Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,712
- 208,962
Aisee hili gunia la ngapi umefungua? 😂😂 natamani hizo gunia zako za maneno ziishe then nione what's next....hivi unajua koment yako ikiingia, hata kama nipo bara barani...nasimamisha magari..wakihoji kuna nini...nawaambia tulien kuna komenti muhimu hapa naijibu..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji7]
Be careful tu uko barabarani..