Uaminifu na upendo hutoka kwenye nafsi ya mtu wala sio kwenye pete kidoleni wapo wanaovaa pete lkn ni wasaliti, mi sioni tatizo hapo.
Dada yangu Sky Éclat, sijaoa ila sioni sababu ya Pete kua kesi kubwa kama haijavaliwa!Siku ya harusi pete zenu zilibarikiwa na mlivalishana. Kamati ya harusi iliandaa usiku mmoja Kempinski kabla hamjasafiri kwenda Serengeti kwa honey moon.
Mmetoka tu reception bwana harusi anapovua suit yake anavua na pete na anakwambia kabisa hawezi kuvaa pete maishani mwake lakini anaahidi kuwa mume bora.
Pamoja na kuwa havai pete, face book profile yake ameweka picha yenu ya harusi na status amechange kuwa married.
Hii imekaaje na wewe utaichukuliaje?
]Commitment sio kuvaa pete. . Tuna waume hawavui pete lakini they cheat left and right kama vile wana wadudu wanawatekenya
Some people are uncomfortable with certain things mkuu, mfano mi sijawahi kuvaa saa na sitakuja kuvaa saaHakuna excuse ya kutovaa pete zaidi ya ushenzy na uhuni!!!!
Mshana Jr, njoo hii ya Madini imekaaje?Wawili walio mwili mmoja wanapaswa kukaa chini na kujadiliana kwa busara. Kwa mfano, kuna watu wana mzio na madini aina fulanifulani.
Hii ndo point wanandoa wengi hawatakagi kuikubaliWewe tena mshukuru ambaye hajavaa pete maana wadada wa saa hvi wengi wanapenda sana wanaume wenye pete maana ule unakuwa uthibitisho kuwa kaoa na hata wakiwa nae hata mbana bana
Some people are uncomfortable with certain things mkuu, mfano mi sijawahi kuvaa saa na sitakuja kuvaa saa
mkuu wake za watu walikuwa na neno lao MBA Married But Available wakimwona wanaemzimikiaHakuna wanawake malaya kama wake za watu, miye wa kwangu sijui mienendo yake kwa sababu tabia ya kumfatilia mwanamke niliacha miaka mingi.
Maamuzi anayo mwenyewe ni jukumu lake kujilinda hata simu yake siigusi kamwe.