Muhongo: Mimi Bado Waziri!

Muhongo: Mimi Bado Waziri!

Bunge halina mamlaka ya kumuondoa waziri wa kawaida isipokuwa waziri mkuu.muhongo anaposema bado ni waziri yuko sahihi.akina kagasheki walijiuzuru kwa agizo la rais kwa njia ya simu alipomuagiza pinda atoe taarifa bungeni.kwa kuwa muhongo hataki kujiuzulu atabaki waziri hadi rais amtimue.

Ni kweli.....Rais ameshauriwa na anaweza kukubali au kukataa
 
Alitaka kushindana na nguvu ya pesa sasa anakiona cha mtema kuni. Akitolewa tu utasikia Mengi kamegewa kipande cha gesi

Nyinyi watanzania mtaendelea kuwa wajinga sana,sasa kila mmoja anajua pesa ndo imetumiwa kuwaondoa hawa watu alafu mnashabikia wakati huohuo mnataka waje watu wasafi,watatoka wapi na wakati pesa ndo inatumika? na ukishatumia pesa unawezaje kutengeneza mfumo wa haki katika utawala? anyway,leo mnamshabikia Mengi kamtoa Mhongo lakini siku si nyingi mtayaona mda ukifika ..ni fitina,chuki,unafiki,ghiriba dhidi ya watu
 
Kwa hyo waziri hawajibiki kwa bunge? Iweje wakati wa oparesheni tokomeza mawaziri waliwajibika kwa bunge bila kusubiri uamuzi wa mamlaka ya uteuzi wao? Au hizi sheria zikoje? Tundu Lissu nisaidie kwa hili tafadhari mimi ni bush lawyer kama makinda

mkuu wale waliwajibika wenyewe, bunge linaweza kumwajibisha PM pekeyake na hawawezi kuwawajibisha mawaziri wengine. sakata la huko nyuma bunge lilimng'ang'ania PM ndipo mawaziri wakasacrifise na kumnasua PM.
 
Chezeya ukubwa weye!!!! Jamaa amekomalia eti yeye bado ni Waziri!!! Kwi kwi kwi kwi lol! hahahahahahaha Muhongo mbali ya kuwa muongo kumbe ni taahira pia lol!!!!
 
hajielewi.lakin sishangai maprof weng ndivyo walivyo

Uprofesa wa watu unafanya kazi zaidi madarasani kwenye vyuo wanavyofundisha wanafunzi wao, tena tu kwa masomo yao waliyo bobea, siyo kila somo.

Linapokuja swala la kiuongozi, kiutawala, kimaadili; nafasi ya ki profesa imesha prove kuwa haina maana sana, ila ni malezi zaidi ya mtu pamoja na timu iliyomuzunguka ndo vinazaa mtumishi mwema au mmbaya.

Kusoma ni kitu cha muhimu sana katika shughuli nyingi za kimaisha, isipokuwa uprofesa uachwe madarasani ndo unakofanya kazi vizuri.

Profesa ni mwalimu wa chuo kikuu aliyebobea kwa somo lake. Uongozi na uadilifu ni kitu kingine kabisa.
 
Anachosema Muhongo ni sahihi kabisa.
Yeye bado ni waziri mpaka JK atakapoamua kumvua uwaziri na pia kuna uwezekano asimvue akaendelea kuwa waziri.

Kwa kuwa Pinda yu salama..Pinda ndiye atakayejitahidi kuhakikisha Muhongo na wenzake wanaondoka ili mwezi January arudi Bungeni akiwa shujaa kwa kutekeleza maagizo ya Bunge na hivyo kuondoa kiwingu hiki "kwenye ile safari yake ya kimyakimya kwenda ikulu"

Kwenye hili JK atachagua kama aendelee na Muhongo bila Pinda au Pinda bila Muhongo.
 
labda waziri wa watu waongo kama yeye.
 
Kwa kuwa Pinda yu salama..Pinda ndiye atakayejitahidi kuhakikisha Muhongo na wenzake wanaondoka ili mwezi January arudi Bungeni akiwa shujaa kwa kutekeleza maagizo ya Bunge na hivyo kuondoa kiwingu hiki "kwenye ile safari yake ya kimyakimya kwenda ikulu"

Pinda hawajamkufuza
 
Bunge halina mamlaka ya kumuondoa waziri wa kawaida isipokuwa waziri mkuu.muhongo anaposema bado ni waziri yuko sahihi.akina kagasheki walijiuzuru kwa agizo la rais kwa njia ya simu alipomuagiza pinda atoe taarifa bungeni.kwa kuwa muhongo hataki kujiuzulu atabaki waziri hadi rais amtimue.

Sasa yule mzee wa tezi dume naye si kala mgao? Hatawezaje kuwang'oa waliofanikisha deal?
 
He is doing what he think is right, he believe he is innocent, he dont want to be sacrificed.
 
wabongo tulivyo, jamaa akirudi wizarani utaona wakina baba na wakina mama wanasukuma gari lake kuanzia kimara mpaka wizarani kwa maandamano yasiyo rasmi.
 
Ha ha ha ha ha ha ha........Jamaa kachanganyikiwa.

Anaamini yeye bado waziri. Mwenye uwezo wa kumvua madaraka ni Rais tu na siyo wahuni wa Bungeni. Hawezi kubabaishwa na Wahuni na Wala Rushwa. Yeye ni waziri na atabaki kuwa waziri hadi pale Rais atakaposema basi...

Hapa Dodoma watu wanamuona wazimu na hii jeuri yake ya kitoto.
Haamini kwamba Bunge limemvua madaraka ya uwaziri

Bunge halina uwezo wa kumvua uwaziri. Wameshauri mwajili wake afanye hivyi na si wao. mwajiri wake ni Kikwete mkuu
 
Ha ha ha ha ha ha ha........Jamaa kachanganyikiwa.

Anaamini yeye bado waziri. Mwenye uwezo wa kumvua madaraka ni Rais tu na siyo wahuni wa Bungeni. Hawezi kubabaishwa na Wahuni na Wala Rushwa. Yeye ni waziri na atabaki kuwa waziri hadi pale Rais atakaposema basi...

Hapa Dodoma watu wanamuona wazimu na hii jeuri yake ya kitoto.
Haamini kwamba Bunge limemvua madaraka ya uwaziri

Ndio mjue kuwa alikuwa ni mgonjwa wa akili hata kwa matamshi yake. Alitegemea wamvue nguo palepale ndio ajue kuwa kavuliwa uwaziri.
 
Back
Top Bottom