Muite girlfriend wako majina romantic

Muite girlfriend wako majina romantic

Mahusiano wakati mwingine huwa yananogeshwa na vitu vidogo jamani msi complicate sana. Kwa mfano una girlfriend alafu eti hata hujawahi kumuita "baby". Wewe kila siku unamwita kwa jina lake mara Aisha, Zuhura, Catherine, Khdija.

Utafiti unaonesha kumuita mpenzi wako "baby"ni njia mojawapo ya kumfanya apunguze stress (hasa kwa wanawake). Halafu eti hata wakati mwingine MTU akiwa na washkaji zake anavyowasimulia kuhusu mpenziwe anatumia neno "demu"

Hebu mjifunze kuwa romantic jamani
Tatizo wanapiga mizinga sana hawa mademu
 
Jamani

Cc Lenie kaka ako ana maneno sana..
...nina kama gunia nne hivi za maneno ...yote kwa ajili yako...
Halafu si unaona ulivyo na wifi mrembo..?

Naamini lunch yako imeenda vizuri...
Saa tisa tisa hivi usisahau kupata kasahani kadogo dogo hivi ka matunda mchanganyiko..
 
Ariririririiiiiii💃
 
Yeah ni mrembo Dada yako halafu anavyokupambania sasa 😀😀

Ilikuwa poa, sijajing'ata wala kijiko hakijaniumiza... Asante kwa kunikumbusha na we pia saa kumi na moja/ kumi na mbili usisahau kupata kikombe cha coffee either home or Fifi restaurant 😜
 
Tazama ilivyo vema na kupendeza, ndugu wakae pamoja kwa upendo😍
 
Yeah ni mrembo Dada yako halafu anavyokupambania sasa

Ilikuwa poa, sijajing'ata wala kijiko hakijaniumiza... Asante kwa kunikumbusha na we pia saa kumi na moja/ kumi na mbili usisahau kupata kikombe cha coffee either home or Fifi restaurant
Thank you my chocolate..
Nitanywea kahawa yangu nyumbani honey, huko fifi naogopa wale wahudumu wasije nitega, nikategeka halafu penzi letu likaingia dosari..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom