Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,783
- 107,241
Mwizi na mchawi wote hawana akili. Furaha yao wakutese au kukutia hasara. Mwizi yupo tayari akuibie kitu aischokitumia..ilimradi aisirudi mikono mitupu.Halafu wakazifanyie nini
So polisi watafuata vimiamia walivyobakiza watotokwenye ubuyu wakikosa watapitia hata vichongeo ilimradi tu. Washenzi sana hawa watu, sijui roho za utu hua wanaziacha wapi