Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

hivi sisi wa mjini mnatuchnganya mnatka wa kijijini wafanjeje acheni upumbavu bana mana mnatoa zero mara mnarudisha?? which is whiich???
 
mh ! kwani Katibu mkuu Prof Mchome alitoa Press release ya swala hili ? au
 
Ti ti ti tiboh oh oh ha ha aa yap yap yap e bwana ee .. ti ti ti ey ey ey haaaa ebwana yap yap yap


QUOTE=Rweye;7732855]Tz utafikiri tuko kwa waganga wa kienyeji kila mmoja anaongea ya kwake alafu serikali ni ile ile moja ya baraza moja la mawaziri na rais mmoja




Nahisi kuugua makorofindo!![/QUOTE]
 
Jana asubuhi Mulugo aliitwa kwenye mjadala wa mambo haya Star TV lakini akaingia mitini! Yeye ndo alikuwa mgeni mualikwa kwenye studio ya DSM lakini mtangazaji alimsubiri hadi mwisho wa kipindi bila mafanikio. Sasa sijui alikuwa hajajiandaa?
 
Naangalia TBC 1 hapa,naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Philipo Mulugo,amekanusha maneno ya Mchome ya kuongeza daraja la 5 na kusema daraja hilo halipo na sifuri ipo pale pale.

Source; TBC 1

sasA anatwambia pumba gani huyu waziri?au kashindwa kujibu maswali?huyu jamaaa hafai kuwa waziri wa tanzania coz majibu yake huwa full utata....ni mjinga sana huyu.....
 
1451547_354176594719347_83005023_n.jpg
 
What does this mean? Mtendaji anaema hivi na waziri anasema kinyume chake! Ndani ya Wizara moja!

yaani mi mpaka sasa bado nashangaa. ina maana hakuna vikao vya wizara vinavyofanyika na kufikia maamuzi haya makubwa. ndio maana Dr Ndali aliamua kusepa zake, maana watu wanakuaibisha hivi hivi na madigrii yako kibao
 
Naangalia TBC 1 hapa,naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Philipo Mulugo,amekanusha maneno ya Mchome ya kuongeza daraja la 5 na kusema daraja hilo halipo na sifuri ipo pale pale.

Source; TBC 1

mbona wakitwa tv station nyingine awaendi?waliitwa star tv,channel10 na itv kote wamekula kona.jipangeni mnaboa
 
Hivi huwa hawashauriani kabla ya kutoa ------?
 
Hivi mpk prof. Mchome anakwenda kwenye media,hawakushirikishana kwenye vikao vya wizara. au walikuwa wanaangalia upepo kama utapita au la!
 
Ingawa kwa hilo nakubaliana naye, kama binadamu anaitwa Mulugo ametoa maoni yake sina la kusema. Hivi pamoja na kufoji kote huko Mulugo ado Naibu Waziri? JK, huyu mtu ana kazi nyingine ipi kitaifa au ni mganga? Mnataka afanye lipi ndipo umuondoe?

mmmhh!
Wadogo zetu wameingia kwenye mtihani wakijua hakuna Div 0 but wakitoka kwenye mtihani wanakutana na Div 0, huku si kuwachanganya wanafunzi kisaikolojia??
 
it seems they are not serious unategemea nini kwa wanafunzi wao?
 
Back
Top Bottom