Mukama akumbana na zomea zomea huko musoma.

Mukama akumbana na zomea zomea huko musoma.

Ni kweli huyu kenge MKAMA,amezomewa sana......aibu
 
Kesho utasikia Habari leo wakiandika "Umati wampokea Mukakama Musoma".....na watasema waliomzomea ni wahuni wa CHADEMA...Magamba mwaka huu kazi wanayo!
 
Juzi juzi mwenyekiti halmashauri ya wilaya ya Tarime alikuwa anaongea na wananchi kwenye mji mdogo wa Sirari, watu wakamkimbia na kumwacha peke yake baada ya kusema wananchi wachangie maendeleo ya Tarime. Baada ya hapo siku chache akamsindikiza mbunge wake bwana Nyambari Nyangwine kwenda Nyamongo, wote wakapondwa mawe nusura kifo kiwakute. Nimesikia Hai nako ccm hawatakiwi. Nashauri Mukama aende mji mdogo wa Sirari na Nyamongo akawape hi, af apite Mza na shy af apande kaskazini Arusha na Moshi wanamsubili kwa hamu Wampe vyake
 
Hivi kama mtu anazomewa nyumbani, yaani sehemu ambayo amezaliwa hizi sehemu zingine itakuwaje si ndo watamponda kama mbunge wake kule Nyamongo. Ccm wanapesa nashauri huyu mzee wamnunulie kigari kama kile pope john paul 2 alichokuwa anatumia kwenye ziara zake ambacho kimezingirwa na kioo kila kona, kitamwezesha kupita maeneo korofi kama mara,mza,ar na moshi, vinginevyo haya maeneo atayakwepa, atafutiwe hicho kigari fasta aokoe jahazi
 
Na bado watazomewa sana mwaka huu,Ccm taratibu inaanza kuwa kinyaa kwa watanzania walio wengi,mpaka 2015 hiki chama cha magamba kitakuwa kimeisha kufa na mazishi yake yatafanyika 2015.Habari nilizozipata toka mikoa mbali mbali ni kuwa zomea zomea kwa viongozi wa chama cha magamba itaendelea nchi nzima haitoisha mpaka ukweli waujue kuwa hawapendwi na hawatakiwi na watanzania wengi.
 
Nakubaliana na ile statement ya Mzee Yusufu Makamba, alisema yeye anaenda kuwaandalia makao. Naona sasa tayari ameshayakamilisha.
 
Natoa mwito,popote watakapofika hawa magamba wazomewe na wakileta ubishh wapigwe mawe.CCM ni JANGA LA KITAIFA
 
Msije mkashangaa kusikia........... NAAHIRISHA ZIARA KWA SABABU YA CHADEMA.............
 
jamani mbona nimeangalia newz sijaona hyo kuzonea zomea ma,bo mengine tusiwe tunazusha kwa sababu ya upinzani wameonyesha ana hutubia ila ambacho sijakipenda ni mbunge wa zamani mathayo kutamka kuwa mbunge wa chadema na wanachadema ni wezi juu ya madawati aliyosema yamechukuliwa na chadema

Labda wee umetizama tv uhuru
 
Back
Top Bottom