Muite girlfriend wako majina romantic

Muite girlfriend wako majina romantic

Thank you my chocolate..
Nitanywea kahawa yangu nyumbani honey, huko fifi naogopa wale wahudumu wasije nitega, nikategeka halafu penzi letu likaingia dosari..[emoji119][emoji119][emoji7][emoji119][emoji119]
Kwamba wahudumu watakutega? Ukitegeka ujue umeamua mwenyewe kutegeka....
 
Kwamba wahudumu watakutega? Ukitegeka ujue umeamua mwenyewe kutegeka....
......yaani hapa nilipo najilinda...[emoji13]
......nisije nikakukosa...wanatega sana lakini hategeki mtu...[emoji14][emoji14]
 
....sasa dada nibembelezee kule pm alegeze kakufuli japo kwa dakika 10 tu, kuna mambo mazito hayafai kuelezea hapa..[emoji849][emoji849][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Itakua bado anakupima, mpe mda kidogo ila wakati huo endelea kutengeneza CV vizuri.
Haifai leo leo tu akubali, sawa kaka eeh.
Kuna raha flani hivi mtu akiwa anakufkuzia... full kucare, mpatie hizo macare kwanza, enda polepole.
 
Nimekuelewa kupita maelezo..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nafurahi baba yetu hakupoteza ada zake bure..[emoji3]
Love uuuu..
 
...hivi unajua koment yako ikiingia, hata kama nipo bara barani...nasimamisha magari..wakihoji kuna nini...nawaambia tulien kuna komenti muhimu hapa naijibu..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji7]
Nyie watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom