Inaonekana unacheza ngoma isiyo yako,hata hujui thread hii inamaana gani.KWANZA INAONEKANA WEWE NI MIONGONI MWA WATU WANAOCHEKELEA JINSI CDM ITAKAVYOFANYWA KITU MBAYA BAADA YA KOSA HILI KUTIA.THINK CRITICALLY.Hata mimi simwelewi huyu jamaa kabisa? hata hajui sababu ya kutofika kwa zitto anakurupuka tu
Wewe acha kudanganya shetani ni wewe,hujui kwamba Zito anatakiwa kwa udi na uvumba lushoto? Kunabahati akapewa jina la 'SHEBUGHE' KWA WASAMBAA WANAJUA MAANA YAKE.PIA CDM HAKINA JEMBE NDANI YA CCM[UKITAKA KUUA NYANI...............]