Lowasaa kwisha habari yake kisiasa ameshafulia! He will not by any means be the president of URTWengi waliotumbuliwa walikuwa wanamuunga mkono Lowassa. Hawa akina Muhongo wao ccm damu ndio maana huoni kutubuliwa. Ccm wabaguzi kushinda makaburu
Ndukiiiii![]()
![]()
![]()
Kweli hadithi za utotoni za paka kuwa na roho saba...hazikuwa burudani tu ya kufurahisha
genge......
Hivi hata ningekuwa mimi nashindwa vipi uchaguzi kama mtu anayemtangaza mshindi wa urais namteua mimi!!!think and come back again with your clothes on,stop being a witchLowasaa kwisha habari yake kisiasa ameshafulia! He will not by any means be the president of URT
we nawe mbona unakomaa na petty issues. unit 700??? mbona hataki kusema mikatana mibovu inayoifilisi tannesco.usipanik mimi sikutukani sehem yoyote kuwa mjinga au mtupu.. ila najua pa kukubana sababu nimegundua huna facts.... nashangaa unanitukana tu sijui hesabu kilaza na the like... tubishane kwa hoja au lugha nyingine facts.. tusitukanane maana matusi sio sahihi...
je ni sahihi kutoa unit 700 bure kipindi ambapo unapata hasara?? why not 100 au 200 units...
hao wa voda unawaongelea sio staff rate tu bali wanapewa bureee ili watimize majukumu ya kazi na kuleta faida... je units za tanesco mnazitumia kufanyia kazi na kuleta faida kwa shirika???
Si ndio kama Muhongo sasa, anasubiri siku itokee ishu tuKwa hiyo alikuwa hasomi e mail mpaka umshutue kuwa nimetuma soma.
Mkuu mbona unashindwa kumjibu kuhusu vodacom kisha unakimbilia mashirika mengine ya nje? Na kwanini shirika lililofeli linajiendesha kwa hasara kama Kenya Airways unalichukulia kama kipimo cha kuiga mfano wake ambao ndio ushahidi wa kufeli kwa menejimenti yao?Wewe kumbe mtupu hivi?
hoja yako ya hasara nimeijibu kwa kukutajia mashirika ya ndege
yanajiendesha kwa hasara lakini staffs wanapata free tickets kama kawaida
Vodacom wafanyakazi wote walioajiriwa wanapewa airtme na bundles za kutosha kwa matumizi yao
nna ndugu wako vodacom nafasi za chini..wanapewa bundle na airtime
hadi wanagaia ndugu wengine.....same na Tigo na kampuni tele
Usilolijua hutakaa ulijue kamweKwa magumashi hata mie namjua si ndo alifanya udalali kwa habinder![]()
![]()
![]()
![]()
Haha lolote huyuUsilo
Usilolijua hutakaa ulijue kamwe
ndugu usibishe sana, kama hujui wewe tulia tu, wenzako tunakucheka hapa kwa ujinga wakosio kweli hili naomba uthibitishe.. kuna mtu namjua ameajiriwa tigo na hapewi vocha kisa position yake haimruhusu kupewa vocha... na nimeshamwita anakuja.. naomba uweke facts zako kuhusu hili
Mkuu achana na mpuuzi huyo hana jipya anajifanya anajua kumbe ni wakala wapiga deals. Mijitu kama the boss ni ya kupuuzwa maani ina roho mbaya za ubinafsi uliopitiliza uzalendo wao ni matumbo yao ma..o zaoHuyu the Bosi ni Mwehu kweli kweli, sasa Ndio anathibitisha uchadema wake hapa kwenye jukwaa. Hebu tumuukize yeye yupo wapi anataka umeme upande bei au la? Maana Muhongo ameingilia kati na kuwakatalia EWURA wasioandishe bei, kitu ambacho wa tanzania wote walikuwa wanakihitaji isipokuwa huyu the Boss. Wa tanzania wamekuwa vigeu geu sana, yaani ukifuatilia kila kitu alichofanya muhongo alikuwa anatetea maslahi ya Watanzania tuangalie mifano:
1. Suala la Dangote alizuia wasiagize Makaa nje ya nchi, ili kulinda viwanda vya ndani na ajira za watanzania na Wachimbaji wadogo wa Jasi na Makaa (huyu the Boss anatumiwa tu, inamaana alitaka Muhongo aruhusu? Au na wewe ni Yule Mtu wa kati ambaye unataka 10% yako)
2. Suala la kupandishwa bei za umeme, Muhongo alilipinga tangu anaingia Wizara hiyo na ndie aliyeshusha bei za umeme, iweje huyu the Boss anatueleza utumbo eti anataka wapandishe, sisi hata Kama sheria haimruhusu hatua aliyochukua ina maslahi kwa Taifa, kwa kuwa kitendo hicho ni Cha ujasiri ambacho hata Waziri amatesimamia EWURA ameshindwa kukifanya. Tulitegemea the Boss angeanza na kuilaumu EWURA lakini kwa kitendo Cha kumtaja mtetezi wa wanyonge Prof. muhongo ambaye kila kukicha anataka bei za umeme zishuke, Basi huyu the Boss tunaanza kuanini kuwa inawezekana ametumwa au Ndio wale waliojipanga kutaka kumdhiofisha JPM kwa kuwashughulikia mawaziri wote wa JPM ambao wanafanya kazi vizuri
3. Kuhusu suala la ESCROW huyu the Boss inawezekana hata shule hajaenda au anatuthibitishia kuwa yeye ni CHADEMA licha ya CHADEMA yenyewe ukiwauliza mmoja mmoja wanakiri kuwa Muhongo hausiki na ESCROW ila wao waliamua kutumia suala hilo kisiasa kutaka kuiamgusha Serikali ya JK kwa wakati ule. Kama huyu the Boss ana akili timamu akasome taarifa ya CAG Kama kuna mahali pamemtaja Muhongo, aweke huku hizo Dada au taarifa, nanakishaweka tutamuwekea za wakinazito walizochota kwa ajili ya kwenda kitibia Wazazi wao.
Huyu the Boss hana tofauti na mwenzake technically ambaye juzi tu tulimpasha jinsi alivyotumwa kumuandika Muhongo, uzuri wa hawa watu tunajua wametumwa na nani kutekeleza hayo wanayoandika na tunajua Serikali ya JPM inawafuatilia kwa karibu, tunasubiri siku mtawasikia wakiwekwa hewani kwa picha zao na kila kitu walichodanganya Watanzania kwa kumchafua Muhongo na JPM.
Hilo ni shirika la umma, haiwezekani wafanyakazi wengine wa umma wasipate chochote ndani ya kazi wanazozifanya halafu wengine wafaidi vya bure.Managemeny ya Tanesco haijawahi kuwa independent
kila wanachoamua kinapata go ahead kutoka wizarani
sasa utailaumu vipi management halafu uisifie wizara?
we unaonekana mtupu kabisa unaongea mifano puumba kabisa
Na doubt uwezo wako hata wa hesabu sababu mifano yako mingi ni kichekesho
unazungumzia wafanyakazi kupewa unit 700
hivi unajua umeme wote wanaopewa wafanyakazi ni asili 0.02 ya umeme wanao uza?
sasa utasemaje shirika linapata hasara kwa wafanyakazi kutumia asilimia 0.02 ya sales?
na Vodacom nayo inapata hasara kwa wafanyakazi kupewa airtimer?
Daily News wanapata hasara kwa wafanyakazi kupewa magazeti bure?
hebu acha kujiumbua mkuu
haahaahahaah,....na ndio maana duniani kuna watu na viatuHakuna waziri namwelewa kama Prof. Muhongo. Kwangu ni waziri smart sana.
hahahahahha,....ndio hapo sasa..eti mi pinzani inabana pua kabisa...Tutashinda uchaguziiiii 2020...hovyo kabisaHivi hata ningekuwa mimi nashindwa vipi uchaguzi kama mtu anayemtangaza mshindi wa urais namteua mimi!!!think and come back again with your clothes on,stop being a witch