Multiple deaths reported at shooting in Munich shopping mall

Multiple deaths reported at shooting in Munich shopping mall

Echolima

Mkuu wakati mwingine ni vizuri kutafakari mambo kiundani zaidi kabla ya ku comment - je, machafuko yote na vifo vya raia wasio na hatia katika Africa ya kasikazini, Mashariki ya kati na Afghanistani nani wahusika wakuu wa majanga hayo?

Umesikia mara ngapi drones zinauua watu kwenye harusi , misikini, mahospitali na mashule kwa visingizio vya kuwauua magaidi - magaidi walio wachonga wenyewe na kuwa finance kwa masuala ya regime change na Geopolitics za Wamarekani na baadhi ya nchi za Ulaya zinazo unga mkono blindly Uncle SAM, ndio hao hao wanawageuka baada ya kushurutishwa na wenzao wajiunge na Jihaad.

Hivi hizo nchi za magharibi - zinapo kill watu emass bila kujali kilio cha binadamu wenzao unategemea nini Mwisho wa siku? Si mwishowe ndugu zao watakuja kilipiza kisasi kwa njia yoyote ile - nyie mnatumia mindege, maroketi kuwamaliza wao wanatumia visu, shoka, magari/malori kukanyaga watu, ndege za kubeba abiria wanazibamiza kwenye majengo vike vile wanatumia AK-47 na improvised bomb zilizo jazwa misumari au ball bearings - yaani terror wazungu wanazo export Africa mashariki ya kati na afghanistani zinakuwa re-export kwao na a well trained fighters wanao jifanya ni wakimbizi - lengo lao ni kulipiza kisasi kwa njia mbadala ambayo ni equally effective kwa kuua watu na ku-instill fear/terror kwa wenyeji wa Ulaya na Marekani ndio wajifunze kwamba wanayo wafanyia watu ambao si wazungu na wao kibao kinaweza kuwagehukia wakaonja shubiri - yote hayo thanks to Angela Merkel na Erdogan kwa ukosefu wao wa akili - sasa wapiganaji hao wamekwisha tapakaa Continental Europe na Uingereza - kuwatambua na kuwatoa itakuwa kazi kweli kweli.

Siyo kwamba na
support Ugaidi la asha, nisicho penda mimi ni hizi nchi za magharibi ku terrorised nchi changa kwa visingizio mbali mbali na kuishia kuzisababishia madhala makubwa kwa binadamu na mali zao - hii siyo fresh hata kidogo, labda matukio haya ya kigaidi nchini mwao watajifunza kitu nacho ni: KUHESHIMU BINADAMU WENZAO.
 
Ila awamu hii wamefariki wachache, tisa tu!

Insemwa kuwa ni ama mzungu mwenye msimamo mkali yaani wanaitwa "right wing movement" au wale raia wengine ambao wanaangaliwa na serikali kwa kila kitu yaani anachukua malipo ya kujikimu inaitwa "benefit"

Kuna uwezekano mkubwa akawa ni mtu mwenye matatizo ya akili na ameruka muda wa kunywa zike dawa zao wanazopewa.

Lakini amejiua baada ya kuuwa watu nane.

Inashangaza imekuwaje huyu jamaa amepata bunduki, maana kumiliki silaha Ujerumani ni kuna hatua ngumu za kupitia.

Tusubiri habari zaidi, hii nnayoelezea ni uchambuzi tu wa kitaalam.
 
Mkuu wakati mwingine ni vizuri kutafakari mambo kiundani zaidi kabla ya ku comment - je, machafuko yote na vifo vya raia wasio na hatia katika Africa ya kasikazini, Mashariki ya kati na Afghanistani nani wahudija wakuu?

Umesikia mara ngapi drones zinauua watu kwenye harusi , misikini, mahospitali na mashule kwa visingizio vya kuwauua magaidi - magaidi walio wachonga wenyewe na kuwa finance kwa masuala ya regime change na Geopolitics za Wamarekani na baadhi ya nchi za Ulaya zinazo unga mkono blindly Uncle SAM.

Hivi hizo nchi za magharibi - zinapo kill watu emass bila kujali kilio cha binadamu wenzao unategemea nini Mwisho wa siku? Si mwishowe ndugu zao watakuja kilipiza kisasi kwa njia yoyote ile - nyie mnatumia mindege, maroketi kuwamaliza wao wanatumia visu, shoka, magari/malori kukanyaga watu, AK-47 na improvised bomb zilizo jazwa misumari au ball bearings - yaani terror wazungu wanazo export africa, mashariki ya kati na afghanistani zinakuwa re-export kwao na a well trained fighters wanao jifanya ni wakimbizi - lengo lao ni kulipiza kisasi kwa njia mbadala ambayo ni equally effective kwa kuua watu na ku-instill fear/terror kwa wenyeji wa Ulaya na Marekani ndio wajifunze kwamba wanayo wafanyia watu ambao si wazungu na wao kibao kinaweza kuwagehukia wakaonja shubiri - yote hayo thanks to Angela Merkel na Erdogan kwa ukosefu wao wa akili - sasa wapiganaji hao wamekwisha tapakaa Continental Europe na Uingereza - kuwatambua na kuwatoa itakuwa kazi kweli kweli.

Siyo kwamba na
support Ugaidi la asha, nisicho penda mimi ni hizi nchi za magharibi ku terrorised nchi changa kwa visingizio mbali mbali na kuishia kuzisababishia madhala makubwa kwa binadamu na mali zao - hii siyo ftesh hata kidogo.

Siku tatu zilizopita wasyria 51 waliuwawa kwa makosa na ndege za kivita za majeshi ya NATO na Marekani kwenye mji wa Manbij, lakini vyombo mbalimbali vya habari vikafukia habari hiyo.
 
Walipiga madina mlilialia sana humu
Wapigwe tu sio kila sehemu wanayopigwa mie ndio niongee Hata wewe ukiongea inatosha,mie sishobokei uislamu wala ukristo dini hizo zote tumeletewa na wazungu na waarabu)
Ila msiipige Tanzania nitaumia sana.
Nalog off
 
Mkuu fatilia habari vizuri kabla ya kupost
Nimefuatilia na nimeielewa,nachotaka Mimi Hawa magaidi warudi na kuipiga tena ufaransa kwa Mara ya pili ingawa Uzi huu unazungumzia kuhusu tukio la ujerumani.
Nalog off
 
Siku tatu zilizopita wasyria 51 waliuwawa kwa makosa na ndege za kivita za majeshi ya NATO na Marekani kwenye mji wa Manbij, lakini vyombo mbalimbali vya habari vikafukia habari hiyo.

Ndiyo walivyo awasemi, we wambie kuwalahumu Wairan, jeshi la Syria, Putin, Korea ya Kasikazini na Uchina - angalia Al- Jazeera na CNN utachoka kwa kusema kwao uongo na propaganda tele - wanafikiri Dunia haina akili ya kutambua maigizo yao.
 
Ni mzungu mwenye msimamo mkali yaani wanaitwa "right wing movement" na ni wale ambao wanaangaliwa na serikali kwa kila kitu yaani anachukua malipo ya kujikimu inaitwa "benefit"

Kuna uwezekano mkubwa akawa ni mtu mwenye matatizo ya akili na ameruka muda wa kunywa zike dawa zao wanazopewa.

Lakini amejiua baada ya kuuwa watu nane.

Inashangaza imekuwaje huyu jamaa amepata bunduki, maana kumiliki silaha Ujerumani ni kuna hatua ngumu za kupitia.

Tusubiri habari zaidi, hii nnayoelezea ni uchambuzi tu wa kitaalam.

Mkuu train siku hizi zinatoka Uchina mpaka Ulaya (Poland) - jamaa hawa ni rahisi sana kupata silaha za magendo kutoka Ulaya mashariki zikapitishwa kwa kwa njia za panya au zikawa concealed kwenye chasis za maghari au kutumbukizwa kwenye tanki la mafuta, spare tyre nk.
 
Ni mzungu mwenye msimamo mkali yaani wanaitwa "right wing movement" na ni wale ambao wanaangaliwa na serikali kwa kila kitu yaani anachukua malipo ya kujikimu inaitwa "benefit"

Kuna uwezekano mkubwa akawa ni mtu mwenye matatizo ya akili na ameruka muda wa kunywa zike dawa zao wanazopewa.

Lakini amejiua baada ya kuuwa watu nane.

Inashangaza imekuwaje huyu jamaa amepata bunduki, maana kumiliki silaha Ujerumani ni kuna hatua ngumu za kupitia.

Tusubiri habari zaidi, hii nnayoelezea ni uchambuzi tu wa kitaalam.
Siyo wale wanyowa vipara?
 
"Instead of triumph of democracy and progress, we got violence, poverty and social disaster - and nobody cares a bit about human rights, including the right to life," Putin said through a transilator. "I cannot help asking those who have forced that situation: Do you realize what you have done?"

Rais wa Urusi Vladimir Putin alizungumza na kuuliza hili swali akihutubia katika 70th session ya United Nation General Assembly - U.N. Headquarters New York, September 28 2015.

Wahusika wa kuanzisha vita kule Middle East sijui kama walimuelewa maana walikodoa mimacho kwelikweli!
 
Wameuana wenyewe mara hii! Inasikitisha.
1469241187311.jpg

Munich shooting: Gunman acted alone, say police - Munich shooting: Gunman acted alone, say police - BBC News
 
EU wapitie upya sheria zake zinazohusu kuwapokea wakimbizi. Wananchi wao watapakimbia Europe.
 
ad_213662870.jpg

Mmoja wa wa watu wenye silaha ambae inasemwa kwamba ni mzungu akiwa juu ya jengo lenye maduka au shopping centre mjini Munich.

Mzungu huyo alisikika akitoa makelel na kutamka maneno kwa kijerumani kwamba, "I am German" yaani "mimi ni Mjerumani" huku akirusha risasi kwa kutumia bastola yake.
1469249016763.jpg
 
Ni mzungu mwenye msimamo mkali yaani wanaitwa "right wing movement" na ni wale ambao wanaangaliwa na serikali kwa kila kitu yaani anachukua malipo ya kujikimu inaitwa "benefit"

Kuna uwezekano mkubwa akawa ni mtu mwenye matatizo ya akili na ameruka muda wa kunywa zike dawa zao wanazopewa.

Lakini amejiua baada ya kuuwa watu nane.

Inashangaza imekuwaje huyu jamaa amepata bunduki, maana kumiliki silaha Ujerumani ni kuna hatua ngumu za kupitia.

Tusubiri habari zaidi, hii nnayoelezea ni uchambuzi tu wa kitaalam.
Kwanini nae asiitwe gaidi?
 
Hizi dini sasa hivi yani imekuwa ukisikia uislamu basi inakujia picha ya ugaidi na ukisikia ukristo basi inakujia picha ya ushoga,yani ni balaa sijui itakuaje.
 
Walianza kwa kubaka mkesha wa mwaka mpya. Hawana maana hao
 
Back
Top Bottom