tendo la ndoa hubadilika sana, ile hamasa ya mnayokuwa nayo kipindi cha uchumba au cha ugirlfriend na boyfriend inapungua mno, si kwa mwanume pekee hata kwa mwanamke tena ukishazaa ndo kabisaa, kwahyo kukaa wiki au wiki 2 bila sex ni jambo la kiawaida, na kabla sijaolewa nilikuaga nasikia watu wanasema hivyo nikawa naona hawa labda wana matatizo tena kuna rafiki yangu mmoja ni mwanaume aliniambia kama una wa kungonoka nae sasahivi ngonoka kwa sana maana baada ya ndoa utavikumbuka wala sikumuamini lakini baada ya ndoa tena hata mwaka hatujamaliza nimeshayaona na nimeelwa na wala simlaumu mume wangu wala sioni kama labda ana cheat kwani hata mimi wakati mwingine inabidi nijilazimishe naweza kaa hata mwezi sina hamu
 
Babu! hapo kwenye bold....kwani nguvu za kike huwa zinapotea? zikipotea, mwanamke anakuwaje hasa na sbb ni zipi?


Hilo ndiyo swali la msingi ambalo wadau wengi hawataki kujihusisha nalo....

Tumetumia nguvu nyingi kujadili nguvu za kiume....je hakuna nguvu za kike??

That's a million dollar quiz!
 
Jamani kwa experience yangu mimi baada ya ndoa tendo la ndoa hubadilika sana, ile hamasa ya mnayokuwa nayo kipindi cha uchumba au cha ugirlfriend na boyfriend inapungua mno, si kwa mwanume pekee hata kwa mwanamke tena ukishazaa ndo kabisaa, kwahyo kukaa wiki au wiki 2 bila sex ni jambo la kiawaida, na kabla sijaolewa nilikuaga nasikia watu wanasema hivyo nikawa naona hawa labda wana matatizo tena kuna rafiki yangu mmoja ni mwanaume aliniambia kama una wa kungonoka nae sasahivi ngonoka kwa sana maana baada ya ndoa utavikumbuka wala sikumuamini lakini baada ya ndoa tena hata mwaka hatujamaliza nimeshayaona na nimeelwa na wala simlaumu mume wangu wala sioni kama labda ana cheat kwani hata mimi wakati mwingine inabidi nijilazimishe naweza kaa hata mwezi sina hamu

Kwenye ndoa, ngono ni muhimu sana ila haiwezi kufanywa iwe ya muhimu kama Oxygen au maji!
 
Back
Top Bottom