Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,202
- 138,567
kuanzia sasa mimi nipo kambi ya Mulugo,hii kambi haina networking,utapoamkia ni hapohapo
Nini sasa hii? Katibu Mkuu ana Wizara yake na Naibu Waziri ana Wizara yake! Ngoja aje sasa Dr. Kawambwa naye aseme.
kuanzia sasa mimi nipo kambi ya Mulugo,hii kambi haina networking,utapoamkia ni hapohapo
Wadau tangazo la Wizara hilo hapo angalieni nani mkweli nani muongo
Mulugoooo apo sawa baba ziro iwe pale pale
wajinga huko juu ni wengi kuliko nilivyodhania!! puuuuuuuuuuuuu!
wajinga huko juu ni wengi kuliko nilivyodhania!! puuuuuuuuuuuuu!
Supplimentary ni somo kama somo lingine lazima kufaulu@Mulugo
Wadau tangazo la Wizara hilo hapo angalieni nani mkweli nani muongo
dah inashangaza sana wizara moja majibu tofauti, tuamini lipi?