Mulitishwa Mukatishika, sasa kuweni wapole!

hitler2006

JF-Expert Member
Sep 1, 2014
370
213
Upinzani usio na dira na tija wala usio na mashiko ni huu unaofanywa na wapinzani uchwara wa Tanzania. Wapinzani wasio hata na ujasiri wa kusimamia haki chache ambazo wamepewa kikatiba hawafai kuwa wapinzani,wapinzani wanaokubali kila amri ama tamko haijalishi ni haramu au halali hawafai kuwa wapinzani,wapinzani wanaofanya siasa za matukio wakikosa itikadi inayowatofautisha na watawala hafai kuwa wapinzani.Wapinzani waliogeuka kuwa wapingaji hata ya Yale walioyahubiri kwa nguvu hawafai kuwa wapinzani...

Wapinzani uchwara wa Tz wameungana na WASOMI WASIO NA ELIMU,WASOMI WASIO OBJECTIVE..WAMESALITI ELIMU ZAO NA KUFIKIRI KWA KUTUMIA MATUMBO YAO NA SI VICHWA VYAO.VICHWA VYAO VIMEBAKI KUINAMA NA KUINUKA KUTOA ISHARA YA NDIYO MZEE KWA WANASIASA NA WATAWALA....Sikh yenu wasomi na wapinzani uchwara inakuja..mutalipa dhambi ya usaliti munaoufanya dhidi ya watanzania wenzenu...Iko siku kitainuka kizazi cha kuhoji kizazi kitakachoasi dhidi ya mifumo kandamizi kizazi kisichoelewa siasa za majitaka na za kimangimeza za sasa tanzania

WANASIASA MUMESAHAU TUNATAKA KATIBA MPYA..
TUNATAKA UHURU WA HABARI NA MAONI
UNATAKA UTAWALA WA SHERIA
TUNATAKA USAWA
TUNATAKA UTUMISHI NA SI UMWINYI NA UMUNGU MTU.
[HASHTAG]#vyumavimekaza[/HASHTAG]
 
Upinzani usio na dira na tija wala usio na mashiko ni huu unaofanywa na wapinzani uchwara wa Tanzania...Wapinzani wasio hata na ujasiri wa kusimamia haki chache ambazo wamepewa kikatiba hawafai kuwa wapinzani,wapinzani wanaokubali kila amri ama tamko haijalishi ni haramu au halali hawafai kuwa wapinzani,wapinzani wanaofanya siasa za matukio wakikosa itikadi inayowatofautisha na watawala hafai kuwa wapinzani.Wapinzani waliogeuka kuwa wapingaji hata ya Yale walioyahubiri kwa nguvu hawafai kuwa wapinzani...

TUNATAKA UTUMISHI NA SI UMWINYI NA UMUNGU MTU....
[HASHTAG]#vyumavimekaza[/HASHTAG]
Umekandia mpaka umepoteza lengo la andishi lako.
 
OMG !!!!
Umeongea mambo mazito sana!!

Bwana Yesu aliwahi kusema kuwa ufalme wa Mungu uko ndani yenu.

Haya unayoyaona hayana budi kutokea ili hayo unayoyasema yatokee mioyoni mwa watanzania kabla ya kuambiwa na wanasiasa au wasomi.
 
Mkuu ngoja tusubiri
Haya unayoyaona hayana budi kutokea ili hayo unayoyasema yatokee mioyoni mwa watanzania kabla ya kuambiwa na wanasiasa au wasomi.
 
Umeandika makala nzuri lakini tu wafuasi die hard wa upinzani watakushambulia maana tunatakiwa kumlaumu magufuli peke yake na siyo upinzani hasa wakati kama huu ambapo ofisi zimehamia nchi jirani kuuguza mwanasiasa mpya wa mioyoni mwetu
 
Sio kukandia mkuu nimeongea ukweli mchungu NI LAZIMA UPINZANI UFANYE SIASA ZENYE TIJA ILI KULINUSURU TAIFA LETU KUWA TAIFA LA KITAWALA LISILOFUATA KATIBA WALA KUJALI MAONI YA WANANCHI
Umekandia mpaka umepoteza lengo la andishi lako.
 
Siasa zenye tija ndio zipi mkuu?
au neno 'Tija' ni msamiati kwako!
Pengine hata neno 'Siasa' nalo hulijui vizuri.
Unataka tija ipi kwenye siasa ikiwa kuulizia ahadi za 50m kwa kila kijiji alizoahidi magufuli unaona ni kosa!!
Tusaidie "kuformulate" (in makinda's tone) tuulizieje?

Makubaliano ya kitaifa ni "Decentralization of power" Magufuli ana centralize kwa makubaliano yapi yenye ithibati ya bunge?
Tija ni nini hapo! kukaa kimya au kuhoji?
Hii huuliziwa kwenye majukwaa ya kisiasa, magufuli kapiga marufuku jambo hili la kikatiba !

Wewe wa wapi mkuu?
Usitumike kisiasa hiyo ni rushwa!

Mkuu nataka nikwaambie upinzani huu ambao hauwezi kutetea HATA UTAWALA WA SHERIA NA KATIBA NI upinzani dhaifu kabisa na kama unajinasibu unajua siasa nieleze tofauti ya kiitikadi kati ya kambi rasmi ya upinzani bungeni na kambi ya chama tawala tuanzie hapo
 
Jibu viswali vidoogo nilivyouliza kabla hujaanza ku dribble mpira nenda hatua kwa hatua ukianzia na siasa zenye tija hadi mwisho.

======KARIBU=====
 
Mkuu nadhani hujanielewa na hutaki kunielewa...tukubaliane kutokukubaliana mkuu jogi
 
Mkuu nataka nikwaambie upinzani huu ambao hauwezi kutetea HATA UTAWALA WA SHERIA NA KATIBA NI upinzani dhaifu kabisa na kama unajinasibu unajua siasa nieleze tofauti ya kiitikadi kati ya kambi rasmi ya upinzani bungeni na kambi ya chama tawala tuanzie hapo
Huo upinzani uliokutibua ni upi hasa? Unaundwa na kina nani hao unaowasubiri wakufanyie kazi ya "upinzani" unayotarajia? Nieleze maana halisi ya "itikadi" - kama kweli unaifahamu - nami hakika nitakufahamisha tofauti ya "kiitikadi" kati ya kambi rasmi ya upinzani bungeni na kambi ya chama tawala. Tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom