unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,046
Katika hali isiyo Ya Kawaida Waziri wa Nishati na MADINI Professor Muhongo ajikuta akipokewa kwa shangwe baada Ya wana CCM wa Kiabakari waliposimamisha Gari Yake na kutaka kumsalimi. Wananchi hao walikuwa wakiimba nyimbo na vigelegele wengi wakimwita MZEE WA MANGUZO, MZEE WA MANGUZO!!!!. Ambapo walimaanisha Mtu wa Kazi kwa Kuwa Nguzo za Umeme zipo karibu kila kijiji.
Mhe. Muhongo alitoa Mchango kwa wagombea wa Serikali za Mitaa ambao walikuwepo hapo wakati Mhe. Muhongo akipita. Aidha. Aliwaasa kuhakikisha wanashiriki uchaguzi huo kwa amani na utulivu
Mhe. Muhongo alitoa Mchango kwa wagombea wa Serikali za Mitaa ambao walikuwepo hapo wakati Mhe. Muhongo akipita. Aidha. Aliwaasa kuhakikisha wanashiriki uchaguzi huo kwa amani na utulivu