Hapo ndo napo jiuliza inawezekanaje yule Binti mmoja afanye mpaka raisi aapishwe bila watu? Je hao watu ni vichaa, ni watoto, ni wajinga? Hapana si bure Kuna kitu hakipo sawa, niliwahi pata mashaka mwanzo nokapuuziwa heee 29 oct imeacha kovu kisa huyo dada,
Nafikiri adui ukimshindwa shirikiana nae ni wakati wa serikali kiwaita hao watu wasikilizwe lasivyo Kuna matatizo yatakuja inshaallah makubwa zaid maana badala ya kumalizia tatizo ndo tumeongeza tatizo mwanzoni tatizo lilikua la kuongea sisis kwa sisi Leo hi tatizo ni la kuongea na dunia hamuoni tatizo mahali?