FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
Mwambie tena ukiwa very searious nitachomoa roho ya mtu ..uone reaction yake :smile:
Wallah wala sichanganyi tena naona mparaganyo tuu..KUNA MAHALI ATAKUWA ANAPITIA AKIRUDI NYUMBANI MWEPESIIIIIIIIII! kuna wimbo unaimba!"babu ji.....a inama ufikiri,mali yako inaliwa! mali yako inaliwa eee! mali yako inaliiwa ooooo!" lazima utumie mbinu kali sana kujua kwa nini anauliza hivyo.
Shosti story ilianzia kuna mdogo wake amamke hawajapata mtoto miaka 15 bwana naenda nje kapata mtoto anamiaka miwili na mke hajui, sasa nikawa naongeana nae kwakweli imenikera alivyofanya mdogo wake,ndio akaniuliza hayo...lakini pia inabidi niamke nimelala sanaa..Kuna mambo ambayo wanandoa hujiuliza na kupenda sana wajue wenzao wanaweza fanya nini katika situation ipi... Wengi hujiuliza maswali kama 'nikifa itachukua mda gani kuwa na mwingine?' 'ukinifuma utachukua hatua gani?' 'ukisikia nina mtu (yaani niki cheat) itakuwaje?' 'nikipta ajali nikawa kilema utaniacha?'
Kwa mtazamo wangu sababu za mwenza kuuliza hayo inaweza kuwa;
1. Katika story na wenzie (iwe wa kike ama wa kiume) wakajadili sana kuhusu hilo la kufumaniwa. Akapata perspectives mbali mbali na kumfanya awe curious kutaka kujua wewe utafanya nini.
2. Ni moja ya wale ambao hawana heshima kwa wenza wao... Unaweza kuta hata anaye tayari na in a way ana ku alert kuwa hauko peke yako. (Hii kwa kiasi kikubwa inaweza kuwa kwa wale ambao ndio sio ya amai sana na hukwaruzana mara kwa mara...).
3. Labda mlikuwa wenyewe katika maongezi yanayo elekeana na hio topic ikaja tu ile urge ya kutaka kujua...
Kwa muktadha huo you can not judge him/her kwa kuuliza hilo haitakiwi uipe sana uzito... Labda kama kuna signs nyingine ambazo sio nzuri katika mahusiano yenu.
Shosti nilishtuka nikamwambia tena usije ukajaribu namake ntakufanya kitu maisha yako hutokaa unisahau,nimemkazia jichoMwambie tena ukiwa very searious nitachomoa roho ya mtu ..uone reaction yake :smile:
Bila kukuficha ndio mie nimeulizwa jumapili sasa naona kila nikifikiria linani changanya nikaona nije hapa nipate ushauri...
Ah mwenzngu Bp lazima mume mtamu ivoo!huyo bwana hata kama hana mwanamke basi anatamani tamani au yupo majaribuni kutoka kwa ushauri a marafiki zake so anapima upepo na ukuzoesha ili hata ikitokea basi ushshtuke sana ukafa na presha.
Habari wana MMU,
Ivi mume anapokuuliza maswali kama "Ivi mke wangu ukisikia nna mwanamke au nimeoa utajisikiaje'?
anamaana anakutayarisha au anakuharifu au anakupima utakaposikia habari hizi?
au anakwambia ili ukisikia usiamini? manake baadhi ya wanaume wako na maneno kama hayo kwa wake
zao au wapenzi wao.
naombeni mnisaidie kwenye hili waungwana...
Habari wana MMU,
Ivi mume anapokuuliza maswali kama "Ivi mke wangu ukisikia nna mwanamke au nimeoa utajisikiaje'?
anamaana anakutayarisha au anakuharifu au anakupima utakaposikia habari hizi?
au anakwambia ili ukisikia usiamini? manake baadhi ya wanaume wako na maneno kama hayo kwa wake
zao au wapenzi wao.
naombeni mnisaidie kwenye hili waungwana...
kweli sikufichi naandika huku natetemeka,Yafuatayo yanawezekana kama maoni yaliyotangulia;
1. Anakumika mawazo yako na kiwango cha upendo wako kwake, au
2. Amegundua una mapungufu fulani sasa anataka aongeze mwengine ili kujiridhisha/kujisumbua zaidi, au
3. Tayari ana ka-totos pembeni anataka aki-officiate kuwa mke rasmi, au
4. . ................
Ni kawaida tu inategemea na mnavyoishi.......mimi na mke wangu huwa tunzaungumzia hizi mambo as tunajua we are not exempted so tunajadili kwa uwazi ili kila mmoja wetu ajue litalomkuta once atakengeuka mimi niliambiwa siku nikigundulika nijue ndo mwisho wa mimi kupata malovie yake ........so najua adhabu yangu naka kama nikiamua then ntakuwa najua nilitendalo......na yeye hatakuwa na haja ya kuuliza as tumeshaongea haya saaana na tunaongea kila linalowea kuharibu au kudumisha ndoa yetu.........so mjibu ukweli wa dhati na yeye muulize siku akijua mtoto mmoja sio wa kwake atafanyaje?????
mmmmm!!!ndio siku atakapo wachukua akawapeleka Hospital kuwapima DNA...
Naomba mungu tuu yasifike huko napenda familia yangu sana na itaniuma sana nikijagundua,ila kama imeshatokea sitakua na jinsi....Na akili itakuwa imemkaa sawa kuwa hatari haichagui upande na mikono huoshwa both before and after meals.......yaani atajua kuwa kama yeye anaweza kuchachua na wewe ukiamua unaweza kuchachuliwa vile vile........
Heshima kitu cha bure.......kuitunza au kuibogoja ni just uamuzi wa muhusika waaaalaaaa usikae roho juu.....mjibu kwa mapana na marefu bila jeuri wala kejeli tena mketishe aelewe vema msimamo wako juu ya hilo ili awe informed apriori.......asije sema hakuonywa!!!!!!!!!!!!!!!!
Naomba mungu tuu yasifike huko napenda familia yangu sana na itaniuma sana nikijagundua,ila kama imeshatokea sitakua na jinsi....