Multiple deaths reported at shooting in Munich shopping mall

Multiple deaths reported at shooting in Munich shopping mall

eeee jamanii kweli !! ila sema polepole kwa sauti ya chini..MAANA KUNA WATU HUMU wakikusikia watawa TETEA wee..
Hata wakiwatete ukweli upo pale pale.
Marehem sheikh Ilunga na wahubiri wengi wanawahusisha wajerumani na mauwaji ya waislam wa Tanganyika kwa nia yakudhofisha uislam na waislam.
Huko songea ndio kulipitwa waislam waliuliwa na kufanyiwa kila aina dhulma.
 
Vipi kuhusu watoto na wanawake wasio na hatia waliouawa na wanao endelea kuuawa na ndege za kivita za hao EU na America huko Afghanistan,Iraq,Libya na kwingineko?

Vipi wale watoto waliochomwa kwa makusudi sindano zenye HIV virus huko Libya na hao jamaa zako unaowatetea hapa?

Hivi kati ya hao magaidi na Nchi za magharibi ni nani aliyeua watu wengi zaidi wasio na hatia hapa Duniani?

Ugaidi usipingwe kinafiki,ugaidi upigwe kwa wote kama kweli mtu hapendi kuona watu wasio na hatia wakiuawa bure tu.
EU wanapigana wapi?
Hebu acha kuchanganya mambo
 
Eheee... Vipi mnavosikia na kuona katika news NDEGE F16 za nato na za Unco sam zikishambulia nchi za Iraq Libya Syria na Afghan" jee huko hakuna binaadamu au roho za watu?????????????????????

na bado wataisoma namaba kinyumenyume safari hii...!!!
Jay One Pokofame cosM kama to Din tu Dan !! wenyewe wasema its the mater of TIME !!!

Well said. Tit for tat
 
Juzi watu 85 waliuwa syria kwa bahati mbaya...lakin siiioni hyo kwenye mainstream news....kwakweli sielew kwann...au pengine kuna haki flan ya kuwauwa wengine...lakin wengine wakiguswa tu basi ulimwengu mzima unatetema...! Ikiwa dhana hii ni kweli...basi tutarajie westerners wengi kushambuliwa kwa mtindo huu unaoitwa ugaidi....bse kimsingi...ni sahihi kufanya hvo!
 
We umejuaje kama c waislam?wenyew wajeruman wanasema ni muislam mwenye asili ya iran
Hahaha, ama kweli akili ni mali. Angekuwa mkristo asinge tajwa kwa jina la dini yake.


Wajinga ndio waliwao (hizi media propaganda za kimagharibi zinawapata wajinga wengi sana).

Si ajabu hata hizi attacking ni acting tu kama walivyo act kwenye Septemba 11.

Eti gari moja limewaganyaga watu 83 (na wote wakafa)!!!! .

Hawa wazungu wanatafuta excuses za kuanzisha vita vipya dhidi ya inchi za Kiislamu.

Mara hii sijui itakuwa wapi.

Last time ilikuwa Iraq na Afghanistan, walizivamia inchi hizi na kuvuruga amani ya inchi hizi, bila ya hatia yeyote (it was after 11 September acting).
 
Hahaha, ama kweli akili ni mali. Angekuwa mkristo asinge tajwa kwa jina la dini yake.


Wajinga ndio waliwao (hizi media propaganda za kimagharibi zinawapata wajinga wengi sana).

Si ajabu hata hizi attacking ni acting tu kama walivyo act kwenye Septemba 11.

Eti gari moja limewaganyaga watu 83 (na wote wakafa)!!!! .

Hawa wazungu wanatafuta excuses za kuanzisha vita vipya dhidi ya inchi za Kiislamu.

Mara hii sijui itakuwa wapi.

Last time ilikuwa Iraq na Afghanistan, walizivamia inchi hizi na kuvuruga amani ya inchi hizi, bila ya hatia yeyote (it was after 11 September acting).
Aisee akili ni mali km unavyosema....maana ht iran wnyw alikotokea huyo mtu wamemtambua ila ww ulieko tanzania unabisha....kaaz kwelikweli
 
Tabia ya kuua watu wasio na hatia ni ya waarabu hivyo ikitokea kwa mtu mwingine lazima awe na matatizo ya akili au amekaririshwa na ile imani yao ya kuua maana si kawaida kwa mtu wa kawaida kufanya unyama kama huo.Mfano huyu aliyefanya mauaji huko Munich kuna viashiria kuwa ni jamaa wa Irani ni walewale tu ni kama Nyani na Tumbili.

Hata mimi nashangaa,awataki kusema kinagaubaga kwamba jamaa ni Mjerumani mwenye asili ya Iran - wanacho kazania hapa eti akili zake sio nzuri, kumbuka ajali ya ndege ya Ujerumani walidai rubani msaidizi alikuwa na matatizo ya akili ndio maana alibamiza ndege iliyobeba abiria kwenye milima ya Alps, awasemi ilikuwaje ndege yenye marubani wawili alafu rubani mmoja amwache mwenzake kuangusha ndege !!!

Sasa tuje kwenye mauuaji yaliyo tekelezwa na huyu kijana mjini Munich - watu walimsikia kabisa akisema Al- Akhibal hilo vyombo vya habari specifically Polisi awalisemi wanakazania kusema si member wa vikundi vya kigaidi - he acted alone kutokana na kuwachukia wageni, achukie vipi wageni wakati asili yake inatokana na wageni, alafu wanasema alikuwa anachukia kunyanyaswa alipo kuwa shuleni - swali ni, je , alikuwa ananyanyaswa na wageni au wazungu?

Ukiangalia trend ya Ugaidi huko Ulaya atakuta watu wanao tekeleza mambo haya ni wale ambao asili yao ni ya kigeni: Chukulia mifano ya ugaidi huko Ufaransa wahusika wakuu na Wafaransa wenye asili ya Africa Kasikazini, haya tuje Uingereza walio plant mabom kwenye mabasi na underground train/stations ni Waingereza wenye asili ya Pakistani na Nigeria - kama Mataifa ya magharibi hayataacha kijingiza katika masuala ya North Africa, Middle East na Afghanistan zisitegemee amani ya kudumu nchini mwao - wanawachokoza wenyewe kwa kuthamini mambo yao ya Geopolitics, Waarabu na jihaadists wengine waki lipiza kisasi Nchi za Magharibi zinalakamika na kuwabatiza majina ya kila sampuli - wanajifanya hawajui chanzo kikubwa cha ugaidi kinisababishwa na akina nani?
 
Vipi kuhusu watoto na wanawake wasio na hatia waliouawa na wanao endelea kuuawa na ndege za kivita za hao EU na America huko Afghanistan,Iraq,Libya na kwingineko?

Vipi wale watoto waliochomwa kwa makusudi sindano zenye HIV virus huko Libya na hao jamaa zako unaowatetea hapa?

Hivi kati ya hao magaidi na Nchi za magharibi ni nani aliyeua watu wengi zaidi wasio na hatia hapa Duniani?

Ugaidi usipingwe kinafiki,ugaidi upigwe kwa wote kama kweli mtu hapendi kuona watu wasio na hatia wakiuawa bure tu.
Tatizo lao si watu kufa ila ni hao ambao wazungu wamewaita magaidi ndiyo tatizo lao,na ndiyo maana huoni kuguswa na vifo vya hizo nchi za kiarabu tena wanasema et wanapenda kufa.
 
Ali Sonboly: Everything we know about the Munich gunman

1469282551167.jpg


23 JULY 2016 • 1:41PM

The Munich shooter was an 18-year-old Iranian-German "loner" named locally as Ali Sonboly, who reportedly complained of bullying shortly before gunning down his nine victims outside a shopping centre and fleeing the scene to commit suicide.

What we know about him

He was a student, born and raised in Munich.Police have found no indication that he had links to Islamic State but have said there are 'obvious links' to far-right terrorist Anders Breivik.There appeared to be no links to immigrants or immigration into Germany.He appears to have acted alone. He used a semi-automatic 9mm Glock 17 handgun, which had had its serial number illegally removed.An additional 300 rounds of ammunition were found in his rucksack when his body was found.He had previously received psychiatric treatment, including for depression.A search of his room had unearthed a document about "frenzied attacks" and a book called: "Rampage in Head: Why Students Kill."Munich chief of police Hubertus Andrae said the gunman appeared to be "obsessed with shooting rampages".The gunman appeared to have hacked into a Facebook account to tell people free food was going to be handed out at the McDonald's where his rampage started.

What happened

Posing as a teenage girl called 'Selina Akim', Sonboly is thought to have used messages posted on a fake Facebook account to lure young victims to their death with fraudulent offers of free food just hours before his murderous rampage began.

Instead, he opened fire outside a nearby McDonald's, leaving nine people dead and three seriously injured, while thirteen others escaped with less serious injuries.

"The perpetrator was an 18-year-old German-Iranian from Munich," police chief Hubertus Andrae told reporters after the massacre on Friday that left 10 people dead including the gunman.

"The motive or explanation for this crime is completely unclear."

Munich shooter responds to 'f*****g foreigner' taunts by saying 'I am German'Play!01:50

Mr Andrae said the gunman - who opened fire at a busy shopping centre near the southern German city's Olympic stadium before turning the gun on himself - had dual citizenship and "no criminal record". He said inquiries suggested the suspect had lived in the city for more than two years.

Mr Andrae said the suspect's body was found about 2 1/2 hours after the attack and was identified to be the shooter based on witness statements and closed circuit television footage of the attack. He was not previously known to police and there was no evidence of any links to terrorist organisations, Mr Andrae said.

Police also thought it likely that Friday’s five-year anniversary of Anders Breivik’s attacks on the island of Utoya played a role in the attack.

Made online threats to kill friends

Sonboly previously threatened to kill his friends in messages posted on the video gaming network Steam, it has emerged.

The teenager was said to be obsessed with video gamesaccording to German newspaper Bild, and several were found in his apartment.

It also emerged that he used his account on the Steam network - which allows users to play computer games against each other - to issue death threats to other players.

"Come to the McDonald's and I will come and get you and shoot you," he reportedly told his friends using a microphone.

He appears to have posted messages on the Steam network under a number of different aliases.

They include: "Psycho," "Until I see sense no more," "Godlike" and "We will play this game to death."

"About a year ago we kicked him out of the [Steam] group because he kept threatening us,"a former classmate told Bild. It is the latest evidence to suggest that there were warnings Sonboly was preparing to carry out a mass killing.

Gunman on the roof

A video appeared to show the gunman on the roof of a parking garage as he exchanged insults with people on a nearby balcony who referred to him a foreigner.

Gunman is seen on the roof of a car park.

"I'm German, I was born here," the assailant is heard to reply.

An onlooker then calls him a "w*****" before the gunman tells the man to “shut your trap” and more shots are fired.

The gunman also apparently claimed to have been "bullied for seven years".

Police commandos, armed with night vision equipment and dogs, raided an apartment in the Munich neighbourhood of Maxvorstadt early on Saturday where the German newspaper Bild said the gunman lived with his parents.



Footage shows shooter open fire on people outside shopping mall in MunichPlay!00:25

"He lived right next to me," Bild quoted a neighbour as saying. "A friend of mine went to school with him and said he was rather a quiet guy. He recognised him from the videos from the scene."

German Foreign Minister Frank-Walter Steinmeier also said the motive for the attack was not yet clear.

"The motives for this abhorrent act have not yet been completely clarified - we still have contradictory clues," German Foreign Minister Frank-Walter Steinmeier said in a statement.

People run from scene of shooting in MunichPlay!00:32

While police initially called the mall shooting an act of terrorism, they said they had "no indication" it involved Islamic extremism.

US intelligence officials, speaking on condition of anonymity, said initial reports from their German counterparts indicated no apparent link between the gunman and Islamic State or other militant groups.
 
"Instead of triumph of democracy and progress, we got violence, poverty and social disaster - and nobody cares a bit about human rights, including the right to life," Putin said through a transilator. "I cannot help asking those who have forced that situation: Do you realize what you have done?"

Rais wa Urusi Vladimir Putin alizungumza na kuuliza hili swali akihutubia katika 70th session ya United Nation General Assembly - U.N. Headquarters New York, September 28 2015.

Wahusika wa kuanzisha vita kule Middle East sijui kama walimuelewa maana walikodoa mimacho kwelikweli!
Walielewa sema wakajitia upofu na uziwi wasiokuwa nao,acha kila mtu aonje matunda ya mti aliopanda.
 
Huyu ni mjerumani kazaliwa ujerumani. Kalelewa ujerumani. Na familia yake sio watu wanaofuata misimamo ya dini. Wacheni propaganda.
 
Huyu ni mjerumani kazaliwa ujerumani. Kalelewa ujerumani. Na familia yake sio watu wanaofuata misimamo ya dini. Wacheni propaganda.

Yeye ni Dual-Citizen Iran/Mjeremani sasa Iran si ni walewale tu waliokunywa uji wa mgonjwa.Huyo ana chembechembe za kuua watu, maana ndiyo zao hizo To shed Inocent blood.
 
Yeye ni Dual-Citizen Iran/Mjeremani sasa Iran si ni walewale tu waliokunywa uji wa mgonjwa.Huyo ana chembechembe za kuua watu, maana ndiyo zao hizo To shed Inocent blood.
Sasa imedhihiri UONGO na UNAFIKI wenu.. Now mnalazimika kujakutuangukia na kujikomba kwa kuomba MSAMAHA..
if you areally Humans... Laa sivyo mumeuhakikishia ULIMWENGU kuwa na wana wa """"""""""""" kataenibasi !!
 
Lawama zako peleka kwa NATO sio EU
Hivi wewe kiumbe una umri gani? Isije ikawa napoteza time yangu kukielewesha kitoto cha Shule? NATO ni nini na EU ni nini? Angalia masomo yako kwanza ukimaliza shule haya mambo utayakuta tu.
 
Back
Top Bottom