Muke ya Muzungu ndio anatuambia cha kufanya

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,658
Reaction score
49,094
Yule dada ambaye msingi wake mkuu ni kuolewa na wazungu.

Ndio kakamata akili zao.

Anaiharibu hii nchi akiwa na wazungu wake huko ulaya.

Wanaoumia ni watoto wenzake wakwake wako salama huko marekani.

Wasipomshtukia na kumpuuza ataharibu hii nchi akitokea Instagram na twitter.
 
NENDA NAWE KAOLEWE NA MZUNGU. MNAKUWA NA WIVU WA KIJINGA TU. UNAONA YEYE ANAFAIDI? KAOLEWA BASI NA WEWE.
 
Yule dada ambaye msingi wake mkuu ni kuolewa na wazungu.

Ndio kakamata akili zao.

Anaiharibu hii nchi akiwa na wazungu wake huko ulaya.

Wanaoumia ni watoto wenzake wakwake wako salama huko marekani.

Wasipomshtukia na kumpuuza ataharibu hii nchi akitokea Instagram na twitter.
1763732219953.jpg
 
Huna hata akili za kuvalia nguo.

Yani watu wanaacha kuisikiliza serikali wanamsikiliza mke wa mzungu(Mange) na bado uoni kuna tatizo mahala?

Kuna sehemu serikali inafeli na ndio maana wananchi wanaona bora kumsikiliza mange mara mia kuliko minyonyo na serikali yake.

Kwa kuwa wana CCM ubongo ni bidhaa adimu kwenu utotaka kujua sababu za kutosikilizwa kwa serikali badala yake anasikilizwa mange.
 
Jiulizeni kama kweli huyo dada ndio anasikilizwa, nyie mna shida gani hamsikilizwi kama yeye?
 
Yule dada ambaye msingi wake mkuu ni kuolewa na wazungu.

Ndio kakamata akili zao.

Anaiharibu hii nchi akiwa na wazungu wake huko ulaya.

Wanaoumia ni watoto wenzake wakwake wako salama huko marekani.

Wasipomshtukia na kumpuuza ataharibu hii nchi akitokea Instagram na twitter.
20251116_075121.jpg
 
Huna hata akili za kuvalia nguo.

Yani watu wanaacha kuisikiliza serikali wanamsikiliza mke wa mzungu(Mange) na bado uoni kuna tatizo mahala?

Kuna sehemu serikali inafeli na ndio maana wananchi wanaona bora kumsikiliza mange mara mia kuliko minyonyo na serikali yake.

Kwa kuwa wana CCM ubongo ni bidhaa adimu kwenu utotaka kujua sababu za kutosikilizwa kwa serikali badala yake anasikilizwa mange.
Jitafakari ni nani anayekushikilia akili yako.
 
Ukitaka kuishi maisha yenye manufaa sikiliza anachosema mtu na sio kuangalia ni nani. Hata mjinga anaweza kuwa na ujumbe muhimu. Hata akili yake ingekuwa mbovu akili za mamilioni wanaomsikiliza combined haziwezi kuwa mbovu kwa pamoja. Sikilizeni hata msiokubaliana nao.
 
Umekaa hapo umeachanisha qhuma yako unaongea ungese tuu, mama ako kuua watu sio kuharibu nchi, bc ngoja tuje tukif!re ili tuharibu hilo puru lako.
 
Yule dada ambaye msingi wake mkuu ni kuolewa na wazungu.

Ndio kakamata akili zao.

Anaiharibu hii nchi akiwa na wazungu wake huko ulaya.

Wanaoumia ni watoto wenzake wakwake wako salama huko marekani.

Wasipomshtukia na kumpuuza ataharibu hii nchi akitokea Instagram na twitter.
Umejaribu kwenda kwenye hotel kubwa kubwa masaki kule ukakosa kabisa danga la kizungu mkuu?? Ukicheza karata zako vizuri na wewe utakuwa mke ya mzungu sio muda changamka
 
Back
Top Bottom