MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,854
- 6,209
kaka mbona unakimbia swali.. umeanza na voda naona unaruka ruka mara nmb..
jibu kuhusu voda kwanza.. au unataka twende nmb??
haya swali lingine je nmb inajiendesha kwa hasara?? kama tanesco???
kaka jibu hoja kwa facts.. usihame hame kukimbia swali
cost cutting ni strategy no 1 mnapokuwa kwenye kipindi kigumu.. ila management ya tanesco haijui hili ndio maana units 700 wanazigawa tu.. na hata hamzi

Mkuu kumbe wewe ni mtupu kabisa?
Nimekutajia Vodacom kama mfano mmoja tu
mifano ipo tele
mashirika yote ya ndege ya ndani na nje yanatoa free tickets kwa staffs
hata mashirika yanayopata hasara kama Kenya Airways na South African airways
nimekupa mfano wa Daily News....
mifano ipo dunia nzima
hakuna shirika hata moja duniani ambalo halina 'staff rates'
NMB tu staffs wakipewa mikopo ..riba ni nusu ya rates ya kawaida..
Hakuna shirika linaloumia eti kwa kutoa staff rates
ndo maana nimekupa percentage ya wafanyakazi kwenye sales...
hawatumii hata asilimia moja ya sales...
Usiwe unaongea vitu huvijui...unajivua nguo..
Unmsifia Muhongo kwa kipi?unaweza taja uamuzi mmoja wa maana wa Muhongo?