PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,178
tangaza maslai yako na tanesco mkuu, maana inaelekea kuna mrija wako umekatwa na profesa. Haaaaaaaaaaaaaaa.Usiwe unatazama mambo kwa roho ya kimasikini
Wafanyakazi wa Tanesco huo umeme ni jasho lao
ukifanya kazi Daily News gazeti hununui
ukifanya kazi tigo au voda airtime hununui
iko dunia nzima
hata wapiga debe tu daladala hawalipi nauli.....