Muhongo: Ni upumbavu kusema Mnada Wa Vitalu Usitishwe

ChingaMzalendo

Senior Member
Joined
Nov 9, 2008
Posts
192
Reaction score
3
Nipo ndani ya ukumbi wa mikutano wa JK nyerere, ambako dakika chache Waziri muhongo amewaambia baadhi ya watu waliokuwa wakimuuliza maoni yake kuhusu ndugu Mengi kumshauri yeye na wizara kusitisha mnada wa vitalu. haya ndo maneno yake, “Hatuwezi kuwasikiliza wapuuzi. Mda wa mjadala umekwisha, serikali haiwezi kuongea na wapumbavu wasiojua maswala ya gesi. Hawana uwezo kuingia kwenye miradi ya gesi na Tanzania haiwezi kusubiri miaka 100 kufaidika na gesi yake. Hawa wapiga kelele ni wa kupuuzwa” amesema muhongo

Tutawajuza zaidi kutoka humu ndani. Kaeni mkao wa kula
 
muhungo ni kati ya vilaza kwenye serikali ya JK huyu bwana hata hajui anaenda wapi?
sijui uprofesa wake anashindwa kuutumia?
 
sawa kabisa!huyu dr mengi anataka hata kufanya udalali wa mafuta na gas! 75 years old ila bado anauchu na rasilimali zetu,kama anavyomiliki vitalu vya madini mererani na handeni,then anakuwa dalali kwa wazungu ili apate cha juu,jamani ga&oil mtaji wake nin sawa na nusu ya bajeti yetu na return yake inaweza kuwa baada ya miaka 10

go!go!go professor muhongo !achana na wapumbavu
 
Anaweza kuwa na point, ila angeelezea kwa nini ni muhimu kutoa vitalu kwa sasa badala ya kusubiri miaka 100.
Kila mtanzania anaijua gesi, lakini sio mjiolojia kujua nini kinafanyika na kinachukua muda gani katika vitalu hivyo.

Na angejaribu kuelezea kwa nini watanzania hawawezi kumiliki vitalu hivyo.

Kutukana mtu badala ya kumwelewesha ni udhaifu.
 
kama kuna kiongozi hapa nchini ambaye atatuletea vita basi ni huyu Muhongo. Miezi kadha iliyopita kwa kauli yake alisababisha vifo vya Watanzania kule mtwara. Akiendelea kuwapo katika wadhifa ataleta full scale civil war.
 
Muhongo ana uchu sana wa rushwa za makampuni ya nje na anaona bora awape vitalu wao kuliko makampuni ya wazalendo. nasikia muhiongo yumo katika orodha ya waliowekewa hela sa kifisadi katika mabenki ya Uswisi. Achunguzwe.
 
Tunamshukuru , ama kweli wahenga hawakukosea kwamba , ukitaka kujua kama masikini ana akili timamu mpe hela !
 
Hembu tuwekee video iwe proof!! This is too much...najua watakuwa wana beef kubwa sana hawa mabwana
 
Mbona ana majibu ya kashfa na matusi namna hii? Anachojiakini yeye ni nini??? Kina mtu ampa backup ndo maana anakiburi namna hii
 
Nipo ndani ya ukumbi wa mikutano wa JK nyerere, ambako dakika chache Waziri muhongo amewaambia baadhi ya watu waliokuwa wakimuuliza maoni yake kuhusu ndugu Mengi kumshauri yeye na wizara kusitisha mnada wa vitalu. haya ndo maneno yake, "Hatuwezi kuwasikiliza wapuuzi. Mda wa mjadala umekwisha, serikali haiwezi kuongea na wapumbavu wasiojua maswala ya gesi. Hawana uwezo kuingia kwenye miradi ya gesi na Tanzania haiwezi kusubiri miaka 100 kufaidika na gesi yake. Hawa wapiga kelele ni wa kupuuzwa" amesema muhongo

Tutawajuza zaidi kutoka humu ndani. Kaeni mkao wa kula
Muhongo amechelewa sana kuingia/kuingizwa katika siasa na alipoingizwa na kupewa ulaji akagundua kuwa amechelewa kupata fedha!

Sasa anazitafuta kwa udi na uvumba!!
 
kinachomsumbua muhongo ni 10% anajua wazawa hawawezi mpa hio kitu.
 
Muhongo kalewa madaraka sana! Mwisho wake 2015 pale serikali ya kifisadi itakapowekwa pembeni
Nipo ndani ya ukumbi wa mikutano wa JK nyerere, ambako dakika chache Waziri muhongo amewaambia baadhi ya watu waliokuwa wakimuuliza maoni yake kuhusu ndugu Mengi kumshauri yeye na wizara kusitisha mnada wa vitalu. haya ndo maneno yake, "Hatuwezi kuwasikiliza wapuuzi. Mda wa mjadala umekwisha, serikali haiwezi kuongea na wapumbavu wasiojua maswala ya gesi. Hawana uwezo kuingia kwenye miradi ya gesi na Tanzania haiwezi kusubiri miaka 100 kufaidika na gesi yake. Hawa wapiga kelele ni wa kupuuzwa" amesema muhongo

Tutawajuza zaidi kutoka humu ndani. Kaeni mkao wa kula
 
Hawa watu ambao hawajawahi kupata madaraka ni taabu sana.
Kutolewa huko alikokuwa an review research papers na kuwa waziri imekuwa nongwaa!
Hivi inakuwaje waziri unashindwa kutoa majibu, badala yake unaanza mipasho na matusi ya rejareja? Halafu anasema nae msomi! Basi mbona hana tofauti na sofia simba bibi wa mipasho! Kwa calibre ya elimu yake na nafasi yake alitakiwa aonyeshe kuwa he is making and showing a difference!
 
Muhongo tatizo lake ni mkweli sana
alichosema ni kweli kwa lugha ya wazi kabisa
labda katumia maneno makali lakini ukweli hakuna mtanzania anaeweza kuwekeza kwenye gas
Ni mtanzania gani na yupi mwenye utajiri wa kufikia USD Billion 540??
hata makampuni ya nje yanasaidiwa na serikali zao kupata hiyo mitaji.
mengi anachotaka apewe kitalu ili afanyie udalali lakini uwezo hana
Tukiwaamba watanzania waungane kama makampuni ni wabishi na wabinafsi..
kwa tulio na elimu ya mambo ya gas tunaona waziri kasema ukweli
tatizo serikali imekimbilia kugawa vitalu bila kuwa na sheria mathubuti inayoanisha mpewa tenda,kodi inayolipwa,mirahaba,ajira,mazingira,nk.

Nipo ndani ya ukumbi wa mikutano wa JK nyerere, ambako dakika chache Waziri muhongo amewaambia baadhi ya watu waliokuwa wakimuuliza maoni yake kuhusu ndugu Mengi kumshauri yeye na wizara kusitisha mnada wa vitalu. haya ndo maneno yake, "Hatuwezi kuwasikiliza wapuuzi. Mda wa mjadala umekwisha, serikali haiwezi kuongea na wapumbavu wasiojua maswala ya gesi. Hawana uwezo kuingia kwenye miradi ya gesi na Tanzania haiwezi kusubiri miaka 100 kufaidika na gesi yake. Hawa wapiga kelele ni wa kupuuzwa" amesema muhongo

Tutawajuza zaidi kutoka humu ndani. Kaeni mkao wa kula
 
Mbona ana majibu ya kashfa na matusi namna hii? Anachojiakini yeye ni nini??? Kina mtu ampa backup ndo maana anakiburi namna hii

Masikini akipata m.a.t.a.k.o hulia mbwata; jamaa alikuwa kwenye ukata mkali pale juu sasa ameibukia kwenye bahari ya minoti kwanini asiwehuke?
 
Nipo ndani ya ukumbi wa mikutano wa JK nyerere, ambako dakika chache Waziri muhongo amewaambia baadhi ya watu waliokuwa wakimuuliza maoni yake kuhusu ndugu Mengi kumshauri yeye na wizara kusitisha mnada wa vitalu. haya ndo maneno yake, "Hatuwezi kuwasikiliza wapuuzi. Mda wa mjadala umekwisha, serikali haiwezi kuongea na wapumbavu wasiojua maswala ya gesi. Hawana uwezo kuingia kwenye miradi ya gesi na Tanzania haiwezi kusubiri miaka 100 kufaidika na gesi yake. Hawa wapiga kelele ni wa kupuuzwa" amesema muhongo

Tutawajuza zaidi kutoka humu ndani. Kaeni mkao wa kula

Model ambayo Dubai wanaitumia katika Investment na wageni pia ingeweza kutumika kwa TZ. Mgeni huwezi kuwekeza Dubai bila kuwa na Local partner tena umpe shares zinazoeleweka na bado mtaji umtolee wewe mwenyewe.

Nadhani kunaweza kuwa na upungufu katika sera zetu.

Sitaki kuamini kuwa serikali yenyewe ikiamua kupitia TPDC itashindwa kuwekeza assuming labda investment hiyo itakuwa TZS 1 trillion.

Let us wait and see . . .
 
Kimsingi hatuwezi kutumia sera ya utafiti wa mafuta kuiweka kwenye sekta ya gesi. Inawezekana kuna ushawishi wa kujua mapungufu yaliyopo kwenye hiyo sera inayotakakutumika wawekezaji kuona huo mwanya na kuutumia. Hii ninaifananisha na suala la Buzwagi ambapo wawekezaji waliona mbele na kutaka kutumia sheria ya 1999 kuogopa sheria ya 2010 hivyo mkataba ukasainiwa chap chap. Waziri alisema hivyo hivyo yeye ana speed kali hataki kupoteza muda. Sizani kama ni tatizo tuwe na sera nzuri na tutengeneze sheria ya gesi na tuwe na kanuni zinazotekelezeka.
 
Nipo ndani ya ukumbi wa mikutano wa JK nyerere, ambako dakika chache Waziri muhongo amewaambia baadhi ya watu waliokuwa wakimuuliza maoni yake kuhusu ndugu Mengi kumshauri yeye na wizara kusitisha mnada wa vitalu. haya ndo maneno yake, "Hatuwezi kuwasikiliza wapuuzi. Mda wa mjadala umekwisha, serikali haiwezi kuongea na wapumbavu wasiojua maswala ya gesi. Hawana uwezo kuingia kwenye miradi ya gesi na Tanzania haiwezi kusubiri miaka 100 kufaidika na gesi yake. Hawa wapiga kelele ni wa kupuuzwa" amesema muhongo

Tutawajuza zaidi kutoka humu ndani. Kaeni mkao wa kula
Niliwahi kumtetea bwana Muhongo humu JF ,ila mpaka leo najuta kwa nini nilifanya vile.
 
Nipo ndani ya ukumbi wa mikutano wa JK nyerere, ambako dakika chache Waziri muhongo amewaambia baadhi ya watu waliokuwa wakimuuliza maoni yake kuhusu ndugu Mengi kumshauri yeye na wizara kusitisha mnada wa vitalu. haya ndo maneno yake, "Hatuwezi kuwasikiliza wapuuzi. Mda wa mjadala umekwisha, serikali haiwezi kuongea na wapumbavu wasiojua maswala ya gesi. Hawana uwezo kuingia kwenye miradi ya gesi na Tanzania haiwezi kusubiri miaka 100 kufaidika na gesi yake. Hawa wapiga kelele ni wa kupuuzwa" amesema muhongo

Tutawajuza zaidi kutoka humu ndani. Kaeni mkao wa kula
Ingia
===>Nishati sio mchezo,awaulize wakina Ngeleja na Karamagi nini kiliwakuta hapo,pana mishiko ya hatari sana hapo.
===>Ameshakwenda mtoni (ulaya) keshawekewa bilioni zake kadhaa Mauritius lazima ahakikishe kuna kampuni zina win hivyo vitalu,ataaingia mikataba ya ajabu ambayo hairekebishiki halafu anatimka zake,kibaya zaidi ubunge wenyewe wa viti maalum mbona kazi ipo.
 
Last edited by a moderator:
Inabidi watu kuwa na uelewa mpana. The Mineral right or whatever is not an asset hii ipo kiuchumi. Your share will sound on capital investment. Huwezi kunyoosha suluari tu unasema nina share kwenye mradi kisa tu una jina kwenye leseni. india wana TPDC yao inaendeshwa vizuri tu na inakuwa na share hata Uarabuni kwenye visima vya mafuta. Sasa sisi tukisema tu TPDC intamiliki bila kuweka hata mia tutaambulia zero share. Angalia NDC kwenye Chuma ya Liganga tutakuwa wasindikizaji tu.
 
Back
Top Bottom