mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,277
Kwani mama anasema uongo au?! Ni ukweli mtupu japo waswahili wanasema ukweli unauma. Nchi imeoza kabisa bado kutoa harufu tu.
Ni kweli sisi watz ni ma viti moto kabisa na wengine wako bungeni ni mambwa
Rangi mbarikiwa ndiyo kitu gani tena!Viongozi wenu wamechukuliwa hatua mpaka achukuliwe hatua huyo rangi mbarikiwa nchi hii ina ujinga na ushenzi unaoudhi kupita kiasi hasa.
Sioni ajabu kuna Mbunge wa CUF toka Unguja alisema wale wachungaji wa bungeni ni wachungaji wa nguruwe...sasa tofauti iko wapi au kwa sababu mzungu kawambia nyie nguruwe? Akisema muunguja sawa?
Hapo labda Lusinde ,lkn yale matusi ya Peter Selukamba huko uingreza anakotoka niyakawaida tu wala hakutakuwa na cha ajabu kabisa.Lakini wewe hapa mtoa mada unazungumzia utaifa (Nationalism) kati ya hao wanaotukanwa na huyo mama ' huoni huyo mama ki-maana yuko sahihi anazungumzia namna ambavyo tunashindwa kujiongoza,tunajiibia wenyewe,tunasaidia wanaotuibia,tunaifanya nchi yetu wenyewe kuwa masikini zaidi,na mengine ,mengi yanayofanana na hayo!.mfikirie kwanza huyu mama anataka kila anayesikiliza matusi yake atafakali kwanza na usione kama tuna tukanwa ,kwa staili ya nchi yetu inavyoenda inastahili kutukanwa kabisa.Ile hela waliyotusaidia waingreza umerudi kweli jamani? wahusika wako wapi ,,mpaka hapo sisi na nguruwe kuna utofauti? angalia bunge linavyoendeshwa na wale sio watoto wadogo kabisa wanatukana kana kwamba wao hawajazaliwa.wanatanguliza kuuza nchi zaidi kuliko kujenga nchi.yule mama umesema anashawishi nchi zingine zitunyime misaada ,sasa wewe ndugu yangu kwa nchi kama yetu kinachotufanya tusifanye kazi wenyewe na tuendelee kuomba kama viwete tusio na mikono au miguu,bajeti yetu haikamiliki bila wao kutia neema zao,huwezi kuogopa matusi kama hata huwezi kujilisha mwenyewe.Yule mama wewe mwache bana,na hapa sisi ni nguruwe wenzio hatutakusaidia kama wadau waliopita walishauli mpelekeni mama mahakamani kwa hayo matusi yake.