hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 370
- 213
Upinzani usio na dira na tija wala usio na mashiko ni huu unaofanywa na wapinzani uchwara wa Tanzania. Wapinzani wasio hata na ujasiri wa kusimamia haki chache ambazo wamepewa kikatiba hawafai kuwa wapinzani,wapinzani wanaokubali kila amri ama tamko haijalishi ni haramu au halali hawafai kuwa wapinzani,wapinzani wanaofanya siasa za matukio wakikosa itikadi inayowatofautisha na watawala hafai kuwa wapinzani.Wapinzani waliogeuka kuwa wapingaji hata ya Yale walioyahubiri kwa nguvu hawafai kuwa wapinzani...
Wapinzani uchwara wa Tz wameungana na WASOMI WASIO NA ELIMU,WASOMI WASIO OBJECTIVE..WAMESALITI ELIMU ZAO NA KUFIKIRI KWA KUTUMIA MATUMBO YAO NA SI VICHWA VYAO.VICHWA VYAO VIMEBAKI KUINAMA NA KUINUKA KUTOA ISHARA YA NDIYO MZEE KWA WANASIASA NA WATAWALA....Sikh yenu wasomi na wapinzani uchwara inakuja..mutalipa dhambi ya usaliti munaoufanya dhidi ya watanzania wenzenu...Iko siku kitainuka kizazi cha kuhoji kizazi kitakachoasi dhidi ya mifumo kandamizi kizazi kisichoelewa siasa za majitaka na za kimangimeza za sasa tanzania
WANASIASA MUMESAHAU TUNATAKA KATIBA MPYA..
TUNATAKA UHURU WA HABARI NA MAONI
UNATAKA UTAWALA WA SHERIA
TUNATAKA USAWA
TUNATAKA UTUMISHI NA SI UMWINYI NA UMUNGU MTU.
[HASHTAG]#vyumavimekaza[/HASHTAG]