Multiple deaths reported at shooting in Munich shopping mall

Multiple deaths reported at shooting in Munich shopping mall

ad_213662870.jpg



Mmoja wa wa watu wenye silaha ambae inasemwa kwamba ni mzungu (hii haijathibitishwa) akiwa juu ya jengo lenye maduka au shopping centre mjini Munich.

Mzungu huyo alisikika akitoa makelel na kutamka maneno kwa kijerumani kwamba, "I am German" yaani "mimi ni Mjerumani" huku akirusha risasi kwa kutumia bastola yake.
 
Angela Merkel atavuna alichopanda, aliwakaribisha wakimbizi wengi kutoka nchi za uarabuni. Ona sasa
Hao warabu wametoka wapi? Kwa sababu gani? Mngepindua na Turkey ili afrika tuanze kupokea wakimbizi toka Europe
 
Why wasimgeeenda kuomba asylum
saudi arabia au dubai kwa waislam wenzao?
Hapa hatuzungumzi ukimbizi... TUNAWAPA MESEGI sent kwa walivyochafua nchi za wenzao!! Sasa walioamka wakaamua kuwafuata hadi ulaya...na ndicho unakiona kwa macho yako bila kusikia.... NEXT time waambie waZUNGU PORI watumie akili wasitumie makaratasi...... kujichambia usoni!!!
 
Uarabuni palitulia sana sana tujiulize kwanini pamechafukauarabuni ndio tutapata jibu kwanini France.Belgium. now Germany kwanini[/QUOTE]


Inaonesha kama ni premeditated na huu mpangilio, Intelijensia wana kazi si kidogo.halafu swali lingine linakuja, who's next.
 
watu wahafikirii sijui dunian kuna nchi takriban 196 lakini hawajamaa waache zooote waje waipige France..... Germany
.....USA.....MBNA sio China ambako kuna wakristo wengi kuliko waishio ulaya nzima.....
Humu kuna baadhi ya mijitu hufutia makaratasi nyuso zao kama badala ya kufutia kule zao!!
 
Ur right... unajua nime andika tu sijajua nani anahusika..!!
I will make a quick follow-up..hapo kwenye bluu


Thnx
You are right/U are right

Hapo kwenye bluu, andika tu kiswahili achana na hicho kiingereza mavi chako,Wewe endelea tu kukurupuka na kutema tema hovyo kama mama mjamzito,kwanini tena ndio ufuatilie habari baada ya kutokwa na kinyesi mdomoni?
 
mbwai mbwai tu, mbona uingereza hawashambulii? USA vita vya blacks na polisi inawatosha Uk ndio mshirika mkubwa wa US angepewa nayeye salamu, haya mambo Iraq, Syria, Libya ni kawaida kila siku, kwa sababu kule hakuna watu kuna ngedere tu, wameguswa binadamu ngoja uone povu la OMO
 
Nchi za kiarabu huko watu wanakufa mtu anakwambia ni ujinga wao bila kujali kwamba katika vifo hivyo kuna watoto wasioelewa lolote. Lakini wakifa wazungu watu husikitika na kuonesha chuki zao kwa hao wanaoitwa magaidi,japo vitendo vinavyofanywa na hao wanaoitwa magaidi hufanywa na hata wasiokuwa magaidi ila huvichukulia ni vya kawaida.
 
Angela bora aachie ngazi,alilamba garasa kuruhusu mass entrance ya waarabu,yaani alifikiri waarabu ni wana utu?sasa ulaya inaisoma number,na hii ni trela tu
 
Yani nashangaa likitokea tukio la mauaji ya kinyama mtu husubiri et hadi itangazwe kama tukio hilo limefanywa na magaidi au sio magaidi.
 
IS SUPPORTERS CELEBRATE

There was no immediate claim of responsibility but supporters of Islamic State celebrated on social media.

"The Islamic state is expanding in Europe," read one Tweet.
(Reuters)
 
ad_213662870.jpg



Mmoja wa wa watu wenye silaha ambae inasemwa kwamba ni mzungu akiwa juu ya paa la jengo lenye maduka au shopping centre mjini Munich.

Mzungu huyo alisikika akitoa makelel na kutamka maneno kwa kijerumani kwamba, "I am German" yaani "mimi ni Mjerumani" huku akirusha risasi kwa kutumia bastola yake.

Wewe mwongo kabisa si kweli usemavyo gaidi hawezi kupanda juu ya gorofa ambako hakuna watu na yeye nia yake ni kuua watu wasio na hatia.
 
Wewe mwongo kabisa si kweli usemavyo gaidi hawezi kupanda juu ya gorofa ambako hakuna watu na yeye nia yake ni kuua watu wasio na hatia.

Acha upumbavu, huyo sio gaidi bali inasemwa ni mzungu (haijathibitishwa) mjerumani wale wasiopenda wageni, amepigwa picha akiwa hapo juu ya jengo akijaza risasi kwenye bunduki yake.

Hapo juu ni car park ya hiyo shopping centre.

Hii picha ipo kwenye social media kuna mtu amepiga.

Na video pia ipo ikimuonyesha akirusha risasi kwenye Mac Donalds.

Na kwa taarifa tu kati ya watu tisa waliokufa mmoja wao ni huyo muuaji kwenye picha,
maana aliamua kujiua mwenyewe.

Mimi kupata data na info ni jambo rahisi sana kwangu, hivyo usishangae.

Mkuu fuatilia haya mambo mbona yapo tu available?
 
Wewe mwongo kabisa si kweli usemavyo gaidi hawezi kupanda juu ya gorofa ambako hakuna watu na yeye nia yake ni kuua watu wasio na hatia.
Uongo wake nini? Au umezoea kubisha tu bila sababu. Hiyo ndio video iliotolewa ya huyo shooter kabla ya tukio.
 
Shambulizi la leo wamekufa wangapi?

Wamekufa watu tisa na mmoja wa waliokufa ni huyo muuaji, amejiua mwenyewe.

Sasa hivi polisi maalum wanachunguza begi lake aliloacha.

Inasemekana wauwaji walikuwa zaidi ya wawili lakini hii haijathibitishwa mpaka msako ukikamilika.
 
Back
Top Bottom