Mume anapokuliza maswali

Mume anapokuliza maswali

ooooooooooooh mwenzangu ebu nipe moyo ndio unanikatisha tamaaa mwenzangu.......
ndo hivo dadaangu, anapima siku ukimkamata au kuambiwa kuwa anagawa mali yako utafanyaje! thats it. trust me am a man too.
 
Best huyo ana mtu na anajaribu kukutengenezea mazingira tu, sishangai kwa wanaume kuongea namna hiyo
Cz kuna jamaa alikuwa ananitongoza cha ajabu stahili zake zilikuwa ni za mifano, utasikia kwa mfano nikakuoa halafu ukasikia nina mtu au labda ni mtu wangu wa zamani utafanyaje.
Jamani nilimfukuzia mbali nikasema pumbavu una mtu wewe halafu unajaribu kunizuga mimi, kwa sababu alikuwa ndo anaanzisha uhusiano na mimi sikuona tatizo kumfukuza mtu huyo. Hivyo be care full fanya uchunguzi mpendwa.
 
wanaume wana mitego sana, may be na wewe umwulize kuwa akisikia una mume mwingine atajisikia akwambie hapo utapata jibu kamili.
 
Mwambie nikigundua nitachoma nyumba.
 
Asante Best nishaanza uchukunguzi pole pole...
 
wanaume wana mitego sana, may be na wewe umwulize kuwa akisikia una mume mwingine atajisikia akwambie hapo utapata jibu kamili.
wallah sijawahi hata kulifikiria kumuliza hilo,yani kanipa mizungu na kugwi wangu keshakufa..
 
Be strong and positive challenges zipo ukiwa firm atajua jinsi ya kujiheshimu ila ukideka na kuchekacheka hapo.......unaonesha weakness na ata temper na mustaqabal wa ndoa yako
wallah kwa haya maswali aloniuliza nilazima nijipange kwangu mimi kwa sasa mustaqabal wangu ni watoto wangu na maisha yangu sio yeye tena hata kama nampenda na alhamdulillah haja nizidi kete kua kila kitu changu niandike jina lake
hana chochote chenye jina lake,sasa akijaribu namuonea huruma atakua kachamba *****..
 
Take easy and dont lead the divorce way.....never give it a thought!!!!! ila nasisitiza kuwa na msimamo na unalolitaka sisi wanaume baadhi smtimes huwa wanapima upepo tu akiona hauna nguvu ndo zinaanza vituko I have sisters na hili huwa nawaambia......wasikubali kutingishwa kwa upuuzi!!!! Mimi nimeoa na namuheshimu sana mke wangu so nakuchukulia kama sisy....kama anataka kuoa mke wa pili aje na agenda wazi na maegemezi ili mlijadili sio kupimana imani kwa aina hiyo na la nataka kujua jinsi utavyoreact just incase kachepuka then aulize wazi.......kama aliweza kukutongoza na ukakubali haya yote anatakiwa kuweza kuyafanya..........

Mchukulie kwa tahadhari mtu anyeweweseka akiona/ kukifikiria kivuli chake...............

Kheir Inshaallah mamy
 
huyo kashapata nyumba ndogo,sema tu anakutengenezea mazingiza.
 
Nyumba ya kwangu sio yake ....

hahahahahaaaaaa, hata nyumba siyo yake!!!!!, kumbe umempa hata hifadhi tu. Basi, hapo anataka kuona reaction yako baada ya wewe kujua ukweli wake. Hadi hapo jua tu kuwa he might be one of those opportunistic guys. Au dada umepunguza mishemishe uliyokuwa ukimpa?, kama ulikuwa na tabia ya kumfanyia vitu mbalimbali vinavyohusiana na pesa, basi elewa kuwa kama vitu hivyo vimepungua, anaandaa mazingira ya kusonga mbele. Pia kama unaishi nae muda mrefu mpaka sasa ungekuwa umeshagundua kitu. Je anaonesha msimamo wowote katika maisha yake, otherwise, he is after something else. Msikilize misimamo yake ki-maisha, angalia mambo anayopenda kuongelea zaidi, maana jua kwamba kilichoko moyoni mwa mtu ndicho humtoka mara kwa mara. Anaweza kukuficha kwa muda mfupi, lakini hawezi kufikisha mwaka 1 au zaidi bila wewe kumstukia, but that depends on how serious you are.
Pole girl, dalili ya mvua ni mawingu dada. Take care of yourself. Jaribu kumweka sawa, pia angalia na umri wake na linganisha na mambo anayoyafanya. Pia zingatia kuwa siku hizi fisi wako wengi, ndani na nje so you need to be more careful than you might think.
 
Kuna mtu hum ndani alikuwa anaomba ushauri kuwa amezaa mtoto nje ya ndoa.
Akaomba mbinu za kumwambia mkewe bila kuharibu ndoa yake. Asilimia kubwa ya watu walimshauri a ulize kwa njia kama mumeo anavokutega na vijiswali hivgo.
 
Back
Top Bottom