Multiple deaths reported at shooting in Munich shopping mall

Why wasimgeeenda kuomba asylum
saudi arabia au dubai kwa waislam wenzao?
Kwani Saudi Arabia ndio imebomoa miji yao? Au ndio imeua familia zao? Au ndio imewafanya wao kuwa wakimbizi?
Tumia kichwa kufikiri
 
Mkuu, bado haijathibitishwa kama hili shambulizi limefanywa na gaidi au mzungu mwenye msimamo mkali ambae hapendi wageni.

Idadi ya watu waliokufa ni ndogo sana (hadi sasa watu 9) kwa shambulizi la bunduki, hivyo kuonyesha kwamba huenda muuaji walikuwa akichagua watu wa kuwauwa.

Tusubiri taarifa kamili.
Mmmhhh! Kwa hiyo mzungu akifanga mashambulizi sio gaid mkuu, mpaka afanye mwarabu.
 
Huyo aliyefanya mauaji hayo atakuwa hana akili timamu au atakuwa na chembechembe za damu za wanaopenda kuua watu wasio na hatia kutoka huko uarabuni,kama sivyo basi atakuwa amepandikiziwa lile li roho la mauaji kwa kuahidiwa wale Mabikira 72.wajerumani walifikiri wanasaidia kumbe wanajitia matatani,Hao jamaa ni shukrani ya punda,Na walivyo na akili wataoaoa huko ili wapate haki ya kuishi huko hapo ndipo itakuwa ngumu kuwang'oa huko,nchi zote za ulaya waarabu wamewaingiza Mkenge.
 
Kwanini mauaji yakifanywa na mzungu mara nyingi tunaskia kile kinachoitwa "alikuwa na matatizo ya akili"?

Huyo hata hana hayo matatizo ya akili, kafanya hivyo kwa kukusudia.
Ni right wing extremist mwenye msimamo mkali dhidi ya wahamiaji na wakimbizi wanaokimbia vita na Mauaji kutafuta hifadhi Ulaya.
Vita na mauaji chanzo chake ni haohao NATO members ni matokeo ya walichokiita "Democratic revolution" kule Middle East.

Huyo jamaa ameamua kufanya mauaji hayo kuonyesha msimamo wake na chuki zake dhidi ya wahamiaji kumbuka siku za hivi karibuni hao wenye msimamo mkali walianzisha movement kupinga wahamiaji na sera za Bi Angela Merkel za kuwapa hifadhi Ujerumani.

Hivyo Ulaya wamejiingiza mkenge wenyewe kuvamia Middle East na kuleta Vita na sio waarabu walowaingiza mkenge.

"Dou you realise what you have done"? - Putin Vladimir.
 
Tabia ya kuua watu wasio na hatia ni ya waarabu hivyo ikitokea kwa mtu mwingine lazima awe na matatizo ya akili au amekaririshwa na ile imani yao ya kuua maana si kawaida kwa mtu wa kawaida kufanya unyama kama huo.Mfano huyu aliyefanya mauaji huko Munich kuna viashiria kuwa ni jamaa wa Irani ni walewale tu ni kama Nyani na Tumbili.
 
waliofanya hilo tukio ni magaidi na sio waislam ........na ikibidi tuwaachie wenyew wajeruman mana halituhusu na hata lingetuhusu kamwe tusingeliweza
We umejuaje kama c waislam?wenyew wajeruman wanasema ni muislam mwenye asili ya iran
 
Wazungu wacha wafe tu maana walijifanya wanaroho safi na kuwapokea wakimbiz wa kiarabu,sasa waarabu wanawanyima raha wazungu kwenye nchi zao wenyewe.Waarabu sio watu.
Wee , Waarabu wapo Europe miaka mingi tu.
 
Kuna rafiki yangu flan ni wa mbele huko nchi za ulaya niliwahi kumwambia nchi ya ujeruman watakuja kujutia maamuzi yao ya kuwahifadhi waarabu.... Alinijibu wanatimiza haki za binadamu.....

Najua huko alipo atakuwa ananikumbuka saaaaaana
kwani unajua nani kafanya attack hii?
 
Ujerumani imekuwa ikipokea na kutetea wahamiaji wa Kiislam, Waislam wameiripua? Kama ni kweli basi kunguru hafugiki
Km vile Waisraeli wanavyo wafanya wagalatia.
Mwendo huo huo.
Mbabe ndio atabaki hai.
Wao wamemwaga ugali na Wengine wacha wamwage Mboga.
 
Najua walichowafanya kule Kenya hamtasahu na mmejifunza, na nilishangaa sana after University Student and mall massacres sijui kwanini hamkuingia mtaani kutoa justice,niliwasifu sana kwa ustaarabu wenu maana nilijua ndio mwisho wa wasomali ndani ya Kenya

Kenya Mali ya wajaluo?
 
Tabia ya kuua watu wasio na hatia ni ya waarabu hivyo ikitokea kwa mtu mwingine lazima awe na matatizo ya akili au amekaririshwa na ile imani yao ya kuua maana si kawaida kwa mtu wa kawaida kufanya unyama kama huo.Mfano huyu aliyefanya mauaji huko Munich kuna viashiria kuwa ni jamaa wa Irani ni walewale tu ni kama Nyani na Tumbili.
Vipi kuhusu watoto na wanawake wasio na hatia waliouawa na wanao endelea kuuawa na ndege za kivita za hao EU na America huko Afghanistan,Iraq,Libya na kwingineko?

Vipi wale watoto waliochomwa kwa makusudi sindano zenye HIV virus huko Libya na hao jamaa zako unaowatetea hapa?

Hivi kati ya hao magaidi na Nchi za magharibi ni nani aliyeua watu wengi zaidi wasio na hatia hapa Duniani?

Ugaidi usipingwe kinafiki,ugaidi upigwe kwa wote kama kweli mtu hapendi kuona watu wasio na hatia wakiuawa bure tu.
 
Sisi yetu marekani tunaacha kusema weusi wenzetu wanakufa zidi ya wazungu nyie mnaongea ya muarabu mzungu kwenye uwekezaji wake lazima apeleke ulinzi mana kuna raia wake ukimuona mmarekani uarabuni au africa ujue amewekeza analinda mali zake hata tanzania kikinuka lazima waje kuna mali za clinton na kiuchumi kwao inawalipa hata wakikopa kwaajili ya vita iyo
 
Ni tanzania peke yake ndo thamani ya raia wake upotea bila shida kwa serikali mana awawezi poteza millions kwa mtu ambae laki 2 inaweza kumzika
 
Vipi kuhusu watoto na wanawake wasio na hatia waliouawa na wanao endelea kuuawa na ndege za kivita za hao EU na America huko Afghanistan,Iraq,Libya na kwingineko?

Vipi wale watoto waliochomwa kwa makusudi sindano zenye HIV virus huko Libya na hao jamaa zako unaowatetea hapa?

Hivi kati ya hao magaidi na Nchi za magharibi ni nani aliyeua watu wengi zaidi wasio na hatia hapa Duniani?

Ugaidi usipingwe kinafiki,ugaidi upigwe kwa wote kama kweli mtu hapendi kuona watu wasio na hatia wakiuawa bure tu.
Kati ya EU na ISIS nan anaongoza kuua huko ulikotaja au hao nao wametumwa na marekan waue wenzao
 
Vipi kuhusu watoto na wanawake wasio na hatia waliouawa na wanao endelea kuuawa na ndege za kivita za hao EU na America huko Afghanistan,Iraq,Libya na kwingineko?

Vipi wale watoto waliochomwa kwa makusudi sindano zenye HIV virus huko Libya na hao jamaa zako unaowatetea hapa?

Hivi kati ya hao magaidi na Nchi za magharibi ni nani aliyeua watu wengi zaidi wasio na hatia hapa Duniani?

Ugaidi usipingwe kinafiki,ugaidi upigwe kwa wote kama kweli mtu hapendi kuona watu wasio na hatia wakiuawa bure tu.

Waarabu hawataacha kuuana wao kwa wao kwa visingizio kwa marekani,Israel au nchi za magharibi kama alivyofanya CleverKING
 
Back
Top Bottom