Mulugo Karudia Tena Madudu yake!

mheshimuni mh!!! watu wengi wamempa kura jimboni kwake!! koo nao ni mazombi!!
 
mulugo alikua na kashfa ya kufoji vyeti, kwa hili sio ajabu kulisikia kwake
 

Sio usaili per se. Zamani au tuseme awamu zilizo tangulia, TISS walihusika kutoa dossier ya mtu. Sasa sina uhakika kama hawafanyi tena au zinapuuzwa.
 
Mtu akikutukana kwa kukufananisha na Mulugo, pigana kwa kuwa hakuna tusi baya kuzidi hilo katika Tanzania
 
Nilikuwa sijafahamu kumbe kwenye hiyo report yake aliandikiwa 1964 yeye akasoma wani naintini sikste foo, akaandikiwa Pemba and Zanzibar yeye akasoma Zimbabwe and Pemba...ha ha haaa, halafu ndo waziri wa elimu..eti the VETA..ha ha haa
 
Huyu Mulugo na wengine kama hawa ndiyo sample za viongozi wanaoturudishia nyuma taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…