Sio kazi rahisi kama unavyofikiria kuna wajinga mpaka leo wamechaguliwa round ya kwanza na bado hawapigi simu kufanya confirmation popote , pia vyuo hivyo ni vikubwa ikitokea baadhi ya watu hawajafanya confirmation maana hata nafasi iliyobaki wazi haijulikani sababu unaweza ukaacha kumpa mtu nafasi kumbe uliyemuwekea haji , pia unaweza kugawa alafu akaja wakati nafasi haipo , alafu hivyo ni vyuo vikubwa kuanda list sio kazi ya kitoto nafasi bado zipo nyingi watu wa kufanya confirmation ndio wanazingua , kuna mtu namfahamu amechaguliwa multiple na jina lake hata kwenye list ya TCU halipo