Akiwa anachangia katka Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bungeni, amekurupuka tena Eti" CHUNYA INA UKUBWA WA KILOMITA 29".
Sasa swali ni je, hizo ni Kilomita za Mraba au kitu gani? Hajui hata Vipimo vya Matriki!
Ikumbukwe aliwahi sema Tanzania ni Muungano wa Visiwa vya Zimbabwe na Tanganyika,
Pia alisema Tanganyika got independent 1961(Nineteen nineteen sixty one).
Napo kule Tukuyu Teachers Collage alidai atapandisha mishahara ya watumishi mpaka wapande kufikia "A".
Mwisho, aliwahi sema Supplementary ni somo kama masomo mengine hivyo lazima ufaulu tu, hakuna namna.
Huyu jamaa anafanya kusudi, ni Kilaza ama anakurupuka tu.
Hili jitihada Mulugo ni mburula la kutupwa. Halafu nawashangaa wananchi wa Jimbo la Songwe wanamchagua. Hapa kweli kuna haja ya kupima uwezo wa kufikiri wa wananchi hawa.
Lakini ni kweli wanafunzi wengi sana wanadharau somo la supplementary. Hili nalo ni somo kama masomo mengine ni lazima kufaulu tu.
Utawala wa JK hakika utakumbuwa kwa kuwa wa ajabu ajabu sana.
akiwa anachangia katka makadirio ya matumizi ya wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi bungeni, amekurupuka tena eti" chunya ina ukubwa wa kilomita 29".
Sasa swali ni je, hizo ni kilomita za mraba au kitu gani? Hajui hata vipimo vya matriki!
Ikumbukwe aliwahi sema tanzania ni muungano wa visiwa vya zimbabwe na tanganyika,
pia alisema tanganyika got independent 11961(one nineteen sixty one).
Napo kule tukuyu teachers college alidai atapandisha mishahara ya watumishi mpaka wapande kufikia "a".
Mwisho, aliwahi sema supplementary ni somo kama masomo mengine hivyo lazima ufaulu tu, hakuna namna.
Huyu jamaa anafanya kusudi, ni kilaza ama anakurupuka tu.
Akiwa anachangia katka Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bungeni, amekurupuka tena Eti" CHUNYA INA UKUBWA WA KILOMITA 29".
Sasa swali ni je, hizo ni Kilomita za Mraba au kitu gani? Hajui hata Vipimo vya Matriki!
Ikumbukwe aliwahi sema Tanzania ni Muungano wa Visiwa vya Zimbabwe na Tanganyika,
Pia alisema Tanganyika got independent 11961(One Nineteen sixty one).
Napo kule Tukuyu Teachers College alidai atapandisha mishahara ya watumishi mpaka wapande kufikia "A".
Mwisho, aliwahi sema Supplementary ni somo kama masomo mengine hivyo lazima ufaulu tu, hakuna namna.
Huyu jamaa anafanya kusudi, ni Kilaza ama anakurupuka tu.
Na wewe umekosea, Mulugo alikosea kweli kuhusu hiyo miaka na alichosema ni Tanzania was found in 11964(one nineteen sixty four) badala ya 1964(nineteen sixty four) na siyo kama ulivyoandika. Audio ipo ukitaka weka hapa namba yako ya whatsapp nikutumie.
Tena swali la msingi sana, ni vyema tuwajue hawa walimu wa somo la supplementary ili kuweza kuboresha ufaulu katika somo hili.Mulugo kama ulivyowewe aliuliza mkuu wa chuo hili somo la Supplementary linafundishwa na nani? ulivyo na wewe hili nalo ni somo?? Aliyemchagua kuwa waziri naye walakini!
Mulugo huwa anatumia JUHUDI bila MAARIFA!