Mabata wadogo wadogo wanaogelea kaktika shamba zuri la elimu la Tanzania. Ni nchi pekee ambayo huwezi kutofautisha profesa na aliyeishia darasa la nne. Tunamsubiria Pinda na yeye aropoke lake. Tuendelee kusubiri tuone Alhamisi akitwangwa swali kuhusu hilo atajibu nn?
Tukiua mfumo wa elimu tutakuwa tumemaliza kila kitu.Litabaki kuwa taifa la wajinga!DAAH.....Elimu sasa kama kichwa cha mwendawazimu....kila mtu anajifunzia kunyoa nywele
Sitashangaa sana maana ndio mfumo tulioamua kuufuata. Big result now ilitaka kutuaminisha kuwa wanafunzi wote wamefauli maana hakuna zero.Profesa huyo aliamua kuita press na kutoa hayo aliyotoa bila kumuhusiha waziri. chaajabu hii wizara sijawahi msikia sana Dr. Kawambwa ila mara nyingi yuko Mulugo. Lets see. ila nashukuru katangaza asubuhi wanafunzi wakiwa washawahi shuleni.Hivi hii ndo "BIG RESULTS NOW nini Mkuu" watoto wanaanza mitihani chenga na danadana zimeshaanza .....Usijali tutaunda tume ya kuchunguza ..... na hapa usije ukashangaa baada ya matokeo kilaza mwingine akasema watoto walifeli kwasababu ya kuathirika kisaikolojia na Amri ya Mulugo ya kuondoa ofa ya Mchome kufutilia mbali division Zero ili watoto wakiwa shuleni waserebuke tu......Haya mambo unaweza ukayaona Tanzania tu...
Mabata wadogo wadogo wanaogelea kaktika shamba zuri la elimu la Tanzania. Ni nchi pekee ambayo huwezi kutofautisha profesa na aliyeishia darasa la nne. Tunamsubiria Pinda na yeye aropoke lake. Tuendelee kusubiri tuone Alhamisi akitwangwa swali kuhusu hilo atajibu nn?
Ha haa haaa haaaa...! Mkuu umenikumbusha hii,nimecheka sana! Jamaa aliongea akiamini daraja A ni kubwa kuliko C. Aaah,mulugooooooo.....!!Na haiwezekani ww unasumbuka miaka yote hii kupandishwa daraja ukiwa upo palepale daraja C,nipe jina lako nikirudi ofisini nitahakikisha daraja lako la mshahara linapanda mpaka A.
Me nashukuru Mungu ameongea wakati wanafunzi wakiwa tayari wapo shule! Angeongea jana,ki-saikolojia ingewaathiri saana.
kauli ya kilaza. Sishangai hata kidogo.naangalia tbc 1 hapa,naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi philipo mulugo,amekanusha maneno ya mchome ya kuongeza daraja la 5 na kusema daraja hilo halipo na sifuri ipo pale pale.
Source; tbc 1
Ingawa kwa hilo nakubaliana naye, kama binadamu anaitwa Mulugo ametoa maoni yake sina la kusema. Hivi pamoja na kufoji kote huko Mulugo ado Naibu Waziri? JK, huyu mtu ana kazi nyingine ipi kitaifa au ni mganga? Mnataka afanye lipi ndipo umuondoe?