PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
tangaza maslai yako na tanesco mkuu, maana inaelekea kuna mrija wako umekatwa na profesa. Haaaaaaaaaaaaaaa.Usiwe unatazama mambo kwa roho ya kimasikini
Wafanyakazi wa Tanesco huo umeme ni jasho lao
ukifanya kazi Daily News gazeti hununui
ukifanya kazi tigo au voda airtime hununui
iko dunia nzima
hata wapiga debe tu daladala hawalipi nauli.....
CEO MRAMBA aliwahi kuwa kiongozi wa chekechea?Watu wachache watakuelewa
watu wanafikiri kutangaziwa bei imeshuka basi ndo mafanikio...
mtu hajawahi kuongoza hata nursery school leo ajifanye CEO...
Kama kuna management conflicts mbona ni vitu vya kawaida kwenye kazi au hamjawahi kuwa managers? Iteni vikao vya management na mumueleze matatizo yake yeye ni binadamu ataelewa na aterekebisha ikishindikana basi toeni ripoti kwa mwajiri wake kuliko kuleta majungu mtandaoni.Yapo Mengi tu....
anachofanya na vurugu......
Analeta siasa tu kwenye mambo ya kitaalam....
halafu lawama iwashukie Menejimenti
unafikiri hata tukisema atakusikiliza?Magufuli alishampa kibuli siku hile ya uzinduzi wa Kinyerezi II!Watu wachache watakuelewa
watu wanafikiri kutangaziwa bei imeshuka basi ndo mafanikio...
mtu hajawahi kuongoza hata nursery school leo ajifanye CEO...
Haya matatizo ya Hiyo loss unayo ongelea sio kutokana na uamuzi wa Prof Mhongo , Bali ni kutokana na mikataba mibovu iliofungwa kwa Tanesco kabla Prof hajawa waziri , hivyo kusema ni due to his Presence au maamuzi yake. Ni uwongo , na kutumia Zitto Kama reference hakufanyi Hiyo statement kuwa kweli.Mkuu fuatilia tu media
hata Tanesco kupunguza bei ya kuunga umeme lilikuwa agizo lake
kwa masharti kuwa serikali itatoa ruzuku
ni kweli inatoa ruzuku but haitoshelezi
na ina maana kuwa Tanesco isijiendeshe kwa faida na isijitegemee
isshi kwa ruzuku......na mwisho ndo hayo kwenda kukopa na deni kuongezeka....
soma hata ile hotuba ya Zitto siku ile anafunga ishu ya Escrow
aliitaja deni la Tanesco before Muhongo lilikuwa bilioni 50
now zaidi ya bilioni 300....
Now ameteuliwa tena na Magufuli anakuja na maagizo tele ya dizaini hiyo
Unamtuhumu Muhongo,lakini unashindwa kuleta hizo tuhuma unadai watu wafuatilie media,sasa hii mada umeileta ya nini ?
TANESCO iko chini ya wizara ya Nishati na Muhongo ndio waziri wa Nishati anaingiliaje wakati ndio wizara yake ?
Umeona Prof. Magembe alichofanya TANAPA ?
Umeona Prof Mbarawa alichofanya TTCL,TRL,TCRA ?
Umeona Prof Ndalichako alihofanya NECTA,TCU ?
Kuna tofauti gani na anayofanya Muhongo,kama kuna issue nyingine ni bora uiseme kuliko kuleta tuhuma na unashindwa kuzielezea
Basi madaktariwangekuwa wanapewa dawa au matibabu ya bure!Unit 700 kwa mwezi? Wana mashine za kusaga au? Mimi familia kubwa tu lakini tunatumia unit 114
umejiekeza vizuri sasa hiyo kaskazini inahusiana vipi ?ruzuku haitoshi huku wafanyakazi wa tanesco wakipeana umeme unit 700 kwa mwezi kwa shilingi elfu 10 tu...
yaani ukiajiriwa tanesco ukitoa elfu 10 unapewa unit 700 za umeme... na hapo hapo shirika linategemea serikali iwape ruzuku... kiukweli watanzania hatuna.shukrani.... tanesco ni jipu kubwa sana na najua mhongo akisaidiana na mwenzake wa kanda ya ziwa jemedari mkuu lazima walitumbue tu... tuwape muda... tanesco haimalizi huu mwaka na management hii hii ya kaskazini iliyozea ujanja ujanja
umejiekeza vizuri sasa hiyo kaskazini inahusiana vipi ?
Kama kuna management conflicts mbona ni vitu vya kawaida kwenye kazi au hamjawahi kuwa managers? Iteni vikao vya management na mumueleze matatizo yake yeye ni binadamu ataelewa na aterekebisha ikishindikana basi toeni ripoti kwa mwajiri wake kuliko kuleta majungu mtandaoni.
Usiwe unatazama mambo kwa roho ya kimasikini
Wafanyakazi wa Tanesco huo umeme ni jasho lao
ukifanya kazi Daily News gazeti hununui
ukifanya kazi tigo au voda airtime hununui
iko dunia nzima
hata wapiga debe tu daladala hawalipi nauli.....
chuki binafsi hizoo!Yapo Mengi tu....
anachofanya na vurugu......
The Boss, I hope wewe ni mwajiliwa wa Tanesco. Au!... Kwa nafasi yake niliamini anafanya hayo yote baada ya mawasiliano ya ndani na menejiment. Kama sivyo kunaweza kuna tatizo lakini pia hali ya taaisi za serikali ilivyokuwa inaendeshwa inatia mashaka.Mkuu fuatilia tu media
hata Tanesco kupunguza bei ya kuunga umeme lilikuwa agizo lake
kwa masharti kuwa serikali itatoa ruzuku
ni kweli inatoa ruzuku but haitoshelezi
na ina maana kuwa Tanesco isijiendeshe kwa faida na isijitegemee
isshi kwa ruzuku......na mwisho ndo hayo kwenda kukopa na deni kuongezeka....
soma hata ile hotuba ya Zitto siku ile anafunga ishu ya Escrow
aliitaja deni la Tanesco before Muhongo lilikuwa bilioni 50
now zaidi ya bilioni 300....
Now ameteuliwa tena na Magufuli anakuja na maagizo tele ya dizaini hiyo
Kama ni hivyo mwalimu akifundisha sekondari mtoto wake asilipe ada ya Wizara? Ukiwa daktari au mfamasia madawa bure tuu! Hizo analyses ni ngumu kuzihalalisha.Usiwe unatazama mambo kwa roho ya kimasikini
Wafanyakazi wa Tanesco huo umeme ni jasho lao
ukifanya kazi Daily News gazeti hununui
ukifanya kazi tigo au voda airtime hununui
iko dunia nzima
hata wapiga debe tu daladala hawalipi nauli.....
Mkuu siamini kama huna elimu hata kidogo ya menejimenti
mameneja wa mikoa na wilaya waripoti kwa waziri we unaona ni sawa?
Waziri kutoa maagizo kwa njia ya simu ni sawa?
hivi labda nikuulize wewe ndo meneja wa wilaya au kanda wa Tanesco
ceo wako akupe maagizo ya nenda kushoto na waziri aje aseme nenda kulia
we unaonaje? ni sawa?
Mawaziri wengine hao wanatimua na kuweka watu wengine....hawafanyi daily tasks...kama Muhongo
Muhongo hajatimua mtu ni kuwapa maagizo yake tu daily