Mulugo Karudia Tena Madudu yake!


Niwhatsapp 0755513433
 

Kwahiyo unamtetea?
 


Kasoma Sangu secondary school Mbeya na alitumia jina la MTU huyo....

Bora wewe mbeba boksi hata English unaijua kuliko huyu kilaza aliyeliacha uchi taifa!!!

Jamaa ni kilaza saaana.
 

0652112026 naziomba hizo spichi zake mkuu.
 
Mulugo kama Mbowe tu,wote walifoji vyeti,wote walipata div 0,wote wanatema pumba,mfano Mbowe badala ya kusema Zito is war yeye akaropoka Zito is who
nadhani hukusikia vizuri,mimi sikusikia kabisa!! Hebu rudia kuandika upya!
 
Ndiyo Waziri huyo!! Kumbe Kikwete alikuwa na kazi kwelikweli. No wonder Rais kisha jichokea na kazi. He can't wait for October to come!!
 
Hiyo ndio Tanzania nchi ya miujiza na maajabu. Watalii wanakuja Tanzania kwa mengi ikiwemo kutushangaa sisi Watanzania. Rejerea hutuba ya MKOSAMALI bungeni.
 
Ni makosa ya Kimatamshi tu...

Au majanga kama majanga mengine yanayoletwa na Muumba na sisi binadamu hatuna uwezo wa kuyazuia. Kategoria ya ukame, mafuriko ya mvua, utawala kandimizi wa chchiemu, nk. hahahahahahahahahah, wabongo hatuna noma, mambo mswano!!
 
huyu bwana mulugo ni kilaza wa ukweli wala haigizi. huyu mtu nashindwa kuelewa aliteuliwaje kuwa naibu waziri wa elimu...anatia huruma mno.

Uwaziri au unaibu wa uwaziri ni mambo ya kiuanamtandao hayo. hayana uhusiano na uwezo au ukilaza. Ndio maana wachichiemu wameng'ang'ania baraza la mawaziri liendelee kupatikana kwa utaratibu ule ule tuliouzoea. Kuishi kwa mazoea. wanajua ni masula ya kiuanamtandao!!
 
ni mbunge wa jimbo langu aliyepita bila kupingwa
 
Hiyo ya suplementary ni masomo kama mengine nimeipenda zaidi
 

Ahsante! Ila STD VII hawafaulu bali wanachaguliwa! Ndiyo maana kuna 2nd selection
 
Huyu.nimbunge wangu najuta kumfaham huyu bwana lakin ukawa bunge.la.songwe wa wamelisusa thats why jamaa ataludi kwa kishindo my be.ccm wajichakachue wenyewe ila huyu bwana ndozii.kweli
 
Huyu.nimbunge wangu najuta kumfaham huyu bwana lakin ukawa bunge.la.songwe wa wamelisusa thats why jamaa ataludi kwa kishindo my be.ccm wajichakachue wenyewe ila huyu bwana ndozii.kweli
Mkuu, UKAWA wapo macho wewe subiri muda ufike. Hakuna Jimbo la kuachwa safari hii.
 
waziri mzigo wametufikisha hili taifa pabaya nina wasi wasi na uteuzi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…