Mume amenitenda

King Kong III christine ibrahim amu et al tafsiri ya nyumba nzur kwake na kwako sidhani kama znaendana. Kunapost anasema wamejenga kwa milioni 8, ukijumlisha na ka Vitz haitafka 20. Hela hyo ilikuwa ni ya puu paa, haimaanishi (koz hajasema) kwamba mirija ya kupata imefungwa.
 
Last edited by a moderator:
Eeeh! hebu dada acha utani
Ni laana au?
Ram usishangae dada yangu, watu hawa wapo!! Hujawahi kusikia baba anatembea na mwanae wa kumzaa hadi wanazaa mtoto? Tumuombe sana Mungu atuepushie hayo malaana.
 
Nafkiri hilo dili mlilopata likawapa M.30 lilikuw dili feki, pengine hayo ya kutembea na dada ndo masharti ya dili lenu. Tofauti na hapo tueleze lilikua dili gani, na ni hyo m.30 mliwezaje kujenga, kununua gari, kuhonga n.k maana si nyingi.
Kama hujatunga
 

na mimi naweza kukwambia gari nzuri inaanzia mil 80.....my point is uzuri kila mtu ana tafsiri yeye,huko kijijini kwao nyumba aliyojenga kwa mil 8 ndio nzuri kuliko zote ataacha kusema kajenga nyumba nzuri???

 
wa tumbo moja kabisa

Subhanallah dunia imekwisha...

Amelaaniwa huyo kama ameweza lala na dada yake basi hashindwi kufanya lolote...kuwa makini


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForum
 

Sio dada yake tu, wote hawajatulia! Dah, masuala ya ndoa magumu kweli kushauri. Pole sana though.
 

Vijiji vya tabora kuna dhahabu ila kijiji kujenga nyumba n cheap mana wanatumia tofali l kuchoma.

Pia inawezekana waliuza eneo au shamba lao jirani n migodi
 
uongo mtupu. eti miaka 12 hawana kazi, wamepata zali la milioni 30 wamejenga nyumba nzuri na kununua gari na zikabaki za kuhongea na kulewea. Watu wengine sijui wakoje?!
 
Hapa kuna kauongo
mil. 30 = nyumba nzuri + gari + hela za kuleweya + pesa za kuhonga...............duuuu

kwa nini unajua wana gari aina gani! au unaelewa uzuri wa nyumba yake anupimaje!
 

ni kweli kabisa Mungu mmoja!
 
uongo mtupu. eti miaka 12 hawana kazi, wamepata zali la milioni 30 wamejenga nyumba nzuri na kununua gari na zikabaki za kuhongea na kulewea. Watu wengine sijui wakoje?!

kama huamini njoo Kalitu-Nzega nitakuonesha nyumba tuliyojenga* huku vijijini gharama ya ujenzi na maisha ni cheap sana!
 
Du! Nahisi ghazabu za mnyazi Mungu juu ya sodoma na gomola zinakaribia kurudi. Heri Yangu Mimi, nimetuliiiia tuli!
 

mil. 30 unanunua gari na kujenga nyumba? kweli?
 
huyo kalaaniwa.., mfanyieni maombi haraka sana. najua mtu alipata pesa anaweza kubadilika, kulewa kubadili wanawake, lakin sio kutembea na dada yake wa damu. there is smthing wrong katika kichwa chake. sio bure
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…